Wakuu nimetafuta wapi ile jukwaa la kuomba chochote nimekosa kwa hiyo mtaniwia radhi kutumia jukwaa hili kwa kuomba msaada.
Naomba mnisaidie kupata nakala za vitabu vifuatavyo.
Poor Dad,Rich...
kuna thread moja nilisoma humu JF kwamba muheshimiwa mbunge mteule joseph "SUGU" alihojiwa na waandishi wa habari na kuulizwa sasa makazi yake yatakuwa DAR au mbeya?
akajibu kuwa yatakuwa Mbeya...
Wakuu nawaulizeni je Nchi yetu itakuwa na hayo matatizo ya umeme mpaka lini? mimi nipo ughaibuni nazungumza kwenye chat sasa hivi chat ya yahoo na mwanangu yupo mjini
Tanga ananiambia baba huku...
Pamoja na JK kuwa ni mbambaishaji lakini kuna hoja moja angeliweka vyema machoni pa wapigakura pengine asingelihitai kuchakachua kura zetu na Uraisi wake tungeliukubali lakini utashi na hekima...
Happy people how are u? za siku nyingi. Kwetu tumejaliwa maumbile mapana chini ya kiuno, kwa sisi wadada kutembea tuna feel shy sometimes hasa tukiwa TZ maeneo ya kariakoo wanaume wanatutaniaga...
Habari JF wote!
Nina issue inanisumbua sana. Nayo ni kuhusu uchafu uliokithiri katika miji yetu ya kibongo. Katika hili nisingependa mtu alaumu. Kama ni makosa yalifanyika na kila mtu anajua...
Ninaogopa....
Ninajiogopa mimi mwenyewe, ninauogopa ugonjwa nilionao.-
Kwani itatokea lini, itatokea lini?
Kifo cha taratibu, au labda cha haraka na bila maumivu?
Watu...
Wale wasionionyesha...
Kuna kitu gani kinaendelea tanzania institute of accountancy,kwani kuna nafasi ya principal wa chuo ilitangazwa tangu mwaka wa jana, nashangaa imerudiwa tena, inamaana tanzania hakuna watu wenye...
Habari wadau
Hivi karibuni kama wiki mbili kumetokea kukatika kwa umeme kila siku jioni mida ya saa moja usiku na kurudi kuanzia saa saba usiku hadi saa tisa usiku. Tatizo hili limejitokeza kwa...
Wamo Nzowa na Mkumbo ambao siku za karibuni walitajwa na Mengi kutaka kumbambikia mwanae madawa ya kulevya...
karibuni...
MKUU wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali (IGP), Said Mwema...
Broody again at 72: She became the world's oldest mother at 66. Now her little girl's five - and she wants ANOTHER
Last updated at 2:05 PM on 14th November 2010
Charming though they look...
Monday, November 15, 2010 2:05 AM
Kwa mara ya kwanza katika historia ya udaktari duniani, daktari mmoja nchini India ameweza kuzizuia hisia zake kwa kuitumbua na kuvichanganua viungo vya maiti ya...
Chama cha mafisadi kimemchagua mheshimiwa Jobb Ndugai kugombea unaibu spika kwa ticket ya chama hicho baada ya kumpitisha kwa kura 197 kati ya kura 198 na kura 1 iliharibika. Waliokuwa wanagombea...
Kweli hali ni tete, yaani nashindwa kuelewa hii dunia inaenda vipi, Hivi wadau hili suala la hawa "FREEMASONS" mnalichukuliaje?? Can they dominate the whole world????!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.