Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Recently at the KQ office in Dar, I met a fellow traveler, whom we had a discussion on the impact of the influx of Asians in TZ. Needless to say, we were both on the same wavelength; they are...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Jamani kuna vitu vinaendelea kutengenezwa na kuwaumiza wananchi kila siku sasa tumeamua kuuliza je hii ndio miradi aliosema kikwete ya ccm 2010 ama ...mbona wana speed na hakuna viongozi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jeshi la polisi nchini limesema kwamba Kamishna Abdalah Zombe bado ni mtumishi wake ila amelazimika kuomba kustaafu kutokana na mazingira ya kesi iliyomkabili na kwamba anasubiri majibu kutoka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nakerwa sana na wafanyakazi wa vivuko hivi kwa kutumia lugha ya kiswahili vibaya. Ni kawaida pantoni inapofika upande wa upili usikie matangazo ya kufika na yanayotoa tahadhari kwa abiria. Maneno...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
These are not just movies and entertainment. Kuna kitu cha ziada. Wanafikiria nini wanaoandaa mpango mzima? Wanawezaje kuwaandaa mamia ya watu vile?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu, kuna maswali huwa najiuliza lakini nakosa majibu!!. ni jinsi gani serikali ya awamu ya 4 ina practise utawala bora? na je ni zipi faida na hasara za utawala bora ambazo hadi leo hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana nilikuwa na safari ya kwenda airport nikitokea nyumbani maeneo ya mikocheni. Nilitoka nyumbani saa 8 mchana, nikapitia Ali Hassan-Bibi titi-Nyerere road. Kuanzia mjini niliona askari wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Its 48 years of Independence. Unfortunately most of youths are not free in their mind! We nowdays thinkof harversting without raising crops "MAFISADI" Let's unleash our thoughtsand make...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mmh jamani hii kampuni tunaipenda sana lakini hizi nauli tuwe wazi inabidi wapunguze....ni kweli kila mtu anaitaji kupanda lakini isiwe tabaka fulani tu kwamba wenye pesa zao ndio wanapanda...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
BOMOABOMOA kubwa na ya muda mrefu inatarajiwa kufanyika katika maeneo mengi ya miji na vituo vikuu vya biashara nchini ambapo serikali itachukua viwanja, nyumba, mashamba ya watu na kuwafidia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
08 December 2009 Na Yusuph Mussa Same, KILIMANJARO BAADHI ya wananchi wa Kijiji cha Goha, Kata ya Myamba wilayani Same, Kilimanjaro, wamekimbilia katika nyumba aliyofikia Mbunge wa Same Mashariki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi wanafunzi wa primary/secondary skuli wanaweza kuingia darasani wangali wajawazito? badala ya kufukuzwa kama ilivyosasa,kwani ni haki yao ya msingi kupata elimu. Vijana wengi walio katika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya kung'ang'ania kutovunja urafiki na mafisadi leo hii tunaona mafisadi hawa wakitumia kila mbinu kuvunja mshikamano wa wananchi walioanza kuona CCM si serikali matokeo yake sasa kila dini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tukio la kusikitisha limeibua hofu, simanzi na maswali ya kila aina baada ya kudaiwa madaktari wa hospitali ya Temeke kuruhusu mazishi ya mapacha wawili...kabla ya mmoja wa kuzinduka muda mfupi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
American state changes the way it executes prisoners... so that they die more slowly By Daily Mail Reporter Last updated at 4:20 PM on 07th December 2009 Kenneth Biros could be the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Suzy Butondo, Shinyanga SERIKALI mkoani Shinyanga imetangaza kuwachukulia hatua za kisheria baadhi ya viongozi wa madhehebu ya dini wanaowapotosha waumini wao kwa kusema kuwa wanaponya ugonjwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Napenda kuuliza kama ninaweza kutumia credit/debit cards za kigeni katika ATM za Tanzania? Nilipata tetesi kuwa baada ya kutokea wizi katika ATMs mbalimbali Tanzania, pametokea mabadiliko. Napenda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Angalia filamu muhimu ya dakika 30 ya mabadiliko ya hali ya hewa Tanzania leo Dec 7, 2009 Saa 1.30 usiku TBC1 na Saa 3.00 usiku ITV WWF Tanzania
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi kuna uwezekano kweli wa kupata mafanikio kupitia nguvu za giza kama vile kupata kazi,mke unayemtaka au mafanikio mengine ya maisha kwa kwenda kwa wataalam wa kienyeji? kweli mtu anaweza...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
There is a tale from Malawi about the President’s speech during 1980s. This was the time when Dr. Hastings Kamuzu Banda was a despot life president and a demigod of some sort, so to speak. Banda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom