BAADA ya binti kutoweka nyumbani na kutopatikana kwa takribani wiki na zaidi nyumbani, baba wa familia {jina kapuni} ameamua kumtimua mke wake akamsake mwanae kwa kudai anajua binti huyo...
BAADA ya kuona mke wake anamsimamo wa kuomba talaka na kumwambia kuwa ataonyesha meseji hiyo kwa mshenga ili ionyeshwe kwa wazee kama uthibitisho, mume huyo aliamua kumuomba radhi mke wake na mke...
Gharama za kuweka mawakili kwenye kesi mbalimbali ni kubwa hivyo wananchi wa kawaida wamekuwa wakishindwa kuzimudu.
Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki na mjumbe wa mpango wa kutathmini utawala bora...
Mtu mmoja anayesadikiwa kuwa ni jambazi, ameuawa katika mapambano na polisi baada ya majambazi kadhaa kuvamia hoteli ya kitalii ya Samaki Lodge eneo la Uroa Kusini, Zanzibar.
Kamanda wa Polisi wa...
Awali ya yote ningependa kutoa salamu kwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwa kuweza kukaa kimya na kuangalia nguvu kazi kubwa ikiwa inapotelea barabarani mbele ya kanisa la Kakobe.
Hivi anawaonea...
Have you tried everything that you thought was required to make you successful, resourceful, pragmatic, superior and yet failed?
No one goes alone to the heights of excellence. Wether your...
Wana jamvi nimekutana na habari ya msaada wa USAID kwenye sekta ya kilimo katika gazeti la Mwananchi nikafurahi sana lakini furaha yangu hiyo ilizimwa na taarifa ya kusikitisha iliyopo ndani ya...
Juzi rais alizindua kampeni ya kutokomeza malaria (Zinduka) ambayo ilipambwa na burudani mbali mbali kutoka kwa wasanii tofauti tofauti wa hapa nchini na nje ya nchi, kilicho nishanganza kwenye...
Posta kama Ulayaaa kudadeki!
Serikali imeanzisha mfumo mpya wa anuani na alama za siri za posta ambapo sasa watu watakuwa wanapokea barua na vifurushi majumbani mwao badala ya kwenda kwenye ofisi...
Nimepata taarifa kuwa leo kuna tamasha kubwa sana la kampeni ya Zinduka kutokomeza Malaria.Na mkul uJMK atakuwa ndani ya nyumba,pa moja na burudani mbalimbali.Kweli kwani kwa sasa malaria ni...
na Irene Mark
MAHAKAMA Kuu kitengo cha Ardhi, Dar es Salaam, imetoa amri ya kukamatwa kwa Mtume na Nabii, Josephat Mwingira, ambaye ni Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Watumishi wa Ephata, kwa madai ya...
Katika upekuzi wangu jana nikawa nimekifuma kitabu hiki na mwisho nikakutana na hadithi hii ungana nami kuisoma ina toka katika kitabu cha 6 Tujifunnze Lugha Yetu!
Zamani za ukoloni, palitokea...
WAFANYABISHARA wanne wa mbao wilayani Mufindi, mkoani Iringa, wanadaiwa kutaka kumpa Sh4 milioni , baba mzazi wa Nikson Kabonge, aliyeibuka akiwa hai wiki mbili zilizopita, baada ya kudaiwa...
Application ya scholarship ipo wazi mpaka March 31, 2010.
Sifa za mwombaji:
Kuwa raia wa nchi mwanachama wa Benki ya Dunia wanaotafuta kukopa.
Kuzaliwa baada ya Machi 31, 1970.
Miaka...
ACCAs/CPAs, any comment?
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
I have a professional woman as my wife; a Certified Public Accountant. She uses LIFO method while taking out the refrigerated food. She...
Tanzania Federation: (Zanzibar + Tanganyika, and Federal Government): Hatutaki!
East Africa Federation: (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Tanganyika): Tunataka!
Baraza la Usalama lenye kudhibiti...
2010-02-13 10:34:00
Makerere University 'overtakes' Dar es SalaamBy Samuel Kamndaya
THE CITIZEN
Uganda's Makerere University has dislodged the University of Dar es Salaam (UDSM) from its...
Najaribu kujiuliza hali na mabadiliko yatakayokuwepo mwaka 2030 duniani hasa hapa Tanzania mwaka huo nitakuwa mtu mzima ambaye nimestaafu kwa mujibu wa sheria wakati huo rais mstaafu Kikwete...
Exuper Kachenje, Dodoma
SUALA la wizi wa fedha katika akaunti ya madeni ya nje (Epa), na Kagoda, jana liliibuka na kuzua zogo wakati kambi ya upinzani ilipokuwa ikitoa maoni yake kuhusu muswada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.