Leo ni furahidei na kama kawaida kuna watu wanaojali kazi saana leo ndio siku yao yakuanza kukamata chupa, pombe ni mojawapo ya bidhaa maarufu inayoingizia taifa kipato kwani kila anywae hukatwa...
Thursday, February 11, 2010 2:32 AM
Balozi mmoja wa nchi za kiarabu amempa talaka mkewe mpya muda mfupi baada ya kuoana naye baada ya kuiona sura yake kwa mara ya...
Pongezi zangu kwako Bwana Marando kwa kupangua hukumu ya kipambavu na ya uonevu aliyoitoa Jaji Masati kwenye kesi ya Nguza family.
Jaji Masati ni mtu makini, mwenye uzoefu mkubwa wa sheria, mcha...
Wanajamii, natanguliza shukrani kwani kwa maswali yote niliyowahi kuuliza sikukawia kupata majibu mazuri na yenye uzito..
Leo nimekuja na jipya:
In a few weeks we will be having our cultural week...
Hali ingekuwaje pale Mwananyamala au Temeke Hospital AU MUHIMBILI...??
Exit! Baby Born In Hospital Doorway
The dramatic arrival of baby born at the doors of a hospital has been captured on...
Hii ni kwa sababu kupitia haki ya msingi ya kupiga kura, tunaweza kuibadirisha nchi, na kuwa nchi yenye kujari utu wa na utaifa wa wananchi, ikiwa tu, tutaamua kubadirisha CD ya ile nyimbo ya...
Habari zilizonifikia hivi leo ni kwamba majambazi yenye silaha yamevamia kijiji cha Magena huko wilayani Tarime na kupora ng'ombe huku wakiua wanakijiji watatu waliokuwa wakijaribu kupambamba nao
Umuhimu wa idara hii nchini unajulikana. Malalamiko dhidi ya idara hii nchini yameoneshwa na kutajwa katika magazeti, blogu, tovuti, vijiweni na hata kidogo Bugeni.
Mapungufu yameelezwa...
Kuna ushahidi kweli wa maovu aliyofanya nguza au wamemsingizia?Kwa wenye data zimwage, nasikia kuna mwanasiasa alikuwa na kisasi naye, je kuna ushahidi wa kutosha?
Wana JF,
Jana nilisikiliza BBC kipindi kuhusu Nelson Mandela kuwasamehe his tormentors. South Africa ni kama uhasama umeisha licha ya Shapville massacres, kufungwa kwa Mandela and co. na...
Hi all Valentine Day is about LOVE, FREINDSHIP & CARING FOR ONE ANOTHER
On be half of my Valentine & I we wish you all a happy Valentine Day for Sunday may you all share this day to show your...
Kumeanza kujitokeza mtindo ambapo NSSF wanatuma statement zao kwa waajiri (employer) ili kuwasambazia waajiriwa wao. Yaani kama mtu anafanya kazi kwenye KAMPUNI B basi NSSF ni kama vile...
AN EAST AFRICAN PERSPECTIVE
Jerry Okungu
I HAVE said it before in this column. I am glad senior managers at the East African Community Secretariat are seeing it now. I saw it way back when...
Serikali ya Uingereza imetangaza mpango wake wa kupunguza idadi ya wanafunzi wanaopewa viza za kusoma nchini humo.
Serikali ya Uingereza imetangaza kuweka sheria na masharti magumu katika...
Wakuu nimeona onyo limetolewa kuwa kuna wizi mpya kwa kutumia ATM na Credit cards zilizo ibwa na wezi hawa wana-temper na chip pamoja na pin za hizi cards. Kwa habari zaidi tembelea link hapo...
Jaji Herman Thomas, jaji ambaye alikuwa akiheshimika sana kiasi cha kwamba alikuwa akitabiriwa kuwa jaji mkuu wa kwanza mweusi wa Alabama Kusini, huenda akahukumiwa kwenda jela maisha baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.