African Anglican churches push to break away from Canterbury
Archbishop of Canterbury Rowan Williams at a past Lambeth Conference in Cantebury. African Anglican churches...
Wadau,
Naomba mnijulishe taasisi au benki inayotoa mkopo wa kusoma Masters hapa hapa nchini.
Pia scholarship ya kusoma hapa hapa nchini kama ipo naomba mnisaidie,
Ukiacha HESLB, naomba mniambie...
Wana JF naomba tujiulize kama kuna MFUMO JIKE unaokandamiza MFUMO DUME.
Maana tumekaririshwa kuwa MFUMO DUME hukandamiza MFUMO JIKE
Nakaribisha Mjadala...
Christian Conservative Leader Calls for No More Mosques in U.S.
In the wake of the uproar over the mosque to be built near "ground zero" in New York, a prominent, controversial social...
Haya mambo sijui yataishia wapi, jana nimeona kwenye TBC1 mwendelezo wa kesi inayomkabili Basil Pesambili Mramba juu ya matumizi mabaya ya ofisi, nilipigwa na Butwaa niliposikia kwamba mmoja wa...
Ndugu zangu:
· Mtoto anayeitwa Leonard Kipapi alizaliwa tarehe 05.11.2000 tukakabidhiwa tuishi naye akiwa na umri wa siku mbili (2) kufuatia kifo cha mama yake mzazi hapo tarehe 08.11.2000
·...
Looking for agents/business partners countrywide for new cellular phone brand
The age of affordable internet is here for Tanzania(u just need to look at the incredibly low data rates being...
Polisi wawalilia wakubwa
Posted by GLOBAL on September 14, 2010 at 9:41am
Send Message View GLOBAL's News
Kamanda wa Kanda Maalum ya Kipolisi ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.
Baadhi ya...
A BRIT teen who sent an email to the White House calling President Obama a "p***k" has been banned from America FOR LIFE.
The furious FBI asked local cops to tell college student Luke Angel...
Pastor Terry Jones of the little known church in America, who threatened to burn the Koran on September 11, only to change his mind later.
Perhaps bowing to public outcry and pressure - has...
Kada wa UDP auawa kinyama
NA ANCETH NYAHORE
14th September 2010
B-pepe
Chapa
Maoni
Kada wa Chama United Democratic (UDP), kinachoongozwa na John Cheyo, ameuawa kikatili na kichwa chake...
WanaJF
Tumepokea kwa masikitiko makubwa msiba wa watoto wetu waliokufa hivi majuzi baada ya umeme kukatwa ghafla. Mungu azilaze roho za wapendwa MAHALI PEMA PEPONI - aMINA
Kama sikosei hii siyo...
allAfrica.com: Mozambique: Mobile Phone Companies Lied About Text Messaging
Haya yalitokea Mozambique, je tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu tutegemee visa vinavyofanana na hivi???
Ni miaka 16 sasa tangu Tanzania ianze tena kuendesha mashindano ya urembo tangu yalipofunguliwa tena mwaka 1994. Lakini mara nyingi watu wamekua wakijiuliza kwanini Tanzania haifanyi vizuri katika...
GAINESVILLE, Fla. – The son of a pastor who suspended plans to burn copies of the Quran to mark the 9/11 anniversary says Islam's holiest text will not be torched at their Florida church...
Jamani wana mtandao nisaideni kwanini nchi yetu isibadilike kielimu kurundisha kiingereza toka darasa la kwanza mpaka chuo kikuu?
Mimi ni moto wa mkulima nilibahatika kupata kazi nchi za nje kweli...
Wadau.. Ili kuongeza tija (na kupunguza upendeleo wa uteuzi)wa sekta nyeti za nchii km TRA,TPA, maliasili, Miundombinu.... inapotakiwa kuteua mkurugenzi mkuu wa taasisi husika..rais wa Jamhuri ya...
kuna tukio moja ambalo jamaa alipigwa na jamaa mwingine, kisha yule mkosaji akakimbilia kituo cha polisi kuripoti kabla ya yule aliyejeruhiwa, na yule aliyejeruhiwa alipofika akawekwa selo kabla...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, limemtia mbaroni mtu mmoja anayetuhumiwa kuhusika na tukio la ugaidi jijini Kampala, Uganda, ambapo watu takribani 73 waliuawa baada ya ukumbi waliokuwa wakiutumia...
Wakuu bila shaka humu kuna wadau mbali mbali ikiwepo wale ma computer gigs
Waheshimiwa nahitaji a free Adobe Photoshop version yeyote ila current version itakuwa bora zaidi
Nipe link ama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.