Waheshimiwa sisi ni majirani wa mh aliekuwa mbunge mtarajiwa wa mbeya
kama si chaguo za ccm;
mh general wetu ana nyumba nzuri na ukumbi mkubwa tu kwa heshima ya mwenyezi mungu naomba nimponge...
Children who are smacked when young are more likely to be successful, study finds
Last updated at 1:39 PM on 03rd January 2010
Disciplined: Children who have been physically...
Inawezekana suala hili limesha ongelewa humu jamvini, mniwie radhi kama ninalirudia katika namna ya kuwarudisha nyuma. Siku zote nimekuwa na wazo la kuunganisha nguvu za kuweza kusaidia kutatua...
Watazamaji wa mbio za magari za Dakar huko nchini Argentina wameparamiwa na gari na kusababisha kifo. Hii ni kama iliyotokea kule morogoro maeneo ya mikese na kuua watoto 4. Soma zaidi kwenye link...
JF BEING USED BY JEWS TO CONDEMN IRAN!!!
Tanzania has nothing to do with Irans internal affairs
Our cooperation is based on mutual respect
Lets not interfere in Irans...
Hii imetokea siku ya mwisho ya mwaka 2009, sehemu fulani mawinguni huko!
Kambarage:Ah! ngoja nikapumzike hapo nje kwenye kibaraza changu hapo
nje, nimechoka kusoma.
Mhhh! nani yule anakuja, kama...
Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya.
Nimekuwa nikimsikia na kumwona kupitia vyombo mbali mbali vya habari Dr Slaa (MP-Karatu) kupitia CHADEMA akilalamika kuingiliwa kwenye mawasiliano yake ya email...
Asalaam aleykum kwa ndugu zangu walio waislamu, tumsifu Yesu Kristo kwa ndugu zangu walio wakristu, shikamooni wakubwa zangu na habari za saa hizi au mambo vipi kwa wale wa rika langu.
leo sina...
24 Things to Always Remember. . .
and One Thing to Never Forget
1. Your presence is a present to the world.
2. You're unique and one of a kind.
3. Your life can be what you want it to be...
Kifo cha mzee Kawawa kimeacha simanzi na huzuni kubwa si kwa familia yake tu bali hata kwa Taifa letu ambalo tuna utamaduni wa kuwatunza na kuwaenzi wazee wetu.Pamoja na hayo sijaona manti ya Rais...
The media in Tanzania this week highlight how events in the year 2009 could shape the country's political landscape this year.
According to the privately-owned Citizens newspaper, "Tanzanians...
Habari kutoka UDSM zinasema kuwa wahadhiri wote wenye tabia na msimamo wa kuikosoa serikali wataanza kushughulikiwa ikiwa ni pamoja na kuondolewa kazini. Na kwamba ukondolewa kwa Prof Baregu...
Na Edward Kinabo
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeuomba Umoja wa Mataifa (UN), kutoa tamko rasmi kuhusu matokeo ya Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja huo, kilichojadili hivi...
Racial or religious groups could be picked out for hi-tech airport checks
Whitehall says passenger profiling 'in the mix'
New body scanners would pose space problem...
na Danson Kaijage, Dodoma
JINAMIZI la wanafunzi wa vyuo vikuu kugoma limekikumba Chuo Kikuu cha Mtakatifu Yohana mkoani hapa ambapo wanafunzi wa mwaka wa pili na wa tatu wamegoma kuingia...
Nimesikitika sana kusikia kwamba wizara ya miundo mbinu ya Tanzania na wale wa Zambia wako china kujaribu kutafuta menejimenti ya kuendesha shirika.
Najiuliza swali moja, hivi kweli ktk...
Asha Bani
MAJI ni muhimu kwa maisha ya kila binadamu, bila ya maji hakuna binadamu anayeweza kuishi.
Lakini maji hayo hayo ni lazima yawe safi na salama, ambayo yatatumiwa na binadamu yeyote...
na Sauli Giliard na Hellen Ngoromera
WAKATI joto la uchaguzi mkuu likizidi kupanda katika maeneo mengi nchini, wananchi wametahadharishwa na kutakiwa kuwa na dhamira ya dhati kuwakataa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.