Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
WAJAMENI NAONA JF TUMEFANIKIWA ZOEZI LA UFISADI WA VITUO KWA UPANDE WA TERMINAL..SASA KUNA HUU UHUNI UNAOENDELEA HAPO OFISI ZA JIJI UKIONGOZWA NA MEYA WETU WA JIJI...KUGAWIA WATU VITUO..HII...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wasoma vitabu vya dini mnamkumbuka ibrahim mnajua alitaka kumfanya nini mwanae issaka...mnajua nini kilitokea basi yawezekana ndugu una matatizo mengi sana...yawezekana unamtikisiko wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Nasumbuliwa sana na hawa wadudu. naombeni ushauri wenu, nitumie dawa gani kkuwatokomeza? natumia DOOM, RUNGU mwanzo zilisaidia, lakini sasa hawa mbu nadhani wamevumbua ujuzi mwingine...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
naomba nifahamishwe ni kwa nini jambo forums ilifungiwa? na kipi kinachoitofautisha jamii forums na iliyokuwa jambo forums?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Suddenly your house lights go off. From your window you find that your neighbors still have their lights. So you go out of your house to check the Meter Box. But once you open the door, a knife...
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Unapoingia kwenye geti la Hospitali ya Mount Meru, mkono wa kulia kuna Transfoma ya Tanesco, ambayo iko katika njia ya waenda kwa miguu. Jana nikiwa natoka ofisini kwangu, niliona kwa mbele...
0 Reactions
14 Replies
38K Views
Today I passed by a building which has an ATM machine. There was an old man looking at me. Suddenly, he called me. He said he did not know how to read, so he gave me his ATM card and asked me to...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
samahani wakuu, naomba kumnukuu mdau huyu toka mtaa wa jirani..... "Kwako brother Michuzi,Naomba unirushie haya machungu yangu,............... Naona serekali kuona vyote hivyo sasa tunatakiwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Inawezekana leo ni Eid El hajj kwa wengine? Nimeona Kanzu nyeupe na Baragashia zake nyingi sana na hijab kwa pembeni. Mi najua ni kesho, kulikoni? Mniwie radhi kama sitaeleweka kwa maana nzuri.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Waungwana naomba msaada wenu juu ya hili neno, silielewi, lakini nimepata mtoto sasa ni mwezi wa nne umepita tangu alipozaliwa, mama yake ananinyima unyumba kwa madai kuwa nitambemenda mtoto...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Yawezekana ufisadi ukawa ni hali tu ya kuzidiana mapato yasiyokuwa halali...watu wengi wako makazini majumbani...leohii dunia imebadilika wanaume wanaiba pesaza wake zao....ukiwa kama mdau uko...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi pamoja na familia yangu wife Nasriyah Saleh Al Nahdi watoto 1. majjid Hamza Al Naamani (Kulwa) 2. Majjidah Hamza Al Naamani (Dota) 3. Heytham Hamza Al Naamani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hivi chuo kikuu cha Dar, UDSM wao hawatangazi nafasi za kazi? au ndio kusema kwamba kazi ni za kupeana tu watu wanapigiana simu?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kuchukua nafasi hii adhimu kuwakumbusha kuwa HIJJA rasmi inaanza kesho katika mji wa MAKKAH. Mahujaji watakuwa Minna na Muzdaliffa katika kufanikisha ibada yao hiyo adhim ya Hijja...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jana Kuna dala dala moja ya rafiki wangu wa karibu imekamatwa na maofisa wa TRA ikiwa imebeba abiria aliyekua na box la juice za magendo zenye dhamani ya Tshs 50,000. Gari hii inafanya safari zake...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Engagement Ring The girl asked her lover, "Darling, if we get engaged will you give me a ring?" "Sure, “replied her lover "What's your phone number?"
0 Reactions
2 Replies
1K Views
To my boss Darry I tire; I slave in the cubicle, bending all day To build; my career and take the firm all the way You seat, in that fancy desk, complaining all day Over the phone, company phone...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Authentic and unique You are unique. So think like it, act like it, and make the most of it. Breakthroughs do not come from following the crowd. You are capable of truly great achievements...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Habarini wana ndugu....., habari zilizotufikia hivi punde lile sakata la kushushwa rubani wa airzahra Kushushwa na mamlaka ya TCAA sasa limepata ufumbuzi..pamoja n kuomba AIRZAHARA waje kutueleza...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, tuko kwenye sherehe mahali isiyo na kilevi, maana kuna pia Walokole. Lakini kumetokea mzozo, maana waandaaji wameweka Kinywaji inaitwa Malta Guiness.KunaWalokole wanaosema kinywaji hiki...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom