Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
MKUU WA JESHI la Polisi nchini, Saidi Mwema, ameunda tume maalum kwa ajili ya kuchunguza mauaji ya raia mmoja kilichotokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika tukio ambalo lilidaiwa kuwa ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais wa Marekani, Barack Obama Wednesday, May 19, 2010 4:39 AM Mwalimu wa somo la hisabati wa nchini Marekani...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Tafadhari wekeni AVATAR zinazoendana na sura na shepu zenu. Ili hata kama mtu anakutana na wewe asishtuke, iri picha arioijenga kichwani ziendana na muonekano wako wa nje. :confused2: Nawapenda...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
UBALOZI wa Marekani Dar es Salaam umenusurika kulipuliwa. Mwanafunzi wa shule ya msingi anayedaiwa kuhamasishwa na mafunzo aliyopewa na mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda amekiri kutaka kuulipua...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ubalozi Wa Marekani DSM Chupuchupu Ubalozo wa Marekani nchini umenusurika kulipuliwa na mwanafunzi wa shule ya msingi anayedaiwa kuhamasishwa na mafunzo aliyopewa na mtandao wa kigaidi wa Al...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
MSICHANA wa miaka 17 ambaye anadaiwa kumuibia baba yake mzazi Sh15 milioni, jana alifikishwa mahakamani kujibu shtaka hilo lakini muda mfupi baada ya kusomewa mashtaka, kesi yake ikafutwa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Naomba tujadili kidogo pengine na kutoa ushauri kuhusiana na ukorofi wa madereva wa magari ya serikali barabarani. Utakuta dereva anakimbiza sana huku kawasha taa zote na hata wakati mwingine...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wale wanaoogopa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, moja ya hofu yao kuu ni kuporwa kwa ardhi yetu! Watanzania hawa ukiwasikiliza kuhusu Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, wengi wanatahadhalisha kwamba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais wa Marekani, Barack Obama Wednesday, May 19, 2010 Mwalimu wa somo la hisabati wa nchini Marekani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nashindwa kuelewa nchi inaelekea wapi, jana tbc1 waliwaonyesha wanavyuo wakiwa bodi ya mikopo wakifuatilia hela za ada,matumizi na za field.hivi mpaka wanavyuo waende bodi wenyewe au mawasiliano...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KUNA kisa cha bwana aliyemwomba sana Mungu amsaidie. Siku moja akaambiwa; sala zako zimeshasikilizwa, isipokuwa, Mungu atakusaidia kwa sharti moja; Kwamba kile atakachokupa wewe, basi, jirani...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mradi wa EPZ muhimu kwa uchumi wa nchi Tuesday, 18 May 2010 21:46 Mwananchi JUZI Rais Jakaya Nyerere alifungua Ukanda Maalum wa Uwekezaji wa Viwanda kwa ajili ya kuzalisha na kuuza bidhaa nje...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Monday, May 17, 2010 6:36 AM Mwanaume mmoja wa nchini Marekani amehukumiwa kwenda jela miaka 15 baada ya kumuua mkewe kwa kumchoma choma na kisu mara 250 na kisha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Andrea Curry-Demus Tuesday, May 18, 2010 2:51 AM Mwanamke wa nchini Marekani ambaye alimlaghai mwanamke mjamzito...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ASKARI polisi watano wa Kituo cha Oysterbay cha jijini Dar es Salaam, wametiwa mbaroni kwa kuhusishwa na kifo cha Octavian Kashita (38) kilichotokea Jumapili wiki iiyopita aliyedaiwa kuhusika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Gazeti MwanaHalisi RAIS Jakaya Kikwete amesema serikali haina uwezo wa kulipa kima cha chini cha mshahara wa Sh. 315,000 kwa watumishi wake. Anasema kiasi hicho cha fedha ni kikubwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Find the Nile Agreement analysis attached.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kabla ya ordination kuanza rasmi Yesu aliongea na wale kumi na mbili,walipokaa kumzunguka.Akasema, ''Ndugu zangu,hii saa ya ufalme imefika. Nimewaleta hapa pembeni ili niwatambulishe kwa Baba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa walioona taarifa ya habari jana hakika leo itakuwa nghumu kula hii tomato hata ukiambiwa ni origin...kampuni ya ukaguzi wa vyakula tfda imemkamata kijana mmoja akiwa anatengeneza tomato ambazo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom