Jamani napenda kuuliza hawa jamaa wa TIGO mbona hatangazi kwenye magazeti washindi wa zawadi mbalimbali za JIKOKI? Jana walisema watamtangaza Mshindi wa Mil 100 mbona sijaona kwenye magazeti?
Prof. George L Wajackoyah for 2012 President
The first Diaspora presidential candidate Prof. George L Wajackoyah talks to Luvei Times about his intentions to succeed retiring President Mwai...
MKUU wa Shule ya Sekondari ya Matimila Isdory Mrema (45) iliyopo mkoani Ruvuma amejiua kwa kujinyonga baada ya kukamatwa na kisha kuachiwa kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa dada yake .
Kamanda wa...
Ron Paul Backs "Ground Zero Mosque," Splitting with Son Rand
Ron Paul
(Credit: Carlos Osorio)
Libertarian Congressman Ron Paul is breaking with many of his fellow Republicans - among them his...
Punde kidogo nlikuwa nasikilizaJahazi... Kayanda anabishana na Kibonde kushusu udhaifu wa watz unasababishwa na kutojua kiingerea au lugha kubwa... Mwenzake anashikilia muhimu ni uwezo na si kujua...
Posted on 20. Aug, 2010 by CDN in Tanzania
Christian university students on the Tanzanian island of Zanzibar, a predominantly Muslim area off the coast of East Africa, have been denied the right...
Kwa wale waliomfaham mpiganaji, mwanaharakati, mwanayanga na mfanyakazi wa chuo kikuu udsm ndugu costantine maligo, aliaga dunia siku ya jmosi kutokana na shinikizo la damu. Tulimuaga rasmi pale...
Heshima mbele wakuu.
Nimepata taarifa kwamba Serikali ya kijiji eneo la Bgmy bara2 ya kuelekea mbuga ya Saadan imeamua kugawa kwa wananchi pori lililokuwa linamilikiwa na Sekarb kwa bei ambayo...
Jamani Kuna hili naona kwangu nigumugumu sana naomba niwaulizeni wakuu ndani ya JF!
Wewe unajirani yako najirani yako amefuga MBWA siku moja unarudi nyumbani kwako na hupo drishani kwako,mara...
Hii ndiyo maana ya mwisho wa Dunia? Maana wachungaji wamekaza sana kula Kondoo!
Priest charged with swindling woman 10.8m/- (Daily News | Priest charged with swindling woman 10.8m/-)
A...
Naandaa Semina kwa washiriki kama 60 hivi.
nataka maswali kama 10 hivi ninayoweza kuweka kwenye Evalutation form hivyo mwenye mawazo ya masawali aniwekee hapa,kama hujui acha message hii...
Wakuu wote heshima mbele
natafuta CCM Manifesto (English version) kwa ajili ya Academic na sio kugombea ubunge. ya kiswahili ninayo
Natanguliza shukrani.
I am coming up to 25 and am sick of people saying to me things like:
1. Quarter of a century. Time is getting on now. You need to be thinking about settling down and kids.
2. No longer a young...
Ndugu zangu jana Kuna tukio nimeliona Mtaani kwetu muda wa usiku wakati narudi nyumbani mpaka saa hii nashikwa na mashaka sana kuhusu usalama wa raia na mali zao maeneo kadhaa nchini haswa yale...
Nimekuta ndio mazungumzo ya Jenerali Ulimwengu kwenye Sibuka FM kipindi cha crossfire ndio yanaishia,kwa hakika Jenerali Ulimwengu kweli ni Jenerali,katika mazungumzo yake kaelezea mengi kati ya...
POLISI WANAWAKE TOKA UK WATOA MAFUNZO KWA POLISI WENZAO WA TANZANIA
Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi
DAR ES SALAAM JUMANNE AGOSTI 24, 2010. Jeshi la Polisi nchini kwa kushirikiana na...
*
Wananchi wenye hasira wamemuua na kumchoma moto kijana mmoja aliyetuhumiwa kuiba piki piki, . Tukio hilo limetokea katika eneo la kimara Mwisho pembezoni mwa barabara iendayo Morogoro...
Ndugu wapendwa
Kwako mama MUNYAGI kila mtu anathamani kazi yako uchapakazi wako na uadilifu wako
lakini pengine hili yawezxekana ulijui ama kuna wachafuzi hapo TCAA wanakuchafulia kazi
zako.
Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.