Habarini wakulu!
Hii imenitokea nikiwa pale arusha! Nilienda kwa ajili ya kupata matibabu ithner asheri charitable dispensary. Wanakawaida ya kutoa namba kwa ajili ya kumuona daktari. Mie...
Hivi karibuni kumezuka na fasheni ya kuvaa nguo za kuacha wazi matiti kwa asilimia 75 yanaonekana mpaka kwa kinamama na makanisani hii inawafundisha nini watoto na ata ambao hawamjui mungu kwa...
Msg yenu mliyonitumia leo kwenye simu yangu yangu ya mkononi imenidhalilisha na kunisononesha sana kwa kuwa mmenisingizia kuwa mimi ni mtoaji na mpokeaji wa rushwa, na MTANIBAMBA.
Kwa kweli hii...
ndugu zangu wa tanzania mnalichukuliaje swala la tbc taifa kuwakatia chadema matangazo?
binafsi nilidhani wangekua waungwana na kuhakikisha kuwa wanavitendea vyama vyote sawa
je hii sio...
Jana nilimpeleka mgonjwa wangu Hospitali ya Mount Meru akiwa na shida inayohusiana na allergy.
Lakini nilikatishwa tamaa na mganga niliyemkuta kwenye chumba kimojawapo nilichoelekezwa!
Kwa...
Kanisani kwa mama kuna maombi yanaendelea pale ya wiki nzima kuombea amani ya nchi.
Hii ni kwa mujibu wa vyombo vya habari.
Sina wasi wasi na maombi ila wasiwasi wangu unajitokeza pale...
Wednesday, August 18, 2010, 3:20 AM
U.S. Embassy Dar es Salaam, Tanzania
Warden Message - Snatch and Grab Robberies
August 17, 2010
This Warden Message is being issued as a reminder of the...
Hi wananchi wenzangu,kipindi cha uchaguzi sio muda wa wanasiasa kupiga ngonjera zao tu bali na sisi waalikwa kuwapima wenzentu. Leo nilikuwa jangwani tangu saa nne asubuhi mpaka giza linaanza...
Amiri wa Mji mmoja wa Saudi Arabia ambae ni wa ukoo wa kifalme (prince) amesema atawakatia maji na umeme wakuu wa mashirika hayo mawili ili waelewe adha wanazopata wananchi kwa kukatiwa umeme na...
Wadau lile wimbi la wagonjwa wa vifafa limezidi kuongezeka mara dufu baada ya aliyekuwa Boss wa Chadema ndugu Bob Makani kuanguka ghafla katika uzinduzi wa kampeni za chama hicho zilizofanyika...
Ujumbe unaosema wote 33 tuko salama
Wachimba madini wa Chile wamenasa mita 700 chini ya ardhi baada ya mgodi wa dhahabu waliokuwemo kuporomoka, wote wako hai lakini...
Inasemekana Dawa mseto ya Malaria ina sumu kali ambayo italeta madhara makubwa hapo baadae kwa watumiaji...Itapelekea watu kupooza!
Jamani watanzania tunamalizwa kwa njia moja au nyingine,vizazi...
Mi napenda sana kuokoka katika makanisa ya siku hizi yani yakiroho lakini cjajuatmpaka leo niende kwa yupi naona kilammoja anafundisha mafundisho yaliyo nje ya mandiko ya biblia .naomba mniambiye...
Most attractive feature in women revealed
<H1>A woman's attractiveness now relates to the size of her waist compared with her hips, fresh scientific research...
Mkono wa mtoto Clement unavyoonekana baada ya kuunguzwa na mama yake mzazi kwa kisa cha kuiba mkate.
Kiukweli mi sina lakusema kuhusiana na hili, kwa maana mpaka sasa najiuliza inakuwaje mzazi...
Kuna taarifa nimezipata muda mfupi uliopita kwamba kuna kabila fulani wanagombania maiti pale Muhimbili kuhusu aidha azikwe hapa Dar au asafirishwe kwenda Mkoani.
Kwa mujibu wa chanzo cha...
binafsi wa TZ wote hatuna haki hiyo kwani vyombo vya usalama vyote vipo kulinda masirahi ya viongozi mafisadi wa nchi hii wale wa CHUKUA CHAKO MAPEMA msishangae mi kusema hiki nitatafutwa ka mwizi...
Wewe ni Baba/Mama/Kaka/Dada au Mlezi, una mtoto/watoto/wadogo zako mdogo/wadogo labda wa kuanzia miaka 4 na kuendelea hadi ukubwani huko tuseme miaka labda 25 hivi au kuendelea.
Sasa...
A pastor has angered Christians in South Africa by preaching a sermon entitled "Jesus was HIV-positive" in an attempt to break what he regards as a conspiracy of silence by the South African...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.