Si mara ya kwanza kukuta msongamano wa magari makubwa ya abiria na yale ya mizigo yakishindana jinsi ya kupima uzito pale njia panda ya himo hasa nyakati za jioni na wakati mwingine kutokea...
Hivi how hard is it kwa Immigration officers kufua nguo zao?
Hivi how hard is it kurekebisha zile escalators pale waunja wa ndege?
Hivi how hard is it kuweka Aircondion mle dani?
Halafu...
THE National Assembly begins its latest session in Dodoma today with daggers set to be drawn over a number of burning controversial issues, including the Richmond power generation scandal...
Habarini ndugu zangu.
Leo ninaomba nijumuike nanyi katika jukwaa hili.
Ninaomba ufafanuzi juu ya hili suala la mauaji ya walemavu wa ngozi (Albino). Tangu suala hili lilipoanza kutangazwa...
Wajameni sijaelewa huyu mkuu wa afande hapa Dar daily kideoni,mara amekamata vibaka.. ooh wamachinga...,hivi hakuna msemaji wao kwa kanda hii au ndo kale katabia akistaafu mjengoniiiiiii
EATING FRUITS...
[IMAGE]
It's long but very informative
�
We all think eating fruits means just buying fruits, cutting it and just popping it into our mouths. It's not as easy as you...
Nimeota ndoto ya ajabu sana, eti viongozi wa sasa/wastaafu kibao na wafanyabiashara wamejazana pale MAELEZO kila mmoja anataka kuongea na waandishi wa habari! Waliopewa nafasi ya awali kuzungumza...
A Professor at one of the IIM's was explaining marketing concepts to
the Students:-
1 You see a gorgeous girl at a party. You go up to her and say:
"I am very rich. Marry me!" - That's Direct...
Sina budi kuwashukuru wote waliopiga kura karatu na sehemu nyingine zote ambazo CCM IMESHINDWA KTK SERIKALI ZA MITAA
SHUKRANI ZA PEKEE ZIWAENDEE WOTE WALIOSHIRIKI KA TIKA UCHAGUZI PALE KARATU...
Ndugu zangu mimi nakelwa sana na msg za promo zinazotumwa na hawa jamaa hasa hawa tigo na zantel, na hata voda na zain nao wanaiga sasa, naona kwao zinalipa sana. sijui wenzangu mnazionaje?
Date::10/26/2009
Magufuli: Hakuna hasara kwa kuhifadhi samaki walionaswa
Na Festo Polea
WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, John Magufuli amesema kuwa hakuna hasara yoyote badala yake...
Date::10/26/2009
Mradi wa Ziwa Victoria wapata hasara ya zaidi ya Sh500milioni
Na Zulfa Mfinanga, Shinyanga
MRADI mkubwa wa maji ya Ziwa Victoria kwenda miji ya Kahama na Shinyanga umepata...
Date::10/26/2009
Serikali za Mitaa: Makamba ashindwa kumzima Dk Slaa Karatu
Na Waandishi Wetu
MATOKEO ya awali ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika juzi nchini kote, yanaonyesha kuwa...
Jana jioni, barabara ya kwenda Bagamoyo, saa za jioni wakati watu wanarudi majumbani kutoka kwenye mahangaiko ya maisha, ndani ya basi al-maaruf Daladala. Watu wakiwa wamejaa kishenzi kutoka...
Are you guyz encouraged to present mind boggling questions about your religion?
1. "O ye who believe! Ask not questions about things which if made plain to you, may cause you trouble. Some people...
Pamoja na umaskini tunaopambana nao ila hii ni hatari. Nadhani watanzania tunahitaji kuongeza bidii ktk kazi na kupambana na rushwa. Wahindi wakija bongo wanatudharau lakini soma habari hii ndo...
Hivi watanzania gani ambao sio wanasisa wala viongozi ambao tunaweza kusema wemeifanyia nchi makubwa...au tunaweza sema
Ni watanzania ambao tunawapenda na kuwakubali kwa wanayoyafanya....
Mi...
Kuna hii imani au sijui kama ni ukweli, watu wengi wa kanda ya kaskazini, na baadhi wa sehemu nyinginezo wanasema kwamba mtoto mchanga wa kiume akiangukiwa na kitovu chake maeneo nyeti wakati...
Hili nalo ni zito, mtu unaamua kuuza mkeo ili ukalipe deni?? Ndo maana kumbe wahindi hawathamini utu wa mtu wao ni pesa tu. Mwanamke India hana thamani na wakiwa wanatembea njiani utakuta mme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.