Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Maoni ya katuni Kwenye ukurasa wa kwanza wa gazeti hili toleo la leo, Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC), Emanuel Ole Naiko, amekaririwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAKAZI wawili wa Jiji la Dar es Salaam jana wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya wilaya Kinondoni wakikabiliwa na tuhuma za kujipatia fedha baada ya kudai kwamba wana uwezo wa kumfufua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Swala la maofisa wa kenya kuwakamata baadhi ya wanafamilia wa emirates imeingia katika hatua mpya baada ya uongozi wa emirato kutuma waraka unaoonyesha wakenya watakaoruhussiwa kuingia dubai ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo jumanne tarehe 27/4/2010 ndiyo siku ambayo wahadhiri wote wa vyuo vya umma nchini wanaanza mgomo wao wakiwa na madai mbali mbali. Kulikuwa na wasiwasi kwamba hawa jamaa wanatingisha kiberiti...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha DSM wameamua kuanza mgomo usiokua na kikomo kupinga mafao duni pamoja na madai mengine. Kazi imebaki kwetu wafanyakazi ifikapo Mei tano kumfunga paka kengele.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Huyu dada ni mwizi wa mtandaoni! Kuweni makini wana JF.... Soma uongo wake huo hapo chini.... Kafulia kweli kweli..... My Dearest Sweetheart, I know this mail will come to you as a surprise...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mkurugenzi mtendaji (DED) wa wilaya Bunda mkoani Mara Bw. Cyprian Oyeir ameelekeza kuwa pesa zilizotengwa kwa ujenzi wa nyumba yake ya kuishi Sh. 90ml zipelekwe katika kuboresha sekta ya elimu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau nisaidieni, nahitaji shamba kwa ajili ya kilimo, Niliwahi kusikia kuna mashamba Morogoro Bwawani, Mimi nipo Dar, kwa yeyote anayepafahamu hapo anielekeze namna ya kufika, By the way mimi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jana nilipanda basi kwa mara ya kwanza baada ya muda mrefu sana. Safari yangu ilianzia Tegeta na kuishia Posta Mpya. Kilichonigusa katika safari hiyo, sio msongamano wa abiria, ukosefu wa utumiaji...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
TRAFFIC WASEMA TUMEMCHOKA KABISA MAKAMANDA wa polisi wa kanda ya Dar es salaam na taifa leo wanatarajia kumuweka kiti moto mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Temeke, Edward Balele...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kuna fuso usiku wa jana ilishindwa kuzunguka around about ya mabanda ya papa Tanga na kuua vijana zaidi ya 15 walikuwa wametokea kwenye Maulidi. Source; Magic FM, Radio One
0 Reactions
4 Replies
2K Views
:A S clock: A prolific African-American bank robber has been unmasked as a white man wearing an elaborate disguise to make him look black, it has been reported. Police had put out an appeal...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiswahili ni kigumu,Ebu wana JF nifafanulie hivi mtu anayepaswa hasa kuitwa BABA Mkubwa ni kaka yake(kiumri) baba yako au baba mkubwa ni babu yako na je si kweli kwamba mtu ambaye ni mdogo au...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mchekeshaji wa zecomedy emanuel a.k.a masanja ameamua kumpokea bwana yesu kama bwana na mwokozi wa maisha yake katika kanisa la EAGT pale mnazi mmoja siku ya ijumaa.... emanuel ambae alikiri...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Nimekuwa nikifatilia shindano linaloendeshwa na kituo cha Televisheni cha TBC 1 kwa jina la Serebuka. Vijana wa kike na kiume hushindanishwa kucheza aina ya muziki kutoka Latin Amerika na...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
wakuu naombeni mchango wa mawazo nilipoteza line yangu ya voda na aliyeokota akawa anatumia kwa vile ninaline mbili watu wakawa wananipigia line ya tgo kwamba mbona upokei cm ndipo nilipogundua na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kwa wale tuliangalia gwaride jana siku ya kuazimisha miaka 46 ya muungano binafsi nilitamani ardhi ipasuke inimeze kwa matukio yalivyokua yakiendelea pale uwanja wa uhuru. hasahasa ni pale watu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimesoma kwenye gazeti la kanda ya ziwa ingawa halimo kwenye mtandao Na Mathias Byabato. Ikiwa ni siku chache tangu Rais Jakaya Kikwete kusaini sheria inayolenga kudhibiti fedha chafu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
sijui nania alimpa nauli mrisho mpoto maana jana alikutana na anko wake akamwambia yaliyo moyoni mwake, alimchana ki mtindo anko.....
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu waidara humu ndani nimejaribu kuklik kwenye Music siyapati mambo yetu yaleee ya enzi hizo,wakati huo nyakati zile!! nakutana na bongo flava tuu kulikoni tena ama ndo yakale hayakutani na ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom