Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Bosi wako anapokuambia kuwa hana uhakika wa kulipa mishahara kwa miezi iliyobaki kukamilisha mwaka, labda mpaka mwaka kesho, haiathiri utendaji wako wa kazi wa wafanyakazi?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi mpaka sasa hivi nasubiri matokeo rasmi ya serikali za mitaa kwa nchi nzima. Nasikia tu chama tawala kimeshinda kwa kishindo ila hakuna data za Tanzania nzima. Wizara inayohusika naona iko...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Swali, mara nyingi naona hoja nzuri humu lakini naona hazifiki print media. kama magazeti lakini naona hoja zinazotoka magazetini zinaletwa huku.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gado endelea kutusaidia maana mchango wa kila mtu unahitajika ili kuiokoa nchi yetu.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tumekuwa wepesi wa kulalama kuhusiana na mustakabali wa taifa letu lakini "watawala" ni kama hawaelewi lugha tunayozungumza au wanabeza tunayolalamikia. Kipi kifanyike kutunusuru na maangamizi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Juzi hapa seif khatib alihojiwa na kusema kuwa yeye hajauonapo waraka wa Mungano alichokiona yeye ni picha za wasisi wakikabidhiana waraka huo, cha kujiuliza leo inakuwaje wazi huyo huyo anawambia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Can the personnel perform personal personnel on personal capacity?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wachangiaji mbalimbali walitoa ushauri kuwa CHADEMA ihame kutoka www.chadema.net iwe na domain name yenye jina la kitanzania. Naona wamekubali ushauri huo na sasa wanapatikana kwenye...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Wakuu habari za hapa jamvini?huu ni mtizamo wangu na ningependa niwashirikishe wakuu pia. Serikali ya JK mpaka sasa imeshaharibu mambo mengi tukianzia na hili la richmond..na kutokana na unafiki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Desk jobs could raise the risk of prostate cancer Last updated at 8:50 AM on 29th October 2009 Men who have desk jobs are more likely to develop prostate cancer, research suggests...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kila mara humu ndani kunakuwa na hoja mbalimbali zinazohusu mustakabali wa nchi yetu. lakini katuni hii ya Masudi, al maarufu Kipanya ndiyo imemaliza kila kitu kuhusu utanzania wetu. juzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
2009-10-29 08:39:00 Govt to fund presidential contestants in 2010 raceBy Damas Kanyabwoya, Dodoma THE CITIZEN The government has decided to partly finance expenses of presidential candidates in...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati sakata la watoto wa vigogo likiendelea kutafutiwa ufumbuzi baadhi ya mashirika mbali yameendelea kuwajibika katika hili na kutia simanzi kwa jinsi hali ya kung'ang'ania watoto wa vigogo...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Mwanamke mmoja (jina kapuni) amefika temeke hospitali jana na kudai kuwa mjamzito, na baada ya muda kidogo akampigia simu mme wake kuwa amejifungua mtoto, lakini daktari wake amemwamia kuwa mtoto...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
kuna wakati nahisi kama hii nchi haina vipaumbele na viongozi wetu wapo kiubinafsi zaidi, kwanini mienendo yetu au shughuli zetu haziendani na wakati tuliokuwa nao? inafika hatua sasa inakuwa ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bahi wala pumba za mahindi na Danson Kaijage, Bahi PAMOJA na juhudi za kutoa msaada wa chakula katika maeneo mbalimbali mkoani hapa, Wilaya ya Bahi bado inakabiliwa na uhaba mkubwa wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
1.Vyama vya siasa havitatakiwa kuwa na uhusiano na vyama vilivyo nje ya nchi 2.Kila mgombea hatatakiwa kuwa na biashara 3. Kila chama kitatakiwa kueleza vyanzo vya mapato yake ktk uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
There are things that only Ugandans do that you won’t find elsewhere. We are the only people who bend all the rules, as long as we don’t break them. It’s the only country where you...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mods tafadhali najua hapa si mahali pake lakini naomba muiache kidogo walau isomwe na wengi maana jukwaa hili ndilo linapitiwa na wanachama wengi zaidi. Kwa sasa niko schengen huku nafanya kakozi...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
How long before our passports become worthless? :mad: Tanzanian drug dealers overtake Nigerians in supplying illicit drugs to Botswana by Reuben Pitse 29.10.2009 9:33:44 A Tanzanian drug...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom