...Hainiiingii kabisa akilini
kuamini kwamba wasomi wote mlioko CCM
mnakubali kwamba mikutano wa hadhara inatosha kuwaelezea wapiga kura wenu
sera zenu......
Ni kweli au ndo mnaogopa Mzee...
Mdogo wangu anauza viuma chakavu hapa jijini Dar.Mpemba ni miongoni mwa vijana wake wanaopima chuma ofisini kwake. Huyu mpemba alisema, pemba kuna viuma chakavu kibao. mdogo wangu akawapa pesa...
Nadhani trafiki wote wa jiji hili wangekua kama huyu katika uongozaji wa magari baaaasi folen ingekua haiumizi hata kidogo
Huyu dada mara nyingi yuko hapa Ubungo mataa,yani yuko fast, akiwepo...
Nikiwa Mbeya mwanzoni mwa mwezi wa sita Halmashauri ya jiji kupitia kwa mkurugenzi wake waliwataangazia wakazi wa Mbeya kwamba sehemu iliyokuwa inaitwa Stela farm (Iwambi) itagawiwa viwanja kwa...
Katika pita pita zangu nilibahatika kuona tangazo linalotangaza chuo kikuu kimoja maarufu sana hapa nchini kwetu. Tunaweza kuchangia mapungufu yaliyomo kwenye attachment ambayo ni picha ya bango...
The Dove World Outreach Center, a non-denominational church founded in Gainesville, Fla., in 1986, has outlined its plans on its website and Facebook page.
It says the burnings will be held on...
WAKUU kuna tatizo kubwa la mtandao wa TRA kwa zaidi ya siku tatu sasa na watu ambao walikua watoe mizigo tokea juzi hadi sasa wamekwama na watalazimika kulipia storage wenyewe na hata kupata...
Kuna watanzania wengi sana wanaonewa na kunyanyaswa na wawekezaji kutokana na wawekezaji kubebwa na watawala.
Katika hali ya kawaida, siyo kawaida mtu aende nchi ya ugenini halafu akawafanyie...
Profile:
Name: Mwakibete, Jacob
Born place: Mwakaleli, Mbeya
Born date: 20 June (nimetunga tu hapa)
Hometown: Seoul, Korea
Hivi mtu kama huyu unamwelewaje?
Mtu kama huyu ukimtajia neno 'NDUKI'...
Hivi naomba kuuliza kwanini tumekuwa tukitozwa kodi mara mbili katika bidhaa moja na katika nchi moja??Mathalani unanua gari Zanzibar unalipia ushuru wote TRA zanzibar lakini ukija na basi pale...
Kama mmoja wa wahusika basi fika airport kuna hili gari limedampiwa na mwenyewe sasa mwezi na wenyewe kiwanja wanafikiria kuliwakilisha kituo cha polisi sasa kama mjuuavyo wote n binadamu gari...
I came across the following interesting piece and thought I should share this with you:
Almost always electorate confuses general elections with popularity contests. We usually forget that...
Slaa: Mimi mtu makini sitendi kwa kukurupuka
Asema CCM imepanga kuibua uongo mpya dhidi yake
na Mwandishi wetu, Meatu
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk...
KWA watu wengi wa jamii za Kiafrika hudhani kwamba mtu kuandika au kutoa wosia juu ya mali zake, ni mkosi na anayeandika anaonekana ni mtu anayejichulia au kujitabiria kifo.
Hata hivyo, hiki ni...
Nikiwa ni msomaji wa makala ya mwandishi nguli ndugu Johnson Mbwambo napenda kumpa pole na kumtakia afya njema,nimesikia kuwa anasumbuliwa na maradhi ya moyo,namuombea apone haraka ili arudi...
Mimi nimekuwa nikiangalia tv za kibongo kweli hawana wabunifu wa vipindi linachonishangaza nipale Channel zote kutekwa na michezo ya Amerika kusini hivi unataka kuniambia hapa africa hakuna...
The smallest monkey in the world is only about 15 cm tall.....
Native to the rainforests of northern South America, the pygmy marmoset tops out at an adult weight of approximately 4 ounces! They...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.