Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
UTUMWA mwingine wa ajabu sana, viburi vya makondakta vimewafanya watu sasa wanapotoka kazini kabla ya kufika nyumbani waanze kuchenji kwenye maduka ya jirani noti zao. Unajua kwa nini? Wanaogopa...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Nimesoma habari yenye kichwa cha "Serikali yatangaza Sh 58bn kila wilaya za Kilimo Kwanza" kwenye gazeti la Mwananchi leo na inasema kiasi hiko cha pesa kitatumika kwa ununuzi wa magari,pikipiki...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
MEMRI: Special Dispatch | No. 2561 | September 24, 2009 Egypt Leading Egyptian Daily 'Al-Ahram' Reports: Coins from Era of Biblical Joseph Found in Egypt According to a report in the Egyptian...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF, Mtakubaliana na mimi kuhusu hawa wafanyakazi wa Tanesco wanaoinua nguzo za umeme. Kwa kweli wanakera wanakera wanakera. Hivi hwawezi kufanya kazi mpaka waanze kutamka matusi yao tena...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Magwiji wa JF aSalaam Alaykum!! Naomba mnieleweshe: Je mtu aliyepo nje -kwa mfano USA.. akaingiza fedha (eg: $ 4000) kwenye account ya bank ya mtu aliyepo Tanzania (eg CRDB), yule jamaa wa Tz...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Awali ya yote ningependa kwa kuwauliza waandishi wa habari, HIVI MNAGOMBEA NINI?! Nimeona kichwa cha habari kwenye gazeti la TAIFA LETU, kwamba BALELE (au Balile?) APAKATWA NA MAFISADI!!!!! Wala...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Wadau, Nimepokea habari hizi hivi punde kua Imalaseko Supermarket Pamba House kumetokea wizi au Ujambazi vile, Sijui kama kuna mwenye taarifa Kamili atujulishe kwa kutupa data kamili.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, Kwa habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba wananchi wameifunga barabara ya segera na magari hayatembei kabisa. Kuna foleni ya ajabu. CHANZO NA TATIZO: Ni kwamba kuna mwekezaji...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Wadau, hivyi karibuni ndugu na jamaa zetu wamekuwa wakiathirika na hata kupoteza uhai wao kutokana na milipuko ya mabomu na hata mitungi ya gesi... Ningependa kufahamu, JE HAKUNA MADHARA YOYOTE...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Dar-es-salaam. Yule Sheikh Mtoto maarufu kama Sheikh Shariff ambaye aliitingisha Tanzania kwa ufahamu mkubwa wa Qur'an akiwa na umri wa miaka tisa hatimaye amesalimu amri na kuokoka, katika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hidaya Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke, Uzitoni Street, Bongo. Mpenzi Frank, Vipi mpenzi wangu wa moyo? Ni matumaini yangu waendelea na uchoyo wa mapenzi kwa wote isipokuwa mimi. Upande wangu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
John Bwire JUMATANO ya wiki iliyopita viongozi 20 wa bara la Afrika walikutana mjini New York, Marekani na kuunda umoja mpya wa kupambana na malaria unaoitwa African Leaders Malaria Alliance...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aziza Athuman na Minael Msuya WATANZANIA milioni mbili kati ya milioni 15 wenye uwezo wa kulipa kodi ndio wanaojitokeza kutekeleza wajibu huo, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu Saa hizi katika viwanja vya mnazi mmoja jijini dare s salaam kuna kuna ufunguzi wa wiki ya wanawake unaendelea , nimejaribu kupita hapo kidogo kujionea mambo yalivyo na hali ilivyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hapa majuzi kuna mtu alipost habari iliyokuwa na title hii:"Obama amemuumbua Rais Kikwete"ambayo inapatikana hapa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I am quoting this article with the intention of continuing this (tiresome to some!) debate. Personally, I say English should be given as high a priority as ki-Swahili in our schools. - 0 -...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Police consider fraud probe as £11million ruby 'Gem Of Tanzania' is found to be a crystal worth just £100 Last updated at 7:23 PM on 01st October 2009 It was said to be an enormous ruby worth...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Hii ni kero yangu,naomba wahusika wahifuatilie.Wapo Wakenya,wamalawi ,wachina wengi sana hapa Dar,wakifanya kazi bila kuwa na permit yoyote zaidi ya kuwa na line ya safaricom na vodacom ili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ONGEZEKO la mishahara ya majaji na mahakimu, limeibua mgogoro unatokana na watumishi wa idara hiyo ambao si mahakimu, kuipa serikali muda wa siku 60, kurekebisha viwango vyao vya mishahara...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
WASOMI na wanasiasa wamesema kitendo cha Waziri Mkuu Mizengo Pinda, kuirejea kauli yake ya kukemea mashangingi kinaonyesha jinsi mtendaji huyo mkuu wa serikali asivyojua wajibu wake na kutokuwepo...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Back
Top Bottom