You must change Lordships. The word lord means master, which means "he to whom a person or thing belongs, about which he has power of deciding." Sin is now the Lord and Master of your life. You...
Mbunge wa buchosa chitalilo yko matatani baada ya kudaiwa kutapeli mfanyabiashara zaidi ya sh million 100...habari zaidi zinasema mallamiko haya yamefika ofisi ya bunge na waziri mkuu.....mh huyu...
Huko tanga dereva na mmiliki wa lori lililosababishwa vifo vya watoto
18 kwa kubeba watoto wa shule wakitarajiw akufikishwa mahakamani kwa ukiukwaji
wa sheria kwa kubeba wanafunzi..watanzania...
Helo wakuu,
Nimelazimika kuandika thread hii kutokana na usumbufu ninaoupata karibu kila siku simu yangu inapokuwa wazi.
Mara nyingi huwa napigiwa simu zinazoulizia kuondoka kwa usafiri wa...
Nimekuwa naulizwa maswali mengi sana katika PM, wengi nilikuwa nawapa majibu kwa kuwaelekeza kwenda kwenye topic hii:
How to use JamiiForums effectively
Sasa nimeona nianzishe rasmi topic hii...
The Creator has given us a decision to make.We must choose between one of two choices;
choose life or death. We must choose either to obey and love Him by living a life of
lovingkindness, justice...
mke wa rais wa jamhuri ya muungano wa tanganyika mama salma kikwete
amewaonya wanafunzi kuwa macho na MAFATAKI...akiongea na wanafunzi wa shule
ya JANGWANI SEC mama kikwete amesema anawaomba...
28th April 2010
Ofisa mwandamizi wa Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa), anatuhumiwa kubadili vipuri vya gari la serikali na kuvipachika kwenye gari lake.
Hatu hiyo imefuatia kigogo mwingine...
1)pray your heart out. Ask God to reveal to you your shortcomings as her husband. This is hard to do because it hurts our pride.
2)APOLOGIZE for those things, no matter how insignificant they...
Majority of Ugandans do not believe in travel and holidays. We look at things in terms of money spent, period. We never look outside the box; as in, how much money does a relaxed mind translate...
Kuna baadhi ya watu wanaoambukiza-ambukiza virusi vya ukimwi makusudi-cally. Je, Wana JF, sheria kwa sasa inasemaje. Kuna mama mmoja amefiwa na mmeo kwa hilo gonjwa hafu yeye anahama maeneo...
Muda si mrefu nilikuwa natazama kipindi maalum itv. Wataalam toka manispaa ya k'ndoni na wizara ya afya wakaichambua hospitali ya sino ya wachina iliyo sinza ambayo wameifunga. Wakachambua...
Mimi ni mpenzi wa kufuatilia habari za kimataifa kupitia vyombo hivyo,lakini nimegundua kuwa kituo cha aljazeera cha mashhatiki ya kati ni kiboko kwa vyombo vya habari vya kimataifa katika habari...
Binti wa Kiingereza Colette Armand kulia akiwa na mume wake mtarajiwa Meitkini
Binti wa Kiingereza ambaye kutokana na utajiri mkubwa wa baba yake, alizoea maisha ya kifahari akisafiri nchi...
Wanandugu waishio tankibovu na pembezoni,
Kama hujafika nyumban jitahdi ununue ma buti ya plastic kama yanapatikana.
Huku karibu kila nyumba maji yameingia ndani ukipata bahati ndio unaweza...
Wakuu,nimekuwa tika mzunguko wa kikazi ulionifanya nizunguke nchi yetu takribani mikoa sita mfululizo,mara,mwanza,shinyanga,kagera,kigoma na rukwa.
Kikubwa nilichogundua ni kuwa kuna utitiri wa...
Helo wanaJf,
Nakumbuka gazeti hili lilifungiwa miezi mitatu toka January 11 kama sikosei ambapo miezi mitatu imeshapita. Je kuna habari zoztote kuhusu gazeti hili kurudi mitaani au ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.