Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Polisi jamii ni ile hali ya maisha ya usalama wa raia kwa ushirikiano baina ya polisi na raia (ambao ndio wanalindwa na polisi). Elimu ya kujiunga na jeshi hilo isiwe kuanzia kidato cha nne...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1. If time doesn't wait for you, don't worry! Just remove the damn battery from the clock and Enjoy life! 2. Expecting the world to treat you fairly because you are a good...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imekumbwa na kashfa ya Daktati feki anayetibu na kutapeli watu fedha. Jamani hivi tutafika kweli kwa hali hii???? Mwenyezi Mungu linusuru Taifa la Tanzania kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
What exactly is a negro dialect? Does anybody have examples of negro dialect?
0 Reactions
14 Replies
1K Views
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imeingia katika kashfa mpya baada ya mtu mmoja kubainika akitoa huduma za kidaktari na kuwatapeli fedha wagonjwa kwenye hospitali hiyo. Tayari mtu huyo, ambaye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
.......Shukrani kwa wote mlionitumia kwa kupitia my email address/PM.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WANAKWAYA watatu wa Kanisa la African Inland Tanzania (AICT) Mlimani Sayuni wilayani Kahama, katika mkoa wa Shinyanga, wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya baada ya kutwangana makonde wakigombea...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Rufa ya mwanamziki Babu seya inatarajiwa kuanza kusikilizwa 30 /11/2009, na itakuwa chini ya majaji 4, akiwemo yule aliyesikiliza kesi ya zombe na wenzake, -Nani anaweza kubashili...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Furaha Kijingo na Festo Polea TAASISI mbalimbali, vyuo, vituo vya watoto yatima na watu binafsi jana vilikwamisha kazi ya ugawaji wa zaidi tani ya 100 za samaki waliovuliwa kinyume cha sheria...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna makala katika Raia Mwema leo inazungumzia kuhusu campaign financing. Inasema mkutano utafanyika 18th January,kujadili hili swala;kama Makampuni ya wawekezaji yanaruhusiwa kutoa michango,na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF. Katika Shughuli za kila siku nilipata kuchat na mzungu mmoja afanyaye kazi Barrick Gold, Na tuligusia mishahara wanayolipwa wageni na wazalendo na yeye moja ya sababu alizoto...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Maisha Plus yanamfundisha nini kijana Mtanzania?Ndiyo ni biashara tuu lakini kuna ujumbe wowote vizazi vijavyo kufaidika??Achana na mshiko wa 15M/=
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kobe mkubwa anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka zaidi ya 120, (pichani), bado anaendelea kuishi kwenye shamba la kahawa la Kibo na Kikafu, Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Kobe huyo anadaiwa...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Siku za hivi karibuni nimeweka thread iliyokuwa inataka kujua dhambi ya asili iliyotendwa na Adamu na Eva, (Uzinifu au ni tunda kweli?) Siku ya Alhamis 14/1/2010 saa 4 asubuhi, WAPO Redio...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Haya sasa uchaguzi wakaribia!! Sijui tutegemee nini!! Maranyingi wananchi wanarubuniwa ili kuwapigia watu fulani kura na hasa kwenye kura za maoni! sijui mwaka huu itakuwaje. Siasa za namna hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. The best way to get even is to forget... 2. Feed your faith and your doubts will starve to death... 3. God wants spiritual fruits, not religious nuts.. 4. Some folks wear their halos much too...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Tunawaenzi vipi wasasnii wetu? wapo wengi wa ngoma na maigizo, miziki ya dansi na michezo. je tunawaenzi vipi, wao na mchango wao kwa jamii? Morris Nyunyusa, ni nani anamkumbuka? Wachezi ndio...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni yupi mkali zaidi? kwa upande wangu mkali kabisa ni Mika Mwamba ....... na wa mwisho ni Jesse wa iliyokuwa Mambo Jambo records samora avenue.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
They can not fish Whale in Canada and US now is time to take advantage of poor country. From IPP MEDIA Under the agreement, 30 Japanese vessels will pay $35,000 license fees to fish in...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom