Wadau, hili swala kwa kweli linanikera sana na mbaya zaidi siku haiezi isha bila kuona mtu anajisaidia haja ndogo pembezoni mwa barabara au kwenye tairi ya daladala.
kuna jumamosi moja nilikuwa...
Two Kenyan men wed in London
Spear Yesterday, 10:36 PM
The wedding has been the talk of the week in London among the Kenyan communities. The wedding of Mr. Daniel Chege Gichia, 39, who wed...
Imekuwa ni kama kasumba kwa watu wengi waliofikia rika la kujitegemea kukosa uchaguzi sahihi wa kuyaendea maisha yao kwa usahihi endelevu utakao mjenga na kumuendeleza katika kuyakabili maisha...
Nimeona Kang ameanzisha mada ya kuzungumzia mambo ya programming hapa: https://www.jamiiforums.com/technology-and-science-forum/33905-programming-crew.html .
Halafu Nguli akatuua wabeba maboksi...
The Betrayal
How our heritage is sold out
By Mark Seidenberg Vice Chairman of the American Independent Party"
In 1949 Barack Obama II's grandfather was convicted of being a Mau Mau in...
Long-term use of mobile phones may be linked to some cancers, a landmark international study will conclude later this year.
Published: 24 Oct 2009
Heavy users may face a higher risk of...
BABA MZAZI wa mtoto Debora Daniel [4] aliyetambulika kwa jina la Daniel Shauri [37] anashikiliwa na polisi mkoani Manyara kwa kosa la kutoa idnini binti yake akeketwe na kumsababishia kifo...
Waraka kwa wote wenye mapenzi mema,
Toka niifahamu JF mpaka sasa,imekuwa ni rafiki wangu wa karibu.Nikifika Ofisini asubuhi kitu cha kwanza ni kuangalia JF kumejiri nini.Hata kama nina kazi...
Ndugu,
Tumepokea taarifa za msiba kuwa mke wa Mheshimiwa Mbunge wa Kishapu CCM,Mpendazoe amefiwa na mkewe Rosemary,aliyekuwa ameenda India kwa matibabu jana jioni.
Tunakupa pole na Mungu ailaze...
Then...Man hadn't yet walked on the moon
Now...The U.S just bombed the moon
Then..My parents got married first...and then lived together
Now...Most unmarried couple have "live in"...
Ushirikina upo wakuu msibishe!!
Monday, 19 October 2009 07:28 binti alipokuwa shule ya msingi:
binti alikodaiwa kuzikwa: Wakati wa mazishi yake huko Sweya Nyegezi, Kata ya Mkolani...
DO YOU REMEMBER 22 OCTOBER, 43 YEARS AGO??
On 22 October 1966, the University College of Dar-es-Salaam at Mlimani was closed by the late President Nyerere and all students were sent home to...
Hivi karibuni kesi maarufu ya akina Zombe ilimalizika kwa serikali kubwaga vibaya. Wapo walioona kuwa mahakama haikutenda haki kwa ndugu wa wafia. Lakini binafsi naamini suala halikuwa mahakama...
hadi tunaingia makaburini sisi ni watu wa magumashi tu,hadi kwenye swala la maisha yetu wenyewe!
hebu soma hii:
FAKE!FAKE! Tetracycline
By The Express Reporter, Dar es Salaam
Fake...
Leo asubuhi nilikuwa nikisikiliza BBC na nikavutiwa na habari moja inayohusu serikali ya Rwanda kuamua kuwafanyia tathmini watumishi wake wote ili kupima kiwango cha ufanisi wa utendaji wao...
JINA CCM LIMETOKANA NA NINI
Naomba kuchukuwa muda wenu kidogo kujadili kitu hichi kama kinawezekana , nimekuwa nawaza kuhusu jina la CCM yaani chama cha mapinduzi yaani hili jina lake lilitokana...
Mh. Rais kwanza nikupongeze kwa kufanya mabadiliko ya mwanasheria mkuu wa serikali, lakini pia naona imefika kipindi tunahitaji DPP mpya ambaye ataweza kufanya kazi kwa kufuata kanuni na taratibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.