Saad Specialist Hospital
Khobar City, K.S.A
Tel#: +96638826666
When Calling; the answer machine will answer you then choose ext.# 3
Or Call the direct line for the charity program...
Wanajamaii nimepitia pitia kwenye internet niakakutana na kitu kinaitwa CIA fact book. NIkajaribu kutafuta information kuhusu nchi yangu Tanzania, kweli nilichokutana nacho huko hata mimi mwenyewe...
Habari zilizozagaa sehemu mbalimbali mchana huu zinasema Dk Edward Hosseh, bosi mkuu wa Takukuru amejiuzulu wadhifa wake. Wenye taarifa za uhakika watupashe.
9/2/2009
Serikali yatishia kuzifuta taasisi zikiwemo za dini
Na Salim Said
SERIKALI inakusudia kuzifutia taasisi 100 za dini nchini, kutokana na kushindwa kutekeleza majukumu yao na kutoa...
Mi naomba mtusaidie jamani ,nimeona watu wanalalamika
awajalipwa mishahara yao.mpaka leo...kuna marafiki zangu nao wanalalamika wacha...kuhusu mshahara tena makampuni makubwa
na mashirika...
Huyu ni miongoni mwa wafanyakazi wanaojenga Hotel ya ghorofa 25 pale opposite na Peagot House. Wafanyakazi wote wanavaa Hard hat kama one of the PPE lakini hakuna hata mmoja mwenye Safety boot na...
Salim Said na Ummy Muya
SHURA ya Maimamu Tanzania imezindua rasmi mwongozo wa pamoja kwa Waislaam kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu na uchaguzi mkuu mwakani.
Waraka huo, ambao...
Nionavyo mimi wakati fulani ni kama Menejimenti za Benki huwa zinapendelea wateja wao kulundikana kwenye foleni ndefu na kushinda ndani ya benki zao kama vile hawana kazi za kufanya. Utakuta benki...
Wiki iliyopita Muungwana mmoja alikwenda Kutibiwa Bugando, Hospitali ya Rufaa Kanda ya Ziwa --- alipofika mapokezi akaambiwa hana appointmenta kwa hiyo hawezi kutibiwa vinginevyo alipe shilingi...
Siasa ni kilimo,
Hii ilikuwa ni sera ya zamani sana ya kisiasa hapa Tanzania.
Japo sikuhusika nyakati za sera hii enzi za mwalimu Nyerere,
bado nafikiri kuwa ilikuwa sera nzuri.
siasa za siku hizi...
Mwandishi wa habari wa siku nyingi sana Mzee etu Mohamed Ali Karim , maarufu kama Mzee masomo wa huko zanzibar amefariki Duniya. Mzee huyu ni maarufu sana pale darajani ana duka lake la vitabu na...
Wakati nasafiri kwenda ng'ambo niliacha kwenye account yangu sh. million 7 katika moja ya benki hapa nchini. Niliishi huko kwa muda wa miaka minne. Baada ya kurejea nilikuta account yangu...
Wana JF kuna jambo limekuwa likinisumbua sana kwa siku nyingi. Kila niendapo kanisani huwa najaribu kuangalia dada zetu wanavyovaa na huwa najiuuliza maswali mengi sana. Nashindwa kuelewa kama...
Kwa wale ndugu za ngu wachagga waliozoea kuwa Moshi kwao saa sita mchana biashara hiyo imesitishwa kwa muda kutokana na madereva wa mabsi waliokuwa katika mgomo kuamua sasa kuwa watiifu wa sheria...
Wakati wahanga wa mabomu ya Mbagala wakiwa bado hawajasau vizuri yaliyowakumba siku za nyuma....mlipuko mwingine wa bomu ulitokea juzi na kusababisha tafrani ya aina yake kwa wakazi hao ambao...
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana Taifa wa Chama cha Mapinduzi (Uv-CCM) Hamad Yusuf Masauni, ameachishwa kazi katika Wizara ya Nishati na Madini.
Hata hivyo, taarifa kutoka vyanzo vya habari...
Assalamu alaykum.
Kwa waislamu wanaoweza kutoa msaada wa tende ili tutoe kwa waislamu wenzetu wa wilaya ya Rufiji, kuanzia jaribu mpakani, Bungu, Kibiti, Ikwiriri, Nyamwage, Chumbe mpaka Muhoro...
Vipi refa anapoamua kukwatua?
Napenda nami leo nichangie kidogo kile ambacho kinajiri hapa JF. Kwa muda mrefu sana, mambo ya siasa na dini ndio yamekuwa kama ajenda kuu za wadau humu ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.