Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Na Richard Bukos Ndoa iliyokuwa ifungwe kati ya Bwanaharusi, Joseph Kibarabara na mkewe mtarajiwa, Warda Halfa, imetibuka kufuatia Bibiharusi huyo ‘kutekwa’ na kufungiwa chumbani na mwanaume...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Arguing, as I define, is presenting arguments to support your case. Now I know here at JF we argue a lot and as you can see, we use logic every time. For example when you tell somebody "you are...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Nimeipata hii sasa hivi. Ni breaking news! Imethibitika kwamba mojawapo ya magari yaliyokuwa kwenye msafara wa Rais, akielekea nyumbani kwake Bagamoyo kwa mapumziko mafupi, imepata pancha eneo la...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Serikali ya Nigeria imetishia kuishtaki Iran kwenye umoja wa mataifa endapo haitatoa maelezo ya kina juu ya makontena 13 yenye silaha yaliyokamatwa mjini Lagos juzi yakiwa yametokea Iran kuelekea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni makala uliyoiandika mwaka 2005 kuelekea uchaguzi. Ilizungumzia Sheria na Taratibu mbovu katika kusimamia taratibu za kupatika wagombea na matumizi ya fedha zisizo na kikomo wala maelezo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Uchaguzi umepita sasa utendaji na uozo wa miaka nenda rudi umeanza kuonekana.Ukweli ni kuwa kabla ya uchaguzi mgao wa maji na umeme ulikuepo!tuulize ubungo kibangu lini walipata maji?8% ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakubwa naomba msaada kidogo. Yani kila ninapofungua subforum ya mambo ya kikubwa inagona na kuniambia i have no permission. Anyone who knows how i can solve it please help me.
0 Reactions
10 Replies
4K Views
TUJADIRI HIZI NI BAADHI YA HASARA ZAKE 1.) VURUGU 2.) UTUMIAJI MBOVU WA FEDHA 3.) UZINIFU 4.) AJILI 5.) INAKUTENGA NA MUNGU 6.) MAGONJWA eg Kama ya figo na mapafu pia moyo 7.) HUARIBU UTU 9.)...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
13th November 2010 He kept it rather precariously on top of a bookcase in the living room – an elegant Chinese vase with a fish motif on the front and gold banding that glistened occasionally in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Real inanipa wakati mgumu kuona wamama wajawazito wanakufa ktk hosp kubwa wakati wakujifungua.sijui wenzangu mnalo la kuchangia ili kupunguza hili tatizo?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ZAMANI TULIKUWA TUNA WAANDISHI MAHIRI WA VITABU VYA KUSISIMUA. WALIKUWEPO KINA BEN R MTOBWA, MSIBA, NA WENGINE WENGI. KWA MARA YA MWISHO KUSOMA KITABU CHENYE KUSISIMUA ILIKUWA MIAKA MITATU NYUMA...
1 Reactions
20 Replies
9K Views
Hivi karibuni miongoni mwa dada zetu imezuka tabia ya akinadada wengi kuvaa nguo ambazo zinaonesha sehemu kubwa ya matiti yao, ikibaki kuwa wazi. Takriban asilimia 60 hubaki kuwa wazi, na wengi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za weekend wanajamii. Mimi nina mdogo wangu amegraduate mwaka huu. Degree yake ni ya Business Administaration in accounting. Naomba msaada wa kujua at least website zinazotangaza kazi...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Jamani kwa wale mnaotaka viwanja kwa bei rahisi msisite kunipigia simu hapa 0786 046484. Viwanja vinapatikana eneo la vikawe mbele ya bunju maeneo ya tegeta.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
China builds 15-story hotel in 6 days A soundproofed, thermal-insulated building is constructed in a remarkable feat of speed. See time-lapse video Source: Chinese workers build...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hellow guys! natafuta mke wa kuoa... naona muda wangu umefika... ' sifa Awe mweupe soft color au black beauty. Asiwe anakunywa pombe, wala kuvuta sigara aswe changudoa, Awe amemaliza form four na...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimejitahidi ku-google habari zaidi kuhusu gharama za ku"publish" jarida au gazeti nchini mwetu lakini sikufanikiwa. Kama kuna yeyote anayejua kuhusiana na gharama hizi tafadhali naomba anijuze na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamii forum ni sehemu mzuri ya kujua uelewa wa watanzania wengi, jaribu kupitia hoja mbalimbali na uangalie comment za watu. Hii sehemu kila mtu anahaki ya kutoa mawazo yake lakini mawazo yetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa watanzania wengi madaraka yamekuwa ulevi, mtu akipata madaraka basi kazi yake ni kujiona yuko juuuuuuuu juuuuuuuuu kabisaaa kuliko wengine matokeo yake ni kuwanyanyasa wengine, mfano ni pale...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom