Friends;
Nimeona hatuipi kipaumbele Jamii Doctor.
It is equally important to visit. Maana najua tulio humu tuko na professional tofauti so tutumie column hiyo kusaidia jamii kuhabarishana healthy...
JF members,
I received the following mail from the so called "EMAIL LOTTERY PROMOTION AWARD COMITEE""
Can it be true?
The mail.,,,,,
!!!!!CONGRATULATION!!!!
FROM THE EMAIL LOTTERY PROMOTION...
Tukiwa tunajongea karibu na uchaguzi mkuu wa wabunge, madiwani na rais,
umaarufu wa mwanasiasa kijana wa kambi ya upinzani kutoka CHADEMA umepungua mno.
Amekuwa kimya sana, hatoi tena zile hoja...
Nimekutana na hii blogu inaitwa http://tanzaniascholarships.blogspot.com/
ni blogu ambayo iko dedicated kutoa taarifa za scholarship zinazowahusu watanzania.
Ni vizuri kuwa na watanzania ambao...
Kumekuwepo na wimbi la uchafuzi wa jiji la Dar es Salaam kunakofanywa na masangoma ambao huwa hawachagui mahali pa kuyaweka matangazo ya shughuli zao, wanaweka popote tu hadi Airport kuna vitambaa...
Inasemekana ndani ya kampuni hiyo mambo si shwari kutokana na kwa miezi kadhaa sasakushindwa kuwalipa wafanyakazi mishahara kwa wakati ( tarehe 46) na pia kukabiliwa na migogoro kadhaa ya ki...
Wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya biashara wataingia msituni siku ya Jumatatu ya tarehe 22.02.2010 kugomea utaratibu mbovu unaotumiwa na menejimenti ya benki hiyo kwenye suala zima la kugawa mgao...
Wadau naomba msome hiyo verse then mnipe mchango wenu!
Na kwa kuipa kichwa (motion of discussion) swali ni:
Is it right for a believer to date a non-believer?
Nawasilisha...
Inapatikana...
Nimekutana na hii kitu na kuipenda sana. Siku yangu imekuwa angavu kwa maneno yaliyoko humu. Hebu na wewe chungulia halafu uamue mwenyewe uko vipi?
6 Personality traits to admire and acquire...
Asubuhi ya leo katika taarifa ya habari ya Clouds FM nimesikia kuwa serikali imeshatoa uraia kwa wakimbizi wa Kisomali zaidi ya 4000 na kuna wengine takribani 1500 hasa wale walio maeneo ya...
9/11: The biggest lie in history!
Watch this video from White-Americans proving that the Pentagon-bombing was done by a Global Hawk drone! No human-bodies, no airplane-debris of boeing 757, and...
Nimelazimika kutafuta nakala ya hukumu ya Babu Seya na Wanae iliyotolewa leo hii na mahakama ya rufaa, naomba wanaJF wote tuisome between the lines ili tuelewe kilichopelekea wengine kuachiwa na...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. William Lukuvi, amebaini watu wanaojaza maji ya yasiyo safi na salama katika chupa za maji na kuyasambaza mtaani kwa ajili ya kuyauza baada ya kufanya ziara...
Ukimuona ni paka wa kawaida ambaye hana tofauti yoyote na paka wengine lakini inasemwa kuwa ana uwezo wa kuwatambua wagonjwa wanaokaribia kufariki hospitalini na hadi sasa imesemwa kuwa...
Florida Court Sets Atheist Holy-Day!
Gotta love this Judge!
You must read this.......a proper decision by the courts....for a change.
FLORIDA COURT SETS ATHEIST HOLY DAY
In Florida ...
WATU wanaoaminika kuwa ni majambazi jijini Dar es Salaam, wamemuua kwa kumpiga risasi, mmoja kati ya watu wawili waliowavamia.
Tukio hilo la aina yake lilitokea juzi saa 3:30 usiku katika...
Chini nimejaribu kutaja watanzania waliofungua mlango wa kutafuta Elimu ya juu nje ya nchi. Ni muhimu kuwajua wanafunzi wakitanzania waliosoma Uingereza enzi hizo, labda pia ndio walioanzisha...
Kuna dhana imeanza kujengeka miongoni mwa watanzania kwamba haiwezekani kufanikiwa katika maisha bila kufanya usanii (kuiba, kughushi, kula 10% illegally etc), matokeo yake kumekuwa na matukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.