HIVI karibuni Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) waliingia mkataba na kampuni ya udalali ya Majembe Auction Mart ili iwasaidie kusimamia biashara ya usafirishaji wa abiria jijini...
Alfred Nchimbi afuata nyayo za Waziri Emmanuel Nchimbi. Soma mahojiano yake hapa http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=12095 na Tanzania Daima
Nimejiunga na jamii forums tangu mwezi wa tisa,
lakini kuna kitu nimejifunza hapa jamvini.
Kuna watu thread zao hata kama sio za moto zitaopewa thanks kibao, hadi utashangaa.
Nyani Ngabo...
Hili pengine linaweza kusaidia kupunguza ongezeko la ukimwi nchini ebu tusaidiane jamani lipi bora kati ya hayo at keast madada zetu wawezekumaliza vyuoni bila kuogopa kwenda kupima ngoma
ipi...
MKAZI wa Ukonga Mombasa, Charles David Shauritanga (31) leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo ya Samora pamoja na Mahakama ya Wilaya ya Ilala na kusomewa mashtaka tofauti likiwemo...
Date::11/11/2008
Matajiri CCM wazidi kubanwa
Na Ramadhan Semtawa, Dodoma
Mwananchi
KAULI ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete kutaka wanachama wachague siasa au...
Kwa wale waliobahatika kusoma gazeti la Tanzania Daima la jana tarehe 13/01/2010 nadhani mtakuwa mlibahatika kusoma makala ya Mwalimu mkuu wa watu bwana Mayega yenye kichwa cha habari 'RAISI...
Hivi wadau kuna kipindi tulisikia kuwa yule jamaa aliyekuwa anaendesha mtandao wa ZE UTAMU uliojizolea umaarufu mkubwa wakati ule alikamatwa na kurejeshwa Bongo ili ashtakiwe, sasa yule jamaa...
Serikali kupitia idara ya Habari Maelezo kwa mamlaka ya kisheria aliyopewa waziri imelifungia gazeti la Kulikoni kwa siku 90 kwa kuandika habari ambazo zimeligusa jeshi la ulinzi la wananchi wa...
Watu wengi duniani wameshuhudia mvuto wa Qingdao kutokana na mji huo kuandaa michezo ya mashua yenye matanga mjini humo wakati wa michezo ya Olimpiki ya Beijing mwaka 2008. Baada ya kufanyika kwa...
Kuna Thread moja ameianzisha Pakajimmy ya waziri wa Kenya anaitwa Njonjo ambaye hapandi ndege inayoendeshwa na mswahili na anajuta kuzaliwa mswahili, tukija katika swali langu la manjojo, hili...
Is this true?
Power=work done/Time
Knowledge is power i.e. Knowledge=power, Therefore by substitution
Knowledge=work done/Time
But Time is money,i.e. Time=Money This becomes
Knowledge=Work...
Equations! One of the best; I have read in a LONG time
Equation 1
Human = eat + sleep + work + enjoy
Donkey = eat + sleep
Therefore:
Human = Donkey + Work + enjoy
Therefore...
asaalam aleykhum al jamia, nimekua nafikiria kusomea mass communication na ningependa kusoma out of Tz, sanasana US, kwa wenye taarifa semister huanza lini huko na process ziko vipi za kuapply...
Pombe za Bure Kwa Wanaojitolea Damu
Wednesday, January 13, 2010 5:22 PM
Benki moja ya damu ya Marekani imeanzisha kampeni ya 'Toa Damu Pata Bia' ambapo watu wanaojitolea damu watapewa pombe za...
Hapa Tanzania Serikali za mitaa ni dhaifu. Ni wangapi kati yetu ambao tunamfahamu diwani wetu ni nani.
Nimeona USA jinsi ambavyo sheria a mitaa zinawekwa kwamba hairuhusiwi kupigana ndani ya...
it has been like a tradition worldwide that the media houses support each other especially during bad times. But to my utter dismay after the suspension of local investigative paper Kulikoni i...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.