Baada ya kusoma ile ishu ya mmarekani chuo cha sanaa nimeona nipost hii inayohusu University of Dar es Salaam na sexual harassment ati wazipatazo wanadada:
Sijui kama kuna ukweli au vipi, ila...
Ninasikitika sana kusema haya nitakayoandika hapa ndani lakini ndiyo hali halisi na inanikera sana na sina budi ku-share nanyi.
Hivi kweli hadi hivi sasa bado Tanesco ina sifa za kuitwa...
Just because someone doesn't love you the way you want them to, doesn't me an they don't love you with all they have.. Ralph and Edna were both patients in a mental hospital. One day while...
guardian.co.uk, Tuesday 20 October 2009 13.45 BST
Article history
Thousands of Anglicans could defect to the Roman Catholic church after the pope today approved a new global institution to...
Ndugu wapenzi;akika wengine labda atukujua nini maana ya urithi tukiwa wadogo..ila tunavyoona sasa hivi mmhhhh
mzee wetu mmoja amefariki kama mwaka uliopita;aliacha mali nyingi tu na nzuri za...
BIASHARA YA OMBAOMBA INAVYOSHAMIRI
Ukiwa ndani ya daladala la kutoka mwenge kwenda posta au kariakoo kuna jambo Fulani unaweza kuona unapofika kituo cha makumbusho na Victoria nalo ni vijana...
Kuna taarifa za sekunde kama 30 zilizopita kuwa jengo la NBC makao makuu almaarufu kama NBC Corporate linawaka moto.
Mlio jirani na eneo hili tufahamisheni tafadhali
Nafikiri kuna tofauti kati ya kufufuka na kurudi msukule,
Mara nyingi tunachanganya, Binti wa mwanza na yule wa moshi hawajafufuka ila wamerudi msukule,
Aliyefufuka ni yule aliyekufa kweli...
JESHI la Polisi nchini limetangaza zawadi ya Sh milioni 5 kwa atakayewezesha kukamatwa kwa watuhumiwa waliohusika na mauaji ya raia wa China, Zhang Hongfa (23), ambaye alikuwa mhandisi wa kampuni...
Iranian Authorities Pressure Father of Convert
Government trying to quell Christian sons human rights activities.
LOS ANGELES, (CDN) In an attempt to silence a Christian human rights activist...
Hii nimeiona mara kibao nikiwa Bar sasa naona inajengeka hii tabia kume kuwa na tabia mbaya kwa kina dada wanao beba mikoba a.k.a kipima Joto pindi wamalizapo kilaji basi anaweka na bilauli kwenye...
Nimekuwa hapa Ughaibuni kwa muda sasa na nimepata bahati ya kukutana na watanzania wenzetu walio huku ughaibuni kwa muda mrefu.
Nimejifunza jambo moja kutoka kwa hao woote.
Watu hawaijui...
Mimi sielewi hivi mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, mbunge na madiwani wanafanya nini au ni nini kimeshindikana hadi watoto wakae chini wakati sijaona Landcruiser za wakubwa hawa zimekosa mafuta...
Namtafuta best friend wangu JESCA NAIMAN MOIRO kutoka Baraa,Mashono ,Moivaro Arusha, Tulisoma naye Tabora Girls School ikiitwa WARSAW enzi hizo miaka ya 1982-1986.
Alibahatika...
Nina katoto kadogo ka miezi sita,
tangu jana jioni kamekuwa kakisumbuliwa na malaria,
leo asubuhi nimekapeleka lugalo hospitali kwa kuwa ndio hospitali iliyopo jirani na makazi yangu kawe...
Monday, October 12, 2009 7:53 PM
MGAO wa umeme wa zaidi ya saa 14 kwa siku katika kila kona ya jiji ya Dar es Salaam, ulioanza wiki iliyopita nchi nzima, umekuwa ni...
Nyerere alikuwa mtu wa ajabu matendo yake yanakaribia kufanana na ya Yesu. Hakika hajatokea mtu wa kuvaa viatu vyake, anasema Mbusuro Wanzagi, mke wa 10 wa Chifu Edward Wanzagi Nyerere...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.