Hivi unajua Kuna taasisi zitoazo huduma kwa umma wa Tanzania, ambazo zinatoza customers kwa USD? .
Hii inapingana na kauli yako uliyoitoa hivi karibuni kwa kusema quotation katika USD si tatizo...
IMEFAHAMIKA, kuwa idadi ya wanaume wa Kitanzania wenye mbegu za uzazi zisizorutubisha hivyo kutoweza kurutubisha yai la mwanamke na kusababisha mimba inaongezeka. Kwa mujibu wa gazeti la The...
Mwanamama huyu anaefanya shughuli ya kuombaomba mitaani mkoani Arusha,leo ameipata fresh baada ya kutembezewa mkong'oto na kina mama wenzie wa mkoani hapo kwa madai kwamba anawadhalilisha kina...
Ilikuwa ni baada ya kumaliza paper ya mock (Form Four Mock Examination)miaka kadhaa iliyopita! Baada tu ya kumaliza paper, nikajiona kama mkataba wangu na mambo ya skonga ndo ushaisha! Wiki...
MEDIA RELEASE
RwandAir takes delivery of its second Boeing 737-500
Carrier set to start operations into Kinshasa and Dubai via Mombasa. Johannesburg daily flights now possible.
August 20...
Wakuu nilikuwa nafuatilia kipindi cha kipima joto ndani ya ITV leo, ambapo swali lililokuwa likijadiliwa ni 'kukithiri kwa ujambazi wa kutumia silaha nchini' Studioni alikuwepo mwenyekiti wa...
Hongeraa.
Hapo kwenye bold naomba nikusahihishe kwamba mnatoa elfu 53 cash na siyo laki moja. kama umepewa na receipt basi ada itakuwa imepanda.
sisi wa mwanzo tulilipa alfu 35, waliokuja awamu ya...
MKUU wa Upelelezi wa makosa ya Jinai Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,
Kamishna Msaidizi wa Polisi, Charles Mkumbo amekanusha kumshurutisha
mshitakiwa Deogratias Mgasa kutoa maelezo...
ndala ama kandambili kama zinavyojulina na wengi, humsitiri sana mtu aingiapo msalani, kwa kawaida anayejua vizuri umuhimu wa afya yake hawezi ingia msalani bila kandambili,
je CCM imetusitiri...
kuna tangazo moja la zain limefanywa na Kibonde ambalo naona ni wazi limekaa sana kimipasho yaani kuponda huduma ya mshindani wake. kwa nini wasiinadi bidhaa yao bila kutaja au kukosoa vya wenzao...
Nipe mawazo
Nimejenga nyumba yangu,sijavuta umeme.
Nimekwenda TANESCO wakaniambia kuwa natakiwa nguzo tano na kila nguzo ni tsh 400,000 hivyo jumla ni tsh 2m na gharama ya mita ni tsh 460,000...
Smart thinking, isn't it?
Enjoy your day
Leo
Mhhh!
PARE MIND
A PARE man walks into a Barclays Bank in DAR ES SALAAM City and asks for the Loan Officer. He tells the Loan Officer that he...
Umehamia katika nyumba ambayo LUKU ya umeme imechezewa. Pia katika nyumba hiyo kuna wapangaji wengine wawili ambao mnatumia kwa pajomaja hiyo Luku. Na kwa utaratibu waliouweka ukakuta kuwa...
Mtoto wa Kingunge kortini kwa wizi wa mil. 400/-
na Happiness Katabazi
MTOTO wa mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Kombale - Mwiru, Tony Mwiru (36), jana alifikishwa katika Mahakama ya...
Lini wana JF tusioridhishwa na utawala wa JK tutashika mabango na kuandamana kuupinga utawala huu ulioshindwa kufanya kazi tukimtaka aondoke pale magogoni? Aachie ngazi.
Huyu jamaa sjui anamfahamu kweili au labda ni chuki binafsi/wivu tu.
Anadai alizaa mwaka 2002 ni mwongo alizaa mwaka 2000, mimba alimsingizia Fadhili wa Mererani, akamwoa baadaye alimwacha kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.