Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
BAADHI YA MARAIS WA AFRIKA NA UMRI WALIO NAO Hosni Mubarak ( Misri) miaka 82 Robert Mugabe ( Zimbabwe ) 86 Hifikepunye Pohamba ( Namibia ) 74 Rupiah Banda ( Zambia ) 73 Mwai Kibaki ( Kenya )...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwema jamanii washika dau? Hivi mnajua kwamba sasa Dar ni hatari sana kwa wale wanaotembea wamening'iniza laptop zao mabegani? Ndugu yangu kuna watu wako standby kuipora na kukimbia nayo. Najua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Siku chache zilizopita nili-post makala moja kwenye tovuti ya Vijana FM | Karibuni kuhusu suala la utoaji mimba. Makala ni kama ifuatavyo: Vijana FM: Utoaji mimba ___________________ Kuna mambo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni siku chache tu zimepita Rais kikwete amewabeza wafanyakazi na kutolea mifanoya mbayuwayu. Sasa anajifanya kutembelea Dar es Salaam, najua atajifanya kuongea na wafanyakazi ktk maeneo yenu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Judge Holds Woman In Contempt Because She Was Offended By Her T-Shirt Jennifer LaPenta did not even have to be in court the day she was held in contempt and jailed. The 20-year-old woman...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KIJANA mmoja mwenye umri wa miaka 27 anatuhumiwa kumbaka kikongwe wa miaka 70, ambaye anasadikiwa kuwa ni bibi yake, na baadaye kumuua kwa kumchinja. Kikongwe huyo, Kulwa Mahona, ambaye ni...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
LEO katika gazeti hili tumechapisha habari inayomkariri Rais Jakaya Kikwete akipokea faru watano weusi kutoka Afrika Kusini akikiri kuwa ujangili na imani za wanaume wajinga kuwa unga wa pembe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maoni ya Katuni Ni habari njema kufuatia taarifa kwamba huduma za usafiri kwa njia ya Reli ya kati kutoka Jijini Dar es Salaam kwenda mikoa ya Tabora...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Rais wa Zanzibar, Amani Abeid Karume. Wakulima 417 katika bonde la mpunga la Mtwango, Zanzibar, wamekwama kutumia materekta mapya katika msimu wa kilimo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeona mara nyingi watanzania wanasafisha pua zao kwa kutumia vidole halafu wanataka kukupa mkono wakati wa kusaliamiana au (kwa wale wakristu kupeana amani kanisani), kushika milango vitu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Njaa yakimbiza wanafunzi shule Jumla ya wanafunzi 1,368 wa shule za sekondari Wilaya ya Handeni mkoani Tanga wamegundulika kuwa ni watoro kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya kukosa chakula...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mzee Ruksa aliwahi kuwaambia Taifa Stars kuwa wanafungwa mno mechi za kamataifa kiasi kwamba watu wa nje kutuona Tanzania kama kichwa cha mwendawazimu. Hivi na serikali ya CCM inayoongozwa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jana nimebadilisha kata na jimbo la uchaguzi katika daftari la kudumu la wapiga kura. Mwandikishaji akaandika majina mawili tu badala ya matatu ambayo nilikuwa nimeandikisha awali (Jina la kwanza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni tukio amablo limekuwa likijirudia karibu kila mara raia wa Somalia wamekuwa wakikamatiwa mjini Iringa pale kwenye chepoint ya polisi (Igumbilo). Shida niiipatayo ni kuwa inakuwaje wanavuka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Maoni ya katuni. Kuna kila dalili kwamba ujambazi unarejea kwa kasi hasa kwenye maeneo ya pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam. Katika siku za hivi karibuni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waziri wa JK ashinikiza dhamana kwa watuhumiwa Ni waliokutwa na viungo vya binadamu, DC, Polisi wakiri kupata maagizo MMOJA wa mawaziri wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete anatuhumiwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Je hukumu dhidi ya Liyumba leo inaweza kuwa ya pili baada ya kusota gerezani kwa muda mrefu tu kutokana na kunyimwa dhamana?Je kesi hii ina 'mengine binafsi' zaidi ya ubadhirifu wa fedha za...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
They stabbed and pierced the body of the young boy Simon of Trent. They have also murdered other children...The sun never did shine on a more bloodthirsty and revengeful people as they who imagine...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NI WALIOKUTWA NA VIUNGO VYA BINADAMU, MKUU WA WILAYA, POLISI WAKIRI KUPATA MAAGIZOEditha MajuraMMOJA wa mawaziri wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete anatuhumiwa kushinikiza kuachiwa kwa dhamana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeona hii makala na nikajiuliza je hali kama hii inawezekana hapa bongo au itakuwa ni uhaini? Australian Micro-Nations: Rebels Begin Home Rule After Rejecting Local Council Authorities |...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom