Mtoto wa kigogo ahusishwa tukio la ubakaji hoteli ya KNCU
Daniel Mjema,Moshi: Date::1/16/2010
MTOTO wa mfanyabiashara mashuhuri wa mjini Moshi (jina tunalo), ametiwa mbaroni na polisi kwa...
FARAJA MGWABATI, 19th January 2010 @ 11:01,
Daily News
THE Parliamentary Public Organisations Accounts Committee (POAC), has summoned the Minister for Labour, Employment and Youth Development...
Kweli jamani hivi ripoti mnayo maana mimi binafsi sijapata fulsa kuiona au sikuwa na bahati mwaka sasa unakaribia kweli siamini kama inawezekana katika zama hizi.
Mwenye ripoti hiyo naomba...
Ukiangalia mfumo wa kuendesha nchi yetu na hata vikao vya wabunge na vile vya madiwani ambao kimsingi wanaweza kuwa ni wabunge kwenye ngazi ya Halimashauri ,utaona kuna tofauti kubwa sana haswa...
Serikali ya DRC imetangaza msaada wa dola za Marekani 2.5mil ili kuweza kusaidia wahanga wa tetemeko la ardhi lililogharimu maisha ya watu zaidi ya laki mbili. Hata hivyo hatua hii ya Congo imezua...
Wadau nisaidieni katika hili kwani linanitatiza sana,Hivi ni kweli kwamba siasa ni ajira inayoendana na ukoo?Kwani mara nyingi naona kina Kennedys,Bushs,Kenyattas,Kikwetes,Kabilas...
WADAU KUNA MJADALA UNAENDELEA KUHUSU SHERIA MPYA ZA MAWASILIANO YA SIMU NA POSTA...KAMA KUNA MDAU MWENYE DETAILS ZA MUSWAADA ATUPATIE....NIMEPATA VIPENGELE VIWILI AMBAVYO VIMEKUWA MOTO KATIKA...
Wakuu,
Kati ya shughuli ninazozipenda sana ni kupanda miti. Mwaka huu wa 2010 nina lengo la kupanda miti ya kivuli na matunda (hasa miembe ya asili) isiyopungua 100.
Kama Wana JF naomba...
haijulikani kama ni kweli au uongo kuwa ukiwa nyumbani mkojo haukubani ila ukitoka tu nje ya nyumba yako hazipiti dakika kumi utausikia.
mkiwa mmeongozana marafiki, mmoja akianza kukojoa, wengine...
Huu ndio wimbo nlioamka nao leo.
Maneno yake ni mazuri sana na yanaleta tumaini sana.
Huu wimbo ni dedication kwa wale wote tunaokutana nao kijiweni kwetu pale darajani.
Kondoo Azaliwa Akiwa na Sura ya Binadamu
Kondoo aliyezaliwa akiwa na sura ya binadamuMonday, January 18, 2010 7:57 PM
Kondoo aliyezaliwa nchini Uturuki akiwa na sura ya binadamu amewashangaza...
serikali ya libya yajitokeza kusaidia athari za mafuriko kilosa
Kuwajengea Nyumba 200 Nyumba Waathirika
Na Jovina Bujulu, Maelezo.
Jamhuri ya watu wa Libya imetoa msaada wa vifaa mbalimbali...
by Joseph Mihangwa
HABARI kwamba mnajimu Sheikh Yahya Hussein ametabiri ya kuwa mwana-CCM yeyote atakayejitokeza kuchukua fomu kugombea Urais kumpinga Rais aliye madarakani, Jakaya Kikwete...
Wakuu,
Sioti, ila naiona siku muhimu sana katika taifa letu yaja ambapo kila shule yetu ya msingi na sekondari itakuwa na umeme (pamoja na wa Jua) na televisheni katika kila darasa ambapo watoto...
Kwa hisani ya Wavuti blog, na mtaarishaji na mpiga picha hiyo Dr Robert K, Naomba tujiulize nani wa kulaumiwa?? Wanasiasa wa Chama tawala na serekali yao, Wanasiasa wote, Watumishi na watendaji...
Wakuu,
Jana nilitembelewa na jirani yangu mmoja na akanieleza kuwa watoto wake wawili wamefaulu mtihani wa darasa la saba na wamechaguliwa kujiunga na shule ya sekondari ya Zinga iliyoko wilayani...
For more details on how to ease anger, download the attached book in PDF.
Today, the world is in a period of vengeance. World peace is fading away, tension is building up
which could lead to...
MIKATABA mibovu ya ukodishwaji wa mashamba makubwa ya kahawa wilayani Hai kati ya bodi za vyama vya msingi vya ushirika na wawekezaji imeonekana kuwanufaisha zaidi wawekezaji na kuviacha vyama...
Kuna habari za kurindima kwa risasi mjini Mwanza ambapo watu 10 wameuwawa na majambazi, 17 Wajeruhiwa, Majambazi 6 nayo yauwawa na wananchi wenye hasira.
habari hizi ni kwa mijibu wa 7:00 pm news...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.