Wakuu nimeona niwashirikishe kisa cha kweli kilichotokea hivi karibuni, ili kisaidie kufanya maamuzi sahihi wakati wote.
Dreva wa magari yanayo safirishwa nje ya nchi kupitia bandari ya Dar es...
Kuna taarifa ambayo haijathibitishwa kuwa kuna mapigano makali mjini Monduli mkoani Arusha yaliyotokea jana kuanzia majira ya jioni. Mapigano hayo ni kati ya Polisi na wamasai.Mtoa habari ameeleza...
Nimefurahishwa na msimamo wa vyama vya wafanyakazi afrika ya kusini juu ya msimamo wao wa kudai maslahi yao bila kuogopa vitisho,liwe somo kwa tucta hasa wakati huu,wao wanataka kura nanyi mdai...
Jamani wana JF, possibly mimi nimekuwa aidha ignorant sana au pessimistic mno. Kuna hawa vyura wanaozaa watoto wazima, walipelekwa Marekani mwaka 1999 kwa gharama za serikali, na awamu yao ya...
Siku hizi mavazi ni ya aina nyingi sana, hakuna sheria wala mpangilio, kila kitu kinachovaliwa ni ubunifu wa mtu fulani, na lazima kuna watakaokubali na watakaoshangaa au kuchukia.
Naomba tushee...
TUKIKUMBUSHIANA JINSI WAZEE WETU WASTAAFU WA ILIYOKUWA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WALIVYOTAABIKA NA MADAI YAO,KAULI YA VITISHO YA JK KWA TUCTA,HALI NGUMU YA MAISHA,MFUMOKO MKUBWA WA BEI,ONGEZEKO...
Katika peruzi peruzi kwenye mtandao wa Raia mwema nimekutana na Makala hii amabao nikaona si vibaya nikashirikiana na wenzangu kuisoma.
Kichwa cha habari kinakwenda kwa jina ili:
Kwa nini kuna...
Msemaji ikulu agoma kuongea
MABILIONI ya shilingi yatachotwa kutoka serikalini kugharamia kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Fedha hizo zitagharamia utengenezaji picha zitakazotumiwa na CCM...
Kwa mara ya kwanza naingia uwanjani natumai nitafurahia michango yenu nanyi kufurahia michango yangu hasa katika kipindi hiki cha kuelekea october 2010
Regards kwa wote
Ni mimi Kidundulima
Wanajamvi
Mara nyingi tunaongelea mafanikio na mapungufu ya mashirika, viongozi wetu wa siasa dini, ofisi. Tunaongea matatatizo yakwenye mahusiano. Je sisi tuna ujasiri za kujitazama kwenye...
A man has been killed in India after the mobile phone he was using exploded, according to reports.
The victim, named as 23-year-old Gopal Gujjar, suffered serious injuries to his right ear, neck...
Na Grace Ndossa
MIPASHE,Agosti 18 2010
"Serikali imeagiza ndege, kutoka Kenya kwa ajili ya kunyunyizia dawa,katika bonde la Mto Msimbazi ili kuuwa mbu walioenea katika Hospitali ya Taifa...
Alistair Foster
17.08.10
Tricky job: firemen push the burglar into the house after using bolt-cutters
A burglar had to be freed by firemen after getting stuck in a window for six...
Wakuu habarini za asubuhi?
nina blackberry yangu 8310 curve nilitumiwa toka Canada ,toka nimetumiwa mwaka jana sijaweza kuitumia kwani inasumbua kwenye network ina potea na kurudi na hata...
Tanzania domestic revenue collection reaches $300m monthly
By MIKE MANDE
The EastAfrican
Tanzanias domestic revenue collection has reached $300 million per month this year compared...
Wakuu
Naomba kupata ufafanuzi,hivi kuorodhesha ukabila wako kwenye vitabu vya wageni kwenye hotel na Guest house hapa Bongo ni kwa ajili ya kazi gani.
Kwa sababu ukitazama history ya vita vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.