Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Limbaugh's Racist Shocker: "We Need Segregated Buses" Raw Story. Posted September 17, 2009. In a remark extraordinary even by the standards of his show, Rush Limbaugh said explicitly...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekuwa mteja wa benki hii ya biashara ya kwanza tanzania baada ya azimio la arusha tangu mwaka 1998. Kazi inayoniweka hapa mjini ni biashara zangu za kati, na nimekuwa nikibank na nbc kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wengi wetu haswa wakazi wa mijini sehemu zenye mkusanyiko wa watu wengi kama masoko , vituo vya daladala na sehemu zingine za wazi watakuwa wameshawahi kuona au kushuhudia makundi Fulani ya vijana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Poleni na kusherehekea Idd. Wengi tutakuwa hoi na hata mifukoni nako kutakuwa hoi bin taaban.Ninaomba tutathmini mwenendo mzima kuanzia mfungo hadi tamati tuliposherehekea kwa mapilau, vinywaji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
EID MUBARAK We hope you, your family and your dear ones experienced a peaceful and an enriching blessed month of Ramadhân. May Almighty accept all your good deeds during the holy month that...
0 Reactions
34 Replies
11K Views
gazeti la mwananchi 9/19/2009 WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema kuwa baadhi ya watumishi wa umma hawana uzalendo na uchungu kwa wananchi masikini na ni wezi ndiyo sabababu hawashtuki pale...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Sijajua kama kuna topic kama hii, ila ukweli ndo huo kuwa kuna tabaka kubwa sana la vijana HAWAJITAMBUI! Wana upeo mdogo hadi inatia aibu. Wengi wamefika 4m4 na ndo hivyo. Wanachojua ni ngono...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Na, Fidelis Butahe BAADA ya mvutano wa muda mrefu hatimaye serikali imesema ruksa kwa Menejimenti ya Kampuni ya Reli nchini (TRL) kuondoka. "Kama (TRL) hawataki, basi waondoke sina majibu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzanian President Jakaya Kikwete on Saturday said that one of his objectives is to keep the eastern African country together and make better life for all in Tanzania. Habari zaidi ingia hapa...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Ile group ya BIDII, iliokuwa inakuja kwa kasi ya kimbunga imepingwa chini rasmi jana.Imefungwa kutokana na habari kuwa inasambaza SPAM.ukweli ni kwamba kuna watu ambao waliona BIDII kuwa ni tishio...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
SERIKALI YA UBUNGO MATAA Nilikuwa kwenye kituo cha basi ( standi ya mkoa ) asubuhi nikasimamisha taxi ambayo ilikuwa inatokea ubungo kwenda shekilango , nilipoingia ndani ya gari mara vijana 2...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Trafigura yafidia waathirika Ivory Coast Imeandikwa na Peter Musembi Taka zilimwagwa katika maeneo 15 ya mjii mkuu AbidjanKampuni moja ya mafuta nchini Ivory Coast imekubali kulipa fidia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wenzangu hakika jana nimejua kweli nyama ya kitmoto inapendwa bar nyingi za sinza zilianza kufurika watu wa kila aina tofauti na hapo nyuma mwezi mmoja uliopita...hii inaashiria mwanzo wa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
SERIKALI YA UBUNGO MATAA Nilikuwa kwenye kituo cha basi ( standi ya mkoa ) asubuhi nikasimamisha taxi ambayo ilikuwa inatokea ubungo kwenda shekilango , nilipoingia ndani ya gari mara vijana 2...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mamboz! Kwa wale mlio nje ya Tz jaman mnasoma news kutoka website gani ambazo ziko current. Maana ukicheki Mwananchi.com au ippmedia.co.tz mambo yametokea juziiii ndo yanaandikwa leo. Tena w-end...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ndugu zangu wana JF kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hivi kweli nchi kama Tanzania pamoja na resources tulizo nazo tunashindwa kuzalisha umeme wa kututosheleza na hata kuuza nje? Tuna vyanzo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mafisadi wakomba zaidi ya shilingi trilioni moja serikaliniNI FEDHA ZA BAJETI YA WIZARA SITA Na Mwandishi Wetu ZAIDI ya Sh1 trilioni zimechotwa nyakati tofauti kutoka serikalini katika miaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waiomba serikali iwachunguze afya Wakazi wa kijiji cha Kapunga wilayani Mbarali Mkoani Mbeya wameiomba serikali kupeleka wataalamu kuchunguza afya zao kutokana na hofu ya miili yao huenda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi ni mwana JF. Jina langu ni William Andindilile,nimesikitishwa na utendaji mbovu kwenye shirika la Tanesco na kazi imetangazwa ambapo wameweka sifa za mtu anayetakiwa kuongoza shirika hilo na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Aliyefariki dunia akiuliza swali Bandari azikwa na Hellen Ngoromera ALIYEKUWA Mfanyakazi wa Idara ya Uhandisi Ujenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ofisi ya Bandari Dar es Salaam...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom