Parastatals fleeced of $77m
According to the central bank, the introduction of the new payment sytem has also led to efficiency in the collection of taxes, as all payments of a value of $4,000...
WanaJF,
Habari nilizozipata punde ni kuwa huko Uganda kuna maandamano makubwa ya Wabaganda kupinga Mfalme wao Mutebi kuzuiwa na serikali kutembelea maeneo ya waasi. Inasemekana maandamano hayo...
Siku Rais alijibu maswali
Nilijaribu kupiga simu sikupata, sikupenda kutumia anuani ya yahoo hivyo sikutuma e-mail. Laiti ningepata nafasi nimeguswa sana na ninakerwa na usafiri kwa ujumla na...
Hivi haya niliyoyasikia asubuhi hii kwenye vichwa vya habari vya magazeti kuhusu mikopo ya elimu ya juu ni kweli?Kama ni kweli hivi hiyo bodi ya mikopo inataka wanafunzi wa nchi hii wakatafute...
Madaktari nchini China walipigwa na butwaa baada ya kugundua kuwa mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja, Kang Mengru, ambaye alipelekwa hospitali baada ya tumbo lake kuzidi kuwa kubwa, alikuwa...
Rafiki zangu waliniomba niwasaidie kufikisha habari hii kwenu ili muichambue.
Kumezuka tabia ya viongozi kulazimisha mapenzi kutoka kwa wafanyakazi wa kike, wakubwa hao wanaofahamika kwa majina...
I never thought of this.......
This lady has now changed her habit of how she lists her names
on her mobile phone after her handbag was stolen. Her handbag, which
contained her cell phone, credit...
Nimefuatilia kwa muda mrefu suala la uteuzi wa viongozi katika Tanzania nikashindwa kuelewa usahihi wa mtu kustaafu, eneo moja (hasa jeshini) na kisha kupewa madaraka mengine eneo jingine.
Kwa...
Yesterdays developments came in the wake of emerging information that President Museveni and the Kabaka are this week expected to meet for showdown talks.
Sources close to the Presidency told...
Maelfu Waandamana Marekani Kupinga Serikali ya Obama
Maelfu waliojitokeza jana kupinga utawala wa Obama
Maelfu ya watu wakibeba mabango yanayopinga utawala wa rais Obama na mageuzi yake katika...
Wadau, hivyi karibuni kumekuwa na shindano la soda fulani na "slogan" ya patapata ambapo ni kawaida ya makampuni kurudisha faida waliyopata kwa wateja wao kwa kuwazawadia pesa taslim au soda za...
Wadau! Hivyi hii promotion ya TiGo ya kukwangua kuanzia vocha ya shs 5000/= ndy ushinde mnakubaliana nayo? maana sikatai ila kama kweli dhamira yao ilikuwa kurudisha faida kwa wananchi kupitia...
Sunday, 13th September, 2009E-mail article Print article Kayihura and Migereko address journalists at the media centre yesterday
By Catherine Bekunda
POLICE chief Maj. Gen. Kale Kayihura has...
Monitor Team
Kampala
Security agents yesterday picked up Kyaddondo South MP Issa Kikungwe as the government moved to crack down on alleged ring leaders of the violent riots that engulfed Kampala...
September 12, 2009Idadi ya masheikh yapunguzwa katika mchakato wa kumpata kadhiNa Salim Said
MASHEIKH walioteuliwa na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa bin Shaaban Simba kukutana na wataalamu...
By Samuel Kamndaya
The Citizen
Sept 10, 2009
A conference to discuss ways of boosting agricultural production in Africa will be held in Zanzibar later this month, its organisers have said.
The...
Friday, September 11, 2009 4:53 AM
Jamaa mmoja wa nchini Austria alipiga dua zote alizozijua wakati aliponasa kwenye lifti na baada ya kuokolewa alikimbilia moja kwa...
Rais anajua adha wanayopata watz ndio maana hana hamu ya kukutana nao uso kwa uso kwani anajua kinachoweza kutokea......alishapata experience mbeya pale msafara wake ulipopolewa mawe.Hawezi tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.