WanaJF naomba msaada wenu, mimi nikuwa nikipata hudama mara nyingi kwenye hospital ya CCBRT. Nimekuwa nikifatilia mkwaluzano uliopo kati ya Hospital hii kipenzi cha wengi na Serikali.
Mwaka Jana...
Ukifuatiliua vizuri historia ya Thailand utaona kuwa hali iliyofikiwa sasa hivi inatokana na uminywaji wa haki wa muda mrefu uliofanywa na watawala mbali mbali, hali ya rushwa kubwa (grand...
:confused2:Moshi kidnap: Serious case of security lapse
By Editor
18th May 2010
The story of an eight-year old Moshi Municipality boy whose parents last week single-handedly...
Nilisimuliwa kisa cha mbayuwayu ambaye alikuwa anaishi katika shamba la Mkulima mmoja huko Ukwereni. Mbayuwayu huyo aliishi na wenzake katika maisha ya kutegemea nafaka na mbegu mbalimbali...
Lile sakata la muda mrefu juu ya matumizi ya maji ya mto Nile baina ya Misri na Sudan dhidi ya nchi za maziwa makuu limeendelea kuchukua sura mpya baada ya nchi tano za maziwa makuu ikiwemo...
Bahari | Ipi Ltd | Property Investments Specialists | UK
Haya wadau oneni Ma Project hayo.
Bei zake ni balaa, lazima uwe fisadi uweze kununua. No wonder kila mtu sasa hivi anajitahidi kuiba...
why can't most men stick to 1 woman ?
why can't most men take responsibilities ?
why is it most men have to lie ?
why can't most men commit themselve's n stick to it ?
why do most men like...
Aliyeaga kwenda misa ya kwanza Kristo Mfalme akutwa akizini Send to a friend Sunday, 16 May 2010 20:09 0diggsdigg
Daniel Mjema, Moshi
MJI wa Moshi na vitongoji vyake, jana ulizizima baada ya...
rais jakaya mrisho kikwete akiwa na rais wa awamu ya tatu bw.ben mkapa wakitembelea baadhi ya maeneo ya ukanda maalum wa uwekezaji kwaajili ya kuuza nje(benjamin william mkapa special economic...
MTU mmoja anayedaiwa kuwa ni mchawi alidondoka kwenye nyumba moja eneo la Mbezi Luis jijini Dar es Salaam akiwa safarini kwa njia ya ungo akielekea Shelisheli kwenye mkutano wa wachawi.
Taarifa...
Balbu hizi ni hatari
Monday, 17 May 2010 12:22
LONDON, Uingereza
WAKATI teknolojia ya matumizi ya nishati ya umeme yakizidi kukua, Wizara ya Afya nchini Uingereza imehadharisha kuhusu...
Hivi karibuni jamaa yangu alikwenda dukani kununua neti ya olyset inayosifika kwa ubora wa kukinga mbu,akalipa sh 8000 akapewa neti ya olyset iliyofungwa kwenye mfuko wa nailoni wenye nembo ya...
kuna habari zisizo rasmi ambazo zinadai kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta chama cha mabsi kina mpango wa kuongeza nauli kwa rout fupi kuwa sh 500 kuanzia ijumaa ijayo. Habari hii nimeiskia...
Wana JF ningependa kujua lengo la TBC1 na LAPF katika shindano la ndoto ambalo linaendeshwa na mama TERRY.Nia ya kipindi sijailewa vizuri kwani imekuwa ni kuonyesha umaskini tulionao watanzania au...
Hakika kama umepita sinza hutosita kuungana nami
kwamba sasa sinza inaitaji kuitwa jiji la sinza
nimepita kila sehemu imekidhi kila haja ya mtanzania
kwa kila maitaji ya mtanzania....kwa wale...
Habari watu wa JF?
Natanguliza samahani kuwa kichwa kilipashwa kusomeka Star Times Decoder
Kwa watumiaji wa Decoder za Star Times, naomba nisikie maoni yenu juu mambo haya:
1) Stations...
Jamani ugali iwe wa mahindi au wowote mwengine ni mtamu,lakini kwa kweli ugali wa mahindi ambao wengine huuita sembe au sima ni vyema kujizoesha kuwachana nao.Kabla kusikia hoja zangu nyinyi...
Watanzania wenzangu nimekuwa nikitafakari sana jinsi Muungano wetu usivyo na USAWA kati ya washiriki wawili wa Muungano huu.
Kuna mambo mengi yasioleta usawa katika Muungano huu na mojawapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.