Vita dhidi ya ugaidi ilianzishwa na rais George .W.Bush mwaka 2001.Katika uzinduzi wake wakati akijitayarisha kulipiga taifa la kiislamu la Afghanistan aliteleza na kusema kuwa ni Crusade.
Neno...
Lake Tanganyika under threat, scientists record highest ever temperatures
A section of Lake Tanganyika. Latest studies indicate it could be dying. Photo File
By Paul Redfern
Posted...
Nimekuwa nikifuatilia suala la matumizi ya lugha katika maeneo yetu na sasa naona kuwa tumekwama kabisa. Iwe ni Kiswahili, hatukizungumzi inavyotakiwa.
Na wale wanaojidai walienda shule hao ndo...
Jiji la dar limeanza ukarabati wake wa barabara za lami. Kama barabara ya lami ina shimo dogo, hilo shimo dogo linapanuliwa zaidi na kusawazishwa na kuwekwa kifusi badala ya kuwekwa lami...
HAKIKA maisha ni safari ndefu, mara nyingine mtu unalazimika kukubali kuwa watu tunatoka mbali nikiwa na maana kuwa mpaka unakuja kuupata utu uzima unakuwa ulishafanya mambo kibao, mazuri kwa...
Tumesikia kwamba mh. Pinda -Waziri mkuu wa Tz,kaondoka leo kwenda kutibiwa UK kwa wiki moja.
Nadhani ziara ndefu na wingi wa kazi umemchosha sana,kwani hata mwendo miguu inaonekana sio sahihi...
MAOFISA wa usalama wa taifa na polisi wanawahoji wanafunzi wanane wanaosoma shule moja ya sekondari kuhusu jaribio la kuulipua ubalozi wa Marekani nchini Tanzania.
Wanafunzi hao wa shule ya...
Ndugu Watanzania, tuna hitaji kudai uhuru tena! Siyo uhuru wa kuji tawala wa Tanganyika wa mwaka 1961 au wa Zanzibar wa mwaka 1963 bali uhuru wa kiuchumi, Economic Independence. Kwani tulipo dai...
Kuna jamaa yangu alinisimulia kisa cha abiria mmoja ambaye alikanyagwa mguu na abiria mwenzake kwenye daladala lililoshona abiria. Abiria aliyekanyagwa alipoinua macho yake kuangalia...
WANAFUNZI wengine wapatao wanane wa shule ya Sekondari Biafra wanashikiliwa na polisi kwa ajili ya mahojiano maalum kuhusiana na jaribio la kulipua ubalozi wa Marekani...
Baada ya chakula cha jioni Yesu akaenda matembezi. Andrew akaenda kumtafuta Yesu,na alipomuona akasema,''Bwana,ndugu zangu wanashindwa kuelewa kuhusu ufalme. Hatuoni kama tunao uwezo wa kuanza...
Samahani wana JF naomba kuuliza ule mgomo wa wafanyakazi nchi nzima umeishia wapi? Kama nakumbuka vizuri baada ya mgomo ule wa kwanza kusitishwa, TUCTA walitoa siku nane za majadiliano (Kwa waziri...
Ukisikia duniani kuna vioja basi sikiliza kingine hiki. Bw. Salvatory Ndeje mwenye umri wa miaka 62 mkazi wa wilaya ya Mpanda mkoani Rukwa amenusurika kifo katika jaribio lake la kutaka kujiua kwa...
Kwa nini serikali haikuonyesha ghadhabu kali kwenye suala la
Richmond?
Ziko wapi ghadhabu za serikali kwa waliohusika na rushwa katika
ununuzi wa rada?
Zipo wapi ghadhabu za serikali kwa...
Kuna ajali imetokea mlangoni mwa makazi ya rais maeneo ya Mikocheni ikihusisha lori aina ya Fuso baada ya kuingukia gari ndogo aina ya pick up, juhudi kubwa zilikuwa zikiendelea kuliondoa gari...
Shule ya Msingi Nduli, ni kilomita takribani 20 kutoka Iringa mjini kwenye jimbo la uchaguzi la Isimani. Pichani ni wanafunzi 120 wa darasa la kwanza chini ya mwalimu Daniela. Mazingira hayo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.