Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Tanzania, one of Africa’s fastest-growing economies and home to around 40,000 persons of Indian origin, will intensify their cooperation in areas ranging from agriculture to UN reforms and terror...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Pbs inaonyesha healthcare in Tanzania kwa siku mbili sasa. Niliangalia jana na leo. http://www.pbs.org/newshour/globalhealth/neg/index.html?type=flash
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Thursday, September 17, 2009 2:58 AM Nyoka aliyezaliwa akiwa na mkono mmoja nchini China amewashangaza wanasayansi nchini China...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Cracker Barrel Beating May Be Hate Crime Posted: 6:15 am EDT September 16, 2009Updated: 1:15 pm EDT September 16, 2009 MORROW, Ga. -- The FBI is investigating the beating of an African-American...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jenerali Mboma aendelea kuula TPDC Na Mwandishi wetu 16th September 2009 Jenerali Mstaafu, Robert Mboma. Rais Jakaya Kikwete amemteua tena Jenerali Mstaafu Robert Mboma...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
"I Want to Marry My Son" A Zimbabwean woman and her son have done the unthinkable – they have fallen in love with one another. And now they want to marry since the mom, Betty Mbereko from Mwenezi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nilipata faraja sana niliposikia an kusoma kwenye magazeti na mitandao kadhaa kwamba chama cha democrasia na maendeleo sasa kimeamua kuanzisha utaratibu wa kukusanya michango yake kwa kupitia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Longest is mothers love......shortest is others love.....deepest is lovers love......but strongest is friends love..... Hii imekaaje wadau.....iko sawa?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mimi nina uchungu:- 1) chui, simba, duma (cheetah), na paka wa aina nyingine. kila wataalamu wa wanyama wanasema hawa wanyama ni "endangered species" katika dunia nzima. yako maeneo mengine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF, sijui mnazichukuliaje hizi habari za mwanafunzi kujinyonga? Hisia zangu kwa kweli baada ya kusoma tu hii habari zilikuwa za masikitiko, na ni maombi yangu Mwenyezi Mungu Amlaze Pahala Pema...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Kumekuwepo na tabia ambazo hazifai katika jamii ya watanzania na wengi tunaangalia tu bila hata kujiuliza ni kwa nini. Kwanini mtu ajifikirie yeye ni muhimu kuliko mtu mwingine hasa katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
A WOMAN has made history after discovering a ONE-LEGGED snake in her bedroom. Terrified Duan Qiongxiu jumped out of her skin when she came across the mutant reptile. Scientists are now...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mwandishi wa habari wa Nipashe Thobiasi Mwanakatwe akitoka lock up akiwa ameshika viatu vyake alikaa masaa 2 jana baada ya kupinga unyanyaswaji wa kaimu mkuu wa usalama barabarani Mbeya Henry...
0 Reactions
4 Replies
15K Views
Ndugu zangu maisha ya kila mwanadamu yana thamani kubwa hapa duniani. Kila mtu anapenda kuishi kwa kadiri Mungu alivyompangia maisha yake. Na kila mtu ana mchango wake katika muendelezo wa hii...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hey wana jamvini mwenye taarifa hizi atujulishe vema ni kweli? Na kama ni kweli itakuwa tunaelekea wapi hasa? Tafadhalini tuliangalie kwa ufasaha kama ni kweli
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau hii sijui imekaaje nimeiona kwenye lady jaydee blog kuna mtu alituma hii link...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kutoa malalamiko yangu kupitia tovuti hii makini naamini kuna wana Clouds watanifikishia ujumbe huu. Kuna ujumbe wanatuma kupitia simu ya kiganjani ambayo huwa imetoka Clouds kwanza...
0 Reactions
53 Replies
8K Views
Haya ndugu zangu, kuna huu mchezo unaoitwa Bongo Dar es salaam unaorushwa na TBC ambao main actor anaitwa Dude. Je, mchezo huu unafundisha au Unabomoa? Kwa nini? Binafsi naona unabomoa maadili...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kuna kitu kuhusu sisi watanzania,ambacho kwa maoni yangu kinaweza kuwa ni tatizo kubwa kuliko ufisadi,kwa mtazamo wangu hiki kitu kimechangia kuzaliwa kwa ufsadi,hiki kiti ni abusive culture...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tusiombe waingie Bongo Dozens of London-based Slovakians have been arrested in northern France after using Barclays bank cards to fraudulently withdraw more than £300,000 in cash. The...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom