Wakuu, Tanzania ni nchi nzuri na watu wake wana heshima ya ajabu... inasikitisha sana kuona mgeni anakuja, anatukana watoa huduma wetu na mengine mengi, lakini mara nyingi sisi kama watanzania...
Yale machungu yaliyojitokeza mwaka juzi Tabora kwa watoto kufa kwenye disco kwa kukosa hewa ....safari hii yamejitokeza tena safari hii wilayani TEMEKE ambapo watoto zaidi ya watatu wamekufa na...
Time has come for us all to be at the forefront in achieving national development. This earth we are living is just a temporary home and once we are gone thats it and no favors will be extended...
Sad, sad, sad.... Tanzanians please wake up and kick CCM out.
Free's many fees: School unaffordable in Tanzania
MOSHI, Tanzania To Josiah Mchome, a veteran teacher, nothing is more...
Moshi (na Arusha?) mtu tajri huitwa "fogo".
Akitokea Fogo ambaye ataamua kulipa "fidia" Watanzania wote ili "alete maendeleo" kwa "kuwekeza" kwenye ardhi yote ya Tanzania itakuwa sawa?
Vipi kama...
Nimevutiwa na huu mradi ambao nilipokuwa Kenya hivi karibuni nilishuhudia ukianza kuonekana ni jinsi gani utaondoa tatizo sugu la msongomano wa magari kuingia na kutoka mji mkuu Nairobi.
Ni...
Mtoto Sheikh Sharif Yusufu Mohammed
Maelfu ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, jana walipigana vikumbo kugombea kupata huduma ya mtoto mwenye umri wa miaka 12 anayeaminika...
Jamani mimi nimekereka kupita kiasi yaani nataka hadi kutapika kwa kukereka huko,siku hizi kuna tabia imezuka watu wanatangaza katika magazeti,mitandao kuwa wanauza vitu kwa mfano simu,kamera...
Mwanaume mfupi kuliko wote duniani amepatikana nchini Kolombia akiwa na urefu wa sentimita 70 tu na uzito wa kilo 10.
Edward Nino Hernandez wa nchini Kolombia ameingia kwenye kitabu cha rekodi za...
Ndugu wafanyakazi,KIKWETE ni mwamba kwelikweli. Ona hii:"WAFANYAKAZI HATA MGOME MIAKA 8 SINA FEDHA YA KUONGEZA MSHAHARA". lakini kwa wiki 2 za kampeni katoa ahadi za TRILION 42. Wafanyakazi, hii...
Heshima daima,
Mimi bwana ninapotakiwa kuongea mbele za wa2 roho (sijui moyo) ina (una)nidunda. Naogopa. Natetemeka wakati mwingine.
Bali mazungumzo yanapochanganyia uoga wote unapotea...
Wpendwa kuna ma traffick hapa karibu na airport
wao wako kama 7-10 wamekuwa wakijikusanya na kukaa nje ya geti la kampuni ya pepsi
hapa kidogo karibu ya kituo cha airport kuelekea mjini...jamani...
Wakuu,
Jana kupitia TBC Taifa nilimsikia Mkulima mmoja wa Korosho akisema kuwa hawajui ni umbali gani unatakiwa uwepo kati ya mkorosho mmoja na mwingine wakati wa kupanda. Habari hii kwa kweli...
Miaka Mitano Iliyopita Viongozi wa Afrika Walikubaliana kwa Kauli Moja Kuwa Ifikapo Mwaka 2020 KISWAHILI ndiyo itakuwa Lugha Kuu ya Afrika. Je Hilo Litawezekana??? na Je Tanzania Tunafanya Nini...
Dear Customer.
In respect to this email, we have been awaiting for you to contact us for the delivery of your Bank Draft of $800, 000,USD . (Eight Hundred Thousand United States Dollars)...
Hivi inachukua siku ngapi hawa watuwa RAIA MWEMA na MWANAHALISI kuweka habari mpya kwenye websites zao??
Tunanyimwa uhondo na haki yetu ya kupata habari sisi tusioweza kuaccess hard copies za...
I was watching documentary called unreported world in channel 4 in uk. They said Chinese diplomats illegally purchased and exported ivory by misusing diplomatic immunity in 2009. full link and...
Mtanzania mwenye asili ya Asia, Safina Khan, amefikishwa mahakamani hii leo huku Uingereza kwa mashtaka ya 'human trafficking' - alimleta mama wa miaka 47 kuja kumsaidia kazi za nyumbani lakini...
Doctor who 'trafficked' Tanzanian woman is first person charged with modern-day slavery
By Daily Mail Reporter
10th September 2010
A doctor has become the first person in the UK...
eid mubarak to all my muslim brothers n sisters and may allah accept our fasts inshaallah n let not kill all the fadhlas of ramadhan within the first day of shaawal...lets remember thatno one is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.