Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Samuel Msuya na Lilian Lucas Morogoro JESHI la Polisi Mkoani Morogoro linamshikilia mbunge wa jimbo la Morogoro Kusini-Mashariki, Samir Lotto kwa tuhuma za kumshambulia na kumpora vifaa vya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani naomba kuuliza ...hivi VICOBA ni SKUVI imefufuka??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba msimamo wenu kwa wale mnaofahamu juu ya huyu mama "Ester Abraham-Hicks", Hivi anaamini katika MUNGU wetu MUUMBA wa vyote au mungu yupi? nisaidieni jamani. Unaweza check hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je mwafahamu ukifika maeneo ya loriondo arusha, cm za vganja hubadil dsplay na kuandika ''sasa unaingia falme za kiarabu, karibu falme za kiarabu''. Ilibd niulize waungwana walijibu hv nacot...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
KAtika redio za kimataifa zinazopendwa nchini ni Idhaa ya Kiswahili ya BBC LOndon. Kwa kweli tangu aondoke tido mhando kama Mkuu wa Idhaa hiyo, viwango vyao vimeporomoka sana na ingawa husikiliza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KHARTOUM (Reuters) – A Sudanese woman was found guilty of indecency and fined on Monday for wearing trousers in a case that has attracted worldwide attention, but she will be spared lashes, an...
0 Reactions
2 Replies
986 Views
Masha: wafungwa wasahahu suala la kupelekewa wapenzi waoNa Stella Mwaikusa Waziri wa Mambo ya ndani, Lawrance Masha amesema serikali haifikirii suala la kuwapelekea wenza wao wafungwa magerezani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari tulizozipata sasa hivi zinasema kuwa wanafunzi wa shule ya secondary ya Tabata wameangukiwa na ukuta wa shule hiyo, habari zaidi za majeruhi na vifo kama vipo, tutawaletea tukitoka sehemu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ikulu, huu ni udhalilishaji Na Salehe Mohamed UKWELI daima humuweka huru mtu, na husaidia kurekebisha mambo pale yanapokwenda tofauti ama kwa makusudi au kwa bahati mbaya, nami nimeamua...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wadau, ningependa mnifahamishe usahihi wa maneno ONYESHA n ONESHA... Kwa mfano sentensi ipi ni sahihi kati ya hizi? > CHADEMA YAONYESHA DEMOKRASIA > CHADEMA YAONESHA DEMOKRASIA...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ahali zangu kuna wimbi kubwa huko Tanzania la watu wasiokuwa waislamu kufutarisha waislamu na wasiowaislamu. Vile vile kuna waislamu wanafutarisha wale wasiokuwa waislamu na kutumia futari kama...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Hii imenifanya niamini kuwa hapa Tanzania hakuna umuhimu wa elimu,sababu wengi waliobarikiwa kuipata hawaitumii matokeo yake wanayoyafanya ni aibu na dharau kwa taifa kwaujumla.Embu fikirieni wana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Michelle akiwa na mumewe na watoto wao 18 Friday, September 04, 2009 2:27 AM Mama mwenye watoto 18 ambao wote amewapa majina yanayoanzia na herufi 'J' anategemea kuzaa mtoto wa 19 hivi karibuni...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Hello jamiiforum! Sijui ni uwelewa wangu mdogo au kuna wizi unaoendelea katika Vyuo vikuu nchini, yaani hii ni too much primitive accumulation,"WIZI MTUPU". Ni jambo la kushangaa ambalo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanamkeka, Huu mfumo wa kusajiri namba za magari Tanzania wa sasa una maantiki kweli? Una ubora na manufaa zaidi ya ule wa awali uliokuwa unatambulisha magari kwa maeneo yatokako kama ARS, SHY...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Thieves vandals on the prowl at Mlimani City By Paul Dotto Shoppers at Mlimani City in Dar es Salaam should beware of criminals, who roam the mall's parking lot and vandalise cars, stripping...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu,Nimepokea taarifa muda mfupi kutoka Bukoba kuwa kumetokea ugomvi katika kikao cha kamati ya siasa ya wilaya ya Bukoba cha CCM ambapo kagasheki ambaye ni mbunge wa huko na naibu waziri wa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimepata taarifa hivi punde kuwa bweni la sekondari kongwe ya wasichana iitwayo Rugambwa iliyoko Bukoba imeungua moto leo saa 7 mchana. hata hivyo hakuna aliyekufa wala kujreruhiwa,ingawa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Software Mogul Attacked by Elephant During Safari Published: Thursday, 3 Sep 2009 | 9:30 AM ET Text Size By: Associated Press Silicon Valley billionaire Tom Siebel says he's recovering...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani mimi naomba kuuliza,nasikia sehemu ya kigamboni eneo kubwa limenunuliwa na aliye nunua ni rais wa zamani wa marekani yaani george bush,je habari hizi ni za ukweli?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom