Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Thousands of women could be putting their lives at risk by ignoring invitations for breast cancer screening, a charity has warned. NHS figures for...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
The first African woman to receive the Nobel peace prize, Nobel laureate Wangari Maathai, is an international leader who draws her strength from the grass root level. “I travel around...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
USIPOZIBA ufa utajenga ukuta; ngoja ngoja yaumiza matumbo; mdharau mwiba mguu huota tende, ni baadhi tu ya methali zinazoeleza busara walizotuachia wahenga katika kukabili mazingira tunamoishi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Biashara ya utumwa ilifanyika miongo kadhaa iliyopita (inasemekana bado inafanyika baadhi ya maeneo duniani) na kusababisha watu weusi kuenea maeneo mbalimbali duniani mfano visiwa vya Carrebean...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
TOKYO, Japan, September 29, 2009 1. The Government of Japan has decided to extend grant aid (the Project for HIV/AIDS Control) of up to 171 million JPY to the United Republic of Tanzania. Notes...
0 Reactions
0 Replies
961 Views
The Unique Origins of 25 Popular Products Print This Post Email This Post Tweet This...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wana ndugu naomba msaada wenu kama si fikra zenu kuna rafiki yangu majuzi walikuwa na mkutano ofisini mwao baada ya hapo siku mbili zilizofwata akalimwa memo na mabosi wake aache kuwasha mdomo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna tetesi kuwa ATCL itapunguza wafanyakazi wake hivi karibuni.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Duh...wakuu speed ya download home Tz Transfer Rate 3.42KB/Sec....aisee we have a long a way to go.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ailing ATCL in posh car scam By Joyce Kisaka 29th September 2009EmailPrintComments Subsidy money allegedly used to order vehicles Infrastructure Development ministry Permanent secretary...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndio kwani uongo? Hawajui kama kwa sasa siasa ni sayansi, wao wanajua kubwabwaja ndio siasa yenyewe..hawafanyi utafiti, wanatoa data za uongo kabisa ili wananchi wazipende, hawoni hata kidogo kama...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Hili bado alijaniingia akilini,....yaani hii nchi imejaa ma bogasi serikalini mpaka watoto wanaenda kuandamamana na kutuonyesha nini cha kufanya huu ni ujinga ama upotevu wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wakuu nimekutana na draft hii ya waraka wa wanyakyusa kuelekea uchaguzi mkuu 2010, naomba fatsiri pls. Mghonile bhandu bha kyala, Ndagha fijoo nu ubhutolwe ubhwa kisu iki ikya Tanzania, --kyala...
0 Reactions
50 Replies
7K Views
Kampuni ya simu ya Ufaransa, France Telecom imekumbwa na wimbi la wafanyakazi wake kujiua Tuesday, September 29, 2009 5:42 AM Mfanyakazi mwingine wa kampuni ya simu ya Ufaransa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF,nimejiuliza maswali mengi sana kuhusiana na kauli ya mh.Philip Marmo juu ya kuvuja kwa nyeti(siri za serikali),suluhu la swala hili muheshimiwa ameona kuwa nyaraka zote za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kombora la masafa marefu la Iran, Shahab-3 Tuesday, September 29, 2009 6:20 AM Zikiwa ni siku chache kabla ya Iran kukutana mataifa sita makubwa duniani kujadili mitambo yake Nyuklia, Iran...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tuesday, September 29, 2009 10:14 AM MWANAMKE mmoja amefariki dunia Jijini Dar es Salaam baada ya kunywa sumu ya panya ambapo ilidaiwa pia kumnywesha mwanae aliyekuwa na umri wa miaka sita...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama ulikwisha wahi kwenda katika Hospitali yetu, kubwa kuliko zote hapa nchini Tanzania,yaani Hospitali ya Taifa Muhimbili muda wa saa saba mchana au saa kumi kasoro jioni utakuwa umekutana na...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Milton Mbhele turned up in a white limousine and gave each of his four brides rings and a kiss. South African law recognises traditional polygamous marriages. Even President Jacob Zuma has three...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Chondoma Shdabani, Dar es Salaam Mwanafunzi anayesoma chuo cha biashara cha CBE jijini Dar es Salaam amekamatwa pamoja na wenzake wawili akijaribu kuziuza vocha za wizi za kampuni ya simu ya...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Back
Top Bottom