Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Leo inakuwaje watu saba au kumi wanamu interview mtu mmoja wakati wa kuomba kazi ?inaonesha udhaifu katika utendaji wetu wa kazi,lazima kuwe na watu ambao wamespeshalaizi katika mambo ya interview...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kiswahili Kama hii barua pepe yangu fika, ninyi tafadhali vidarebefordra barua pepe ya risiti yangu. Mimi vidarebefordra email hii kwa nchi mbalimbali duniani moja 1,000 kwa siku. Kama wewe ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna hii huduma ya VodaCom CHEKA TIME ambayo imeanzishwa hivi karibuni, kujisajili unatakiwa kuwa na salio la angalau TZS 5,000 na unapiga *147*01# kujisajili. Sasa leo nimejaribu kujisajili na...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Dear JF, I got the below information from one of my friend’s client. Any one with any information concern the matter will be highly appreciated. “The front page of our New York Times shows...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Teen Jailed For Killing Cat With Crossbow A teenager has been jailed for three months for killing her neighbour's cat with a crossbow. Chloe O'Connor had been drinking with her boyfriend when...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu kuna mtu ana taharifa nani ni mmiliki wa Jk school ambayo ilikuwa ikimilikiwa na habari corp ya akina Jenerali?Au nayo ilinunuliwa na Rostam?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
http://www.youtube.com/watch?v=jqFW124WYGc
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu hicho kivuko beam zake na hydraulic naweza kusema ni mbovu. Nasema hivyo kwani karibu mwaka sasa kivuko hicho milango yake haiwezi kufunga au kufunguka vizuri,hili linapelekea maji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta apartments 2 za kupangisha kuanzia mid December 2009 mpaka mid January 2010. Apartments hizo ziwe karibu na maeneo ya mjini, ziwe na fence na sehemu ya kutosha ya ku park magari. Huduma...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Just wanted to say happy 09 09 09 day hope all will be well.Have a blessed day.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni ndoto ambayo huwa natamani siku moja itokee. Naombea ccm imeguke vipande vipande kizaliwe chama kipya. Naombea wanajiita wapinga ufisidai wachomoke CCM na kuunda chama kipya ambacho kitaitwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika redio za kimataifa zinazopendwa nchini ni Idhaa ya Kiswahili ya BBC LOndon. Kwa kweli tangu aondoke Tido Mhando kama Mkuu wa Idhaa hiyo, viwango vyao vimeporomoka sana na ingawa husikiliza...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
MUUGUZI wa Kituo cha Afya cha Buguruni wilayani Ilala, Dar es Salaam amefariki katika ajali ya moto iliyotokea nyumbani kwake ambayo hata hivyo, imesababisha mfarakano baina ya familia yake na ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
HIFADHI ya Wanyamapori ya Wamimbiki, mkoani Morogoro, iwashikilia watu wanne wakiwa na gari la serikali lenye namba STJ 9587, kwa tuhuma za kutumiwa katika shughuli za ujangili. Watu hao...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Nilikuwa naangalia kipindi cha BBA number nne kinacho rushwa na Dstv,nakamuona huko ndani ya jumba la hilo BBA kijana wetu Kanumba, lakini cha kushangaza nikwamba kanumba alikuwa na wasiwasi hata...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Reuters – Former journalist Lubna Hussein poses for a photograph at the cafe where she was arrested in Khartoum, …...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Hii si kawaida, karibia siku 8 zimepita huyu mkuu hajatia mguu hapa ukumbini! Stats zinaonyesha post yake ya mwisho ilikuwa tarehe 24 August. Members wengine wakikosekana barazani lazima...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Takriban miaka saba iliyopita hapa nchini kulizinduliwa mradi mkubwa wa kuchukua sehemu ya bahari ya Hindi na kuigeuza kuwa nchi kavu kuanzia eneo la daraja la Selander hadi Ocean Road, ambapo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Monday, September 07, 2009 2:01 AM Mwanaume mmoja wa nchini Chile amejinyonga live kwenye internet baada ya uhusiano wake na mpenzi wake kuvunjika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KIJANA Seifu Nassoro [24] mkazi wa Mikocheni amefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kwa tuhuma za kutishia kuua kwa njia ya ujumbe wa barua...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Back
Top Bottom