Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Iowa English teacher uses Facebook, singing in lessons Pablo Martinez Monsivais / AP President Barack Obama honors 35-year-old Sarah Brown Wessling as the 2010 National Teacher of the Year...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maoni ya katuni Matukio ya ajali za barabarani yameendelea kwa kasi na kusababisha vifo vya watu nchini. Tangu kuanza kwa mwaka huu yameripotiwa matukio...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mabasi yafanyayo safari kati ya Wilaya ya Serengeti na Musoma yameamua kubeba mawe badala ya mizigo ili kutengeneza daraja bovu katika eneo la Daraja Mbili wilayani hapa baada ya daraja hilo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wapenzi polen na majukmu mazito mliokuwa nayo na mnayo endela nayo mungu azidi kuwasaidia mnachoitaji...hivi majuzi kumetokea swala la aibu morogoro pale askari mmoja alipoenda kwa mganga na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ile fainali ya kumsaka mkali wa Kiduku 2010 inatarajiwa kufanyika leo ndani ya Ukumbi wa Travertine, ambapo mshindi ataondoka na kitita cha dola za Kimarekani 250. Afisa uhusiano wa Kampuni ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
By Jerry okungu There is something definitely not right the way the media is treating such an important breakthrough as the formation of the East African Common Market. There doesn’t seem to be...
0 Reactions
1 Replies
936 Views
Kesho kutwa ndio sikukuu ya wafanyakazi ijulikanayo kama mei mosi. Kama ilivyo ada mkuu wa nchi huwa ndie anaealikwa kuwa mgeni wa heshima na ikitokea ana shughuli nyingine humtoma mmoja wapo wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mara nyingi nimemsikia Rais wetu JK akisisitiza na kuwataka Wa Tanzania wanaoishi Nje ya Nchi waje kuwekeza Nyumbani, na hata anaposafiri nje ya nchi huwa anawaambia Wa Tz walio nje ya nchi waje...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
huko china ni chakula cha kawaida sanaaa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jeneza la Mzee Albert likiingizwa kaburini huku bango la maandishi 'Sigara Imeniua' likiwa pembeniWednesday, March 03, 2010 11:16 PM Mvuta sigara aliyeteseka miaka mingi kutokana na magonjwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Americans are more loyal to their favorite soft drink, television show or car brand than they are to their employer, according to a joint Reuters/Ipsos poll. But they are most committed to their...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Padri Privatus Karugendo Aprili 28, 2010 MWAKA jana siku chache kabla ya Krisimasi nilisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Karagwe. Ndege yetu ya kutoka Mwanza kwenda Bukoba, ilishindwa kutua...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Rai ya Jenerali Nakala chapishi Mtumie mwenzio Jenerali Ulimwengu Aprili 28, 2010 NI bayana kwamba mwaka huu wote utakuwa na heka heka za kila aina kutokana na uchaguzi mkuu, na tayari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika maisha yangu ingawa sijawahi kutumia usafiri wa reli kwa Tanzania, lakini niliamini kuwa reli ya Tazara ni bora na walau kidogo unaweza kumpeleka mgeni wako lakini hiki kipindi cha jana BBC...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Bibi Ma Xiuxian akiwa darasaniTuesday, April 13, 2010 2:33 AM Bibi mmoja nchini China amekuwa mwanafunzi mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani baada ya kuamua kuanza darasa la kwanza akiwa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mick akiwa hospitali baada ya ajali mbaya hivi karibuniWednesday, April 14, 2010 9:49 PM Mkulima wa nchini Uingereza Mick Wilary ambaye anadaiwa kuwa ndiye mtu mwenye bahati mbaya kuliko wote...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Katibu wa Kikwete aibuliwa jambo zito Mwandishi Wetu Aprili 28, 2010 Adaiwa kuanza kampeni za ubunge kwa jina la Ikulu Akanusha kudai kuandaliwa Uwaziri Mkuu WAKATI mjadala...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Sokwe mtoto amekamatwa kwenye begi la nguo uwanja wa ndege akiwa anasafirishwa kuelekea ufaransa... Sokwe huyo mtoto alikuwa anaelekea France baada ya kuhifadhiwa na ghafla kuna mfanyakazi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
:angry: Ni waja wenye uelewa mpana sana ni wenye kuweza kufanya mengi sana,ya kupatanisha wanapoamua heri......ya kugombanisha wanapoitaka shari.....wako huku na huku ni watu hatari......TWO IN...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
When news broke at the end of February that renowned televangelist Pastor Benny Hinn’s wife Suzanne had filed for divorce, it was received with mixed reactions. While the pastor’s sympathizers...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom