Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
i. Katika Siasa ......Katika zama zetu hizi za hadaa, muonekano ndio ukweli na wanaofanya mambo yanayoendana na mantiki na wakaruhusiwa kuendelea kuwa katika nafasi zao ni wachache. Rahisi...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Is this the world's first Twitter murder? Man blasted to death with a shotgun after online argument with friend Last updated at 10:12 PM on 11th January 2010 Police in the U.S. are...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Just been talking to a TZ friend of mine this afty and she has told me something quite interesting. I quote her,"We TZ girls, right after our first period, we are taken to the bush and taught...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Si mda mrefu nilikuwa bongo katika tembea tembea,nikawa nakutana na washkaji wamenin'giza flashcard shingoni.Nilipomuuliza jamaa yangu akaniambia kuwa ukitembea na nayo ndio watu wanajua kuwa wewe...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
LUANDA, Angola WENYEJI wa fainali za Mataifa ya Afrika, Angola, usiku wa kuamkia leo, walishindwa kuutumia vizuri uwanja wao wa nyumbani baada ya kutoka sare ya mabao 4-4 na Mali. Mechi hiyo ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hamjambo wana jf, naomba mnijuze kama kuna anayejua forum nyingine tamu au inayofanana na jf, kama mnavyojua kila siku mboga hiyo hiyo inachosha, ukilala jf..ukiamka jf. na ndio maana hata ukiwa...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Mie napenda kuuliza, kama ni sawa kusherehekea mauaji ya wazanzibari yaliyofanyika mwaka 64.Wengi watakuja na hoja zao yameleta ukombozi na porojo jengine, jee ni sawa kusherehekea mauaji ya 1972...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau,kwa miaka mitatu UDSM imekuwa ikitoa degree tatu kupitia Taasisi ya Habari na Mawasiliano ya Umma sasa SJMC ambazo ni Mass Communication,Public Relations and Advertising na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sasa hivi ninapoandika mambo haya wanafunzi wa vyuo vya Taasisi za Afya Shiriki Muhimbili, ambao ndio uti wa mgongo wa shughuli za maabara, uuguzi na baadhi ya tiba katika hospitali ya Taifa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Limewakaa kooni miaka miwili Safari hii ni ama wao au serikali Wabunge wakiwa kwenye kikao chao mjini Dodoma (Picha kutoka makataba) Wiki hii inaanza kwa kamati za Bunge kujadili...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimekutana na hii huku hewani a.k.a internet nikaona niwaonyeshe na nyie, dhumuni kubwa ni kuwaonyesha hawa dadazetu wanaojiita 'mamodo' kuwa hatukubaliani na aina hii ya utangazaji wa biashara...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Luninga jana usiku na magazeti ya leo yametoa picha za Polisi walioua majambazi pale magomeni majuzi wakipongezwa hadharani. Suala zima la kupongeza hao Polisi sio baya lakini nahofia pale jambo...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Let me take this opportunity to congratulate Mr President J.K Kikwete and all Tanzanians for a big task towards development and toward improving life of each and everybody in our Country. Still we...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nadhani tatizo la maendeleo nchini linasababishwa na mgawanyo wa madaraka, hasa ya kisiasa. Mfano kuna huyu mkuu wa mkoa wa kilimanjaro-monica mbega. Pia ni mbunge huko iringa. No wonder wanataka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekuwa nikiguswa kama sio kukereka na kuongezeka kwa kasi kwa idadi ya ombaomba katikati ya jiji la Dar es salaam. Jumamosi hii nimetoka CRDB pale PPF Tower nikapokelewa na kundi la watoto wenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyamayao Salaam. Kwa mara ya mwisho ulipita Arusha 23/12/09 ukiwa unaenda zako MOSHI na hatimaye UUNGANISHE kwenda Mwanza Vekesheni(mkiwa na mzee) Nakumbuka uliwaleta na kuwaacha watoto...
0 Reactions
66 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aelezea chama hicho kilipotoka, kilipo na kinapopaswa kwenda. Hotuba yake yake hii hapa-http://www.chadema.or.tz/hotuba/hotuba.php?id=10&pg=11 Asha
0 Reactions
1 Replies
2K Views
If your mum is not married chances too high up the sky you wont find a husband. True or false out of statistics???????
0 Reactions
0 Replies
1K Views
For those who fear the knife, is this the way to go? http://www.youtube.com/watch?v=aT9N9QJ4wIw
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sisqo is reported to have fathered a child with a 14-year-old girl more than ten years ago, a Swiss court has heard. The News of the World reports that the court decided the RnB star is the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom