Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ni week end ya pekee kwa kinamama wa Tanzania baada ya Mh. Anna Makinda kuchaguliwa kuongoza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mara ya kwanza. Ni week end ambayo haitakaa ifutike katika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau nimejaribu kufuatilia ofa ya Vodacom ya cheka time nikagundua hawa jamaa wanafanya uhuni. Kwa mfano ukinunua muda wa cheka time wa shs 400 unatakiwa upate dk 10 za maongezi na SMS 15 lakini...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Fuata link hii Signs of Satan!
0 Reactions
13 Replies
11K Views
Sandhurst-trained Afghanistan veteran Captain Robert Sugden, 29(TANZANIAN), was last night at the centre of a probe by horrified MoD chiefs after the staggering security breach put lives in...
0 Reactions
2 Replies
968 Views
Great Thinker naombeni kama kuna yoyote ambaye anafahamu kama kuna tafsiri ya Kiswahili ya vitabu vya Johann Wolfgang von Goethe na Friedrich Schiller. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bibi Pearl akiwa na mpenzi wake ambaye pia ni mjukuu wake Bibi mwenye umri wa miaka 72 wa nchini Marekani amewashangaza marafiki zake na familia yake baada ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Baada ya shughuli za uchaguzi mkuu kwisha, inaonekana wafanyabiashara maeneo ya soko kuu Arusha wameamua kufanyia biashara zao katikati ya barabara kiasi kwamba inakuwa vigumu kupita na gari...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mahujaji watapeliwa, wasota uwanja wa ndege Dar Send to a friend Thursday, 11 November 2010 20:36 0diggsdigg Pilly Hashim MAHUJAJI 20 waliokuwa wasafiri kwa ndege ya Shirika la Eggypt na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna mtu ana clues za hawa wakulu? wapo hapa nchini tangu 2005 wamemilikishwa oil block kule Tanga. bado wapo au kunani pale Tanga???
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naona kama siku hizi za karibuni hapa dar kunakucha (jua linachomoza) mapema kuliko kawaida (nahisi kama kuna tofauti kidogo na miaka iliyopita kwa kipindi kama hiki). Kwa mfano, kuanzia saa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Ebwana cwez kuielezea hii blog inashika sana before nilikua face1000 ebwana kumbe kule cha kike yn km c maarufu bla ukimbie.hope ile ni ya maarufu 2
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauliza hivi baada ya kupishana na vijana wawili wa kihindi hapa mlimani-UDSM. Hawa ni wahindi waliozaliwa na kukulia hapa bongo. Kuna watz wenzangu wanaozalia nje ya nchi na watoto kukulia huko...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WanaJF wakati tunakaribia kuanza weekend tafadhalini naombeni mnijuze nitapata wapi GYM nzuri maeneo ya Kinondoni kwa sababu ni eneo rahisi kwangu kutokana na office sitaki ile ya pale maji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika kikao kinachoendelea cha kupiga kura ya uspika,wakati wa maswali kwa bwana Marando mic zote zilizimika,mi nahisi zilipata wazimu au zilijua kuwa muuliza swali(Bw.Olesendeka) anataka kuuliza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Madereva pale wazo wanahitaji mwandishi wa habari kuelezea matatizo wanayo kumbana nayo pale kiwandani,wanasema wana siku ya nne leo hawajapikia cement na hakuna maelezo yeyote kama kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
From MARC NKWAME in Arusha, 10th November 2010 @ 11:43, Total Comments: 0, Hits: 384 ARUSHA is increasingly becoming home to bizarre incidents as evidenced, this time, by a blood chilling...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi jamani mambo ya IT yametupitia kushoto? mbona website za SUA na MUCCOBS badala ya kuboreshwa zinazidi kuwa na quality mbaya na ya kutoridhisha? au ndo mambo ya kupeana tenda? kweli inakera...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Askari magereza amuua mwananchi kwa kumpiga risasi baada ya ng'ombe kuingia katika eneo la magereza. Kamanda wa polisi mkoa wa mara bw. Robert boaz amethibitisha tukio hilo. Mtuhumiwa huyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wamarekani wanajuta...... na mfano ukiwa tamko la Collin Powell mwaka 2005 ....wanajuta kwa kitendo cha majeshi yao na yale ya washirika wao kuvamia Irak. Msemo unaotumiwa ndani ya shirika la...
0 Reactions
83 Replies
6K Views
Nilikuwa nikiingia jamiiforums kwa simu yangu ilikuwa inaipata moja kwa moja lakini wakati ule wa uchaguzi mkuu ambapo trafic ilikuwa kubwa sana ilipotea hewani. Kwa sasa inabidi nichague PC mode...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom