Poleni na majukumu wana JF!
Kuna rafiki yangu amepata gari kwa reasonable price toka kwa car dealer aliye Japan anaitwa BUDDY CORPORATION. Nimejaribu kumshauri afanye due diligence ili aweze...
Hivi kuna uhusiano gani kati ya kukaa uchi na uchawi?
Numekia nilishangazwa sana na khabari na matukio mbalimbali ambayo yamekuwa yakitokea na kuripotiwa na vyombo vya ajabu.
Nilichogundua ni...
Jamani wana JF katika harakati zangu leo nimekutana na mzungu mmoja akaniuliza natokea wapi nikamwambia Tanzania. Kwenye mazungumzo yetu akaniambia mwezi ujao anakwenda Botswana kikazi,baada ya...
TANGU kuanza kwa mjadala wa vita dhidi ya ufisadi, makamu wa rais, DK Ali Mohammed Shein amekuwa kimya, lakini jana aliamua kufungua mdomo na kuwataka wananchi watumie haki yao ya kupiga kura...
Wakuu ninaomba kuelimishwa kwa wale ambao wanajua zaidi, tofauti iliyopo katika uvaaji kofia kwa wanajeshi.Kwa mfano wakati wa mazishi ya Mzee Kawawa, kuna wanajeshi waliokuwa wana kofia za kijani...
Policeman suspended from duty after sex in church
Published: 4 Jan 10 14:35 CET
A Bavarian police officer has been suspended from duty after he was caught ringing in the New Year with a...
Habari za Uhakika toka Mwanza zinasema Mv.Butiama ikiwa abiria kutoka Mwanza kwenda Ukerewe imezimika katikati ya Ziwa Victoria na yapata masaa 4 sasa hakuna msaada . Naambiwa watu wameanza kusali...
sijui waliochimba kaburi walikuwa kina nani labda kwa sababu sikuangalia tangu mwanzo, lakini niliwaona JKT wakifukia kaburi halafu JWTZ wakatwanga Mizinga, Vipi Polisi mbona hawakushiriki zaidi...
ivi jamani wana JF vile vyandarua vya Bush vimefikia wapi ? ni watu wangapi so far wamefaidika navyo ?(wamegaiwa).
ni idara gani ya serilkali inahusika na swala zima lu ugawaji na usimamizi wake...
NB: Taarifa yote inapatikana katika PDF Format iliyoambatanishwa.
Kumbumbukumbu na Maazimio ya Kongamano
Kongamano la Kwanza la Wanataaluma Waishio Ndani na Nje ya Nchi 2009
Mada...
Meli iliyokuwa inatoka Mwanza kwenda Ukerewe imekkwama kwenye tope Ziwa Victoria.
Meli hiyo inasadikiwa kuwa na watu zaidi ya 250
Hakuna juhudi zozote zinazochukuliwa na wahusika kuokoa maisha ya...
Happy new year
Sio mpenzi wa miziki ya kizazi kipya, ila katika pitapita yangu kwenye utube nikakutana na miziki ya kizazi kipya na nikawa nasoma comment
wanamuziki wengi wa Tanzania...
Ukiangalia mikono na uso utajua kuwa huyu bibie anataka kuwa mwarabu zaidi kuliko mwafrika!Jamani kwa nini mabibie wetu wasiwe proud na rangi zao,kuliko kujichubua na kuwa na light skin?
Kwa watanzania walio wengi tumekuwa hatuna utamaduni wa kujiwekea malengo na kufuatilia utekelezaji wa malengo yetu. Inapendeza sana kama mtu anajipangia mambo anayotaka kuyatimiza ndani ya muda...
Ndugu umewahi kukaa na kujiuliza Mtanzania wa kawaida anayefanyakazi Serikalini na baadhi ya sekta binafsi ana pumzika siku ngapi kwa mwaka ? Umewahi kuhesabu kuna sikukuu ngapi zinazotambuliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.