Hakuna kikomo kwa shukrani tunazotakiwa kutoa kwa mama zetu. Leo hii uambiwe mama yako tunamtoa kundini(je hii inamaanisha wewe unabaki) maana yake hayupo , kwa hiyo mama hayupo mtoto hawezi...
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimetangaza kuanza kutoa fomu za wagombea urais, ubunge na madiwani kuanzia mwezi Aprili, kwa ajili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Mwenyekiti wa chama...
Five killed as rains ravage Morogoro, Ruvuma regions
By The guardian team
9th January 2010
At least 20 killed in Kenya and 30,000 in need of relief aid
Five people died and many...
Vibaka Dar wafunga mitaa, wapora mali, jambazi lalipukiwa na bomu likipambana na polisi
Waandishi Wetu
WATU zaidi ya 50 waliodhaniwa kuwa vibaka juzi walifunga mitaa ya maeneo ya Yombo Dovya...
Dear Hon. Zitto Kabwe MP
Could You Define Your Personal Leadership Vision?
Leadership vision is an essential means for focusing attention on what matters most; what you want to accomplish...
Tafadhali nijuzeni kama dini ziko juu ya sheria au laa?
Mbona sijawahi kusikia dini imeshitakiwa mahakamani?
Sija sikia dini imefutwa.
Hili likoje wadau.
Jamani kuna picha ya dada mmoja aliwangurumishia majambazi waliouwawa hivi majuzi;hakika roho imenidunda gafla kwanza kuona mtoto mwenyewe na jinsi alivyopendeza;jamani embu mtafutieni kazi za...
Dar junk fish sold off, despite RC`s ban
By Edwin Agola
9th January 2010
Foreign fish found at Dar es Salaam`s Feri Market has been sold without laboratory sampling analysis results...
Mara zote mtu ananapotata cheo hasa cha kuteuliwa tuna kauli ya ukweli tunasema kwamba fulani kaula.
Kuula huku kuna maana gani?? Hoja hii haina maana ya kubadilishwa jinsi ya hali halisia ya...
Jamani nimesoma kupitia vyombo vya habari kwamba leo CHADEMA watakuwa DDC Mlimani City na Kongamano la Wasomi wa vyuo vikuu!
Kama lipo tupeane updates ya nini kinaendelea!
Kocha Ivory Coast: Nipeni Taifa Stars
Kocha wa timu ya taifa ya Ivory Coast Vahid Halilhodzic ambaye ametangaza nia yake ya kutaka kubeba mikoba ya Marcio Maximo ambaye anatarajia...
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imetangaza kuwa huduma ya umeme wa gridi ya Taifa uliokosekana kisiwani humu tangu Desemba 10, mwaka jana, itarejea Februari 20, mwaka huu.
Waziri wa Maji...
Hata kama mimi ni BORELESS si uongo kaulimbiu hii ina ni-BORE.
"NYENYERE ANAPO "MDHIBITI" SISIMIZI MBELE YA MSAFARA WA TEMBO"
Kwani Nyerere lini amegeuka kuwa mnyamapoli?
Mod waonaje...
Wana JF nawasalimu wote.
ni Mtazamowangu kwamba tumekuwa waelimishaji,wachambuzi,wakosoaji,waelevu, walekezaji wazuri sana kupitia Forum hii katika masuala yote ya...
Kuna mama mmoja ambaye nashindwa kumwelewa kama ana akili timamu au nini,anapendelea kukaa kando ya bahari, maeneo ya sea view karibu na Hospital ya Agha Khan. Huyu mama ana watoto 4,na mara zote...
hatimae mapato ya mechi zilizochezwa na ivory coast na taifa stars
zimeeingizwa Million 416 na IVOEY COAST NA RWANDA SH MIL 60
TUNASHUKURU KWA MAPATO HAYA TFF;NATUMAINI KAMA PANGA SANA LIMEPIGWA...
Kwa walioangalia tbc tunaamini kweli haya mambo hatari
kibibi kizee mmoja akadiriae na miaka 60-65 amekutwa kwenye nyumba ya bwana mmoja aitwae salum pale dodoma -airport,wakimwonyesha bibi yule...
Askari Magereza aamriwa arejeshe kamera aliyompora mwandishi
Pauline Richard
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imemwamuru mkuu wa askari wanaosindikiza mahabusu kutoka Gereza la Ukonga, kurejesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.