Jipe raha kaka najua wengi watasema usisikilize watu songa mbele ulichopata kinatossha mkuu mchumba anatosha kazi kumuuliza MUNGU anatoka kwa bwana ama???
WASICHANA 11 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Sokoine Drive jijini Dar es salaam kwa tuhuma za kufanya biashara ya kujiuza katika maeneo ya wazi.
Mwendesha mashtaka...
Mudhiri Mudhir ambaye alijichafua mwenyewe kwenye sakata la Mkataba wa Buzwagi pale alipolishinikiza Bunge kumsimamisha Zito Kabwe kwa kufichua ufisadi uliokuwa unaendelea serikalini JK bado...
Wapendwa wanajamii, naleta kwenu malalamiko yangu kwa masikitiko makubwa, kuhusu hawa dada zetu wanaojiuza nyakati za usiku. Upelelezi wangu umekamilika ndio maana naleta hoja,hapa Tanga...
Mkuu wa Jeshi hilo, Inpekta wa Polisi (IGP), Said Mwema
Jeshi la polisi nchini limetoa tahadhari kwa wananchi dhidi ya kuibuka kwa vitendo vya baadhi ya watu kutumia...
Wasichana 11 wadaiwa kufanya ukahaba Dar Send to a friend Thursday, 21 October 2010 10:16 0diggsdigg
Ndeninsia Lisley, (RCT)
WASICHANA 11 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Jiji la Dar limetawaliwa na udereva wa kihuni (kutofuata sheria) hasa ukiongozwa na madereva wa daladala. Sina uhakika kama hili linatokana na foleni au ni hulka ya madereva wa aina hiyo.
Ni...
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM Jakaya Kikwete jana aliendelea kumwaga ahadi kwenye kampeni zake mkoani Lindi, huku akibainisha kuwa tayari ameanza kutekeleza ahadi ya kugawa vyandarua viwili...
Hi, wanajamii.
Nimekuwa nikifikiria kwa siku nyingi, tokea Mwl. J.K.Nyerere atutoke, Mwl aliiacha nchi ikiwa na neema na upendo, hakuna ukabila wala ubaguzi. Kwanini sasa uharibifu unatokea kila...
WanaJF tuwe makini jamani la sivyo hili jamvi litapoteza heshima. Jana kulikuwa na taarifa mbili hapa jamvini ambazo zilikuwa za uongo. Moja ilihusu Lyatonga kujitoa kugombea ubunge na nyingine...
Curiousity:HIVI KAMBARAGE ALING'ATUKA AKWA NA MIAKA NGAPI VILE?
WHY AFRICA IS 25 YEARS BEHIND THE DEVELOPED WORLD.....
AFRICAN LEADERS
Abdulai Wade (Senegal) age 83
Hosni Mubarak ( Egypt...
:A S angry: HAWA WAANGALIZI WA KIMATAIFA: Tunawashauri hawa Waache Tabia ya kulala na kusubiri siku ya uchaguzi - sio watalii hapa, wamelipiwa Kodi na gharama kwa kazi watayoisimamia. Wasisubiri...
SHIRIKA la Idadi ya Watu la Umoja wa Mataifa (UNFPA), limezindua ripoti yake ya mwaka 2010 inayoonyesha pamoja na mambo mengine kuwa umri wa kuishi wa Mtanzania ni kati ya miaka 56 na 57 ambao...
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limemkamata na kumfikisha Mahakamani mfanya biashara mmoja ayetoa taarifa za uongo kuwa katika eneo la Tunduma mpakani mwa Tanzania na Zambia kulikua na gari...
Mwenzenu Bado Nakerwa na SMS za CCM ZISIZO NA 'Sender' Number. Nimejaribu Kuwapigia Zain wakasema ati Ni Mimi Mwenyewe nimejiunga.....Upuuzi Mtupu
Wakati hata siku moja sijawahi Kujiunga..
Cha...
Ukitaka kuangalia status zako za kupiga kura ingia katika website ya NEC ambapo utaweka nambari yako ya kupiga kura kwenye Registration Status na kuweza kupata online status ya wapi kituo changu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.