Bibi wa miaka 92 ambaye alipata mimba wakati wa ujana wake miaka 60 iliyopita anaingia leba kwaajili ya kujifungua mtoto huyo baada ya miaka yote hiyo kupita.</SPAN>
Huang Yijun hivi sasa akiwa...
Mama mmoja wa nchini Indonesia alipata tabu sana kujifungua mtoto mnene kuliko kawaida mwenye uzito wa kilo 8.7 ambaye taarifa zinasema hata jinsi anavyolia ni tofauti na watoto wenzake kwani...
Polisi Kinondoni wadaiwa kubomoa nyuma ya mwananchi
Na Felix Mwagara
9/23/2009
Source: Majira
POLISI wa Kituo cha Wazo Hill, wilayani Kinondoni Dar es Salaam, bila ya kuwa na vielelezo...
Kutokana na mifumko ya magonjwa yaliyojitokeza katika ulimwengu huu tulionao leo, ingekuwa jambo la busara kama nchi yetu ikafikiria njia za kuwatumia waliohukumiwa vifo ,wafungwa wa maisha...
Leo ninakerwa na uchafu unaoimarishwa na viongozi wetu ambao unaathiri afya za wananchi.
Kuna hii issue ya viongozi wetu (wanasiasa) Kuanzisha shule zao binafsi (private schools). Tunawashukuru...
A court in north-western Tanzania has sentenced three men to death by hanging for killing a 14-year-old albino boy.
They were found guilty of attacking Matatizo Dunia and severing his legs in...
Kitendo cha kuvuta sigara hadharani, kwenye mikahawa, bar, hotelini, kwenye mikusanyiko ya watu kama stendi kituo cha basi; NI KUKOSA USTRAARABU WA HALI YA JUU.
Tunajua wengi wao hawakusoma na...
Kwa nini tunaiandalia mabaya Pemba?
Salim Said Salim
NI saa 2 za asubuhi. Gari iliyonichukua kutoka mji mdogo wa Chake inakaribia kufika Kijiji cha Kiuyu Minungwini, Jimbo la Ole, Kaskazini...
Hakimu 'wa Liyumba' atupwa mkoaniNI ALIYEMPA DHAMANA YA SH882M KATI YA SH55BILIONI
HAKIMU Hadija Msongo, aliyewahi kutoa dhamana katika mazingira ya utata kwa mtuhumiwa Amatus Liyumba...
Mahakama imewatia imewahukumu adhabu ya kifo watu watatu kunyongwa kwa kosa la kumuua albino mwenye umri wa miaka 14 Matatizo Dunia.
Watu watatu walitenda kosa hilo decemba mwaka jana .Mauaji ya...
My people, im quite new at JFs and Im not sure if this issue has been raised yet. If yes I haven't seen the exchanges yet.
This is my dilemma
I am well aware the TCRA requires that all people...
Siku zote nilifikiri ujambazi wa kutumia silaha na milipuko ni africa tu lakini kumbe hata kwa dunia ya kwanza. Hebu soma hiki kisa huko sweden.
Helicopter used in Swedish cash depot raid...
Shura ya Maimamu yapinga serikali kujitoa
SUALA la uanzishaji wa Mahakama ya Kadhi bila kuishirikisha serikali limewasha moto upya na sasa limeonekana kuwavuruga waumini wa dini hiyo, kutokana...
na Christopher Nyenyembe, Mbeya
TAMKO lililotolewa na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), huku wakitangaza kuunga mkono waraka wa Kanisa Katoliki, linahofiwa kuweza...
Katika pita pita zangu nimekutana na hii habari, nikaona itakuwa vizuri ku-share nanyi.
MJ.
1. Forest and conservation technicians
Qualifications: On-the-job training.
Salary: $32,000
2...
hii ndiyo habari ya "njii hii". Alafu mseme,,,, oohhh, sijui CCM haifanyi kazi, mara mafisadi wameifiisi njiii..... mara ohhh. Shauri yenu!
Washington, DC The Corporate Council on Africa...
NI hakika kwamba mwaka huu mvua za el nino zitaikumba nchi yetu kama ambavyo zitakumba pia majirani zetu. Hizi ni mvua zinazonyesha kwa wingi na mfululizo, zikisababisha mafuriko yanayoleta...
Na Kiyao Hoza
22nd September 2009
Kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya shilingi Bilioni 221, inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala...
Kila kukicha tunasikia malalamiko ya wafungwa nchini mwetu kuhusiana na lishe mbovu. Mimi nina wazo na wadau wa JF naomba tulijadili:
Kwa kuwa bajeti ya serikali inatengwa kwa ajili ya kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.