Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mwee kwa kweli tanzania kibokooooo...yaani mtu wa ofisini hawezikukusaidia mpaka umpe hongo.... here is the thing right...Nimeenda vizazi na viso nataka wabadilishe something something kwenye...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
___________________________ Soma RAIA MWEMA ya leo: Inapatikana hapa ___________________________ NILIIPOKEA vizuri taarifa ya uamuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Zitto Kabwe (Mb)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watanzania wawili kati ya wanne waliozamia meli ya mizigo iliyokuwa ikielekea Afrika Kusini wamefariki ndani ya meli hiyo baada ya kujificha ndani ya meli hiyo kwa siku tisa. Miili ya watanzania...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jaman hebu nifumbuen kwa hil. Et, kuna eneo linaitwa uchindile wilaya ya kilombero morogoro, kuna wazungu wamepanda miti fulan, lakin tetes zinasema si mit peke yake kuna madin huko na kuna mabosi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau naombeni msaada, eti leo server za yahoo kuanzia mda huo mbona hazirespond? kuna tetesi eti nimeskia kuna technical problem? Wadau naombeni kuuliza eti ni kweli? maana napata kigugumizi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I’m not sure how well the product is selling, but it’s certainly getting attention. An ad on YouTube received close to 200,000 hits, and a Harvard Business School writer said the Double Down might...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KIJANA HUYU AMEKUWA AKITOKWA MACHOZI YA DAMU KWA MUDA SASA WAZAZI WAKE WAMETAFUTA WATAALAMU LAKINI MADAKTARI BINGWA HAWAJUI UGONJWA HUO UNASABABISHWA NA KITU GANI. KATIKA MAELEZO YAKE MUATHIRIKA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kutoka JamboForums (August 2006) kwenda JamiiForums (April 200. Inapata hits zaidi ya 30mil kwa mwezi (August zimefikia 42mil) Imekuwa ranked kama site inayotembelewa zaidi na Graduates na...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Jamani nimejaribu kulizuia lakini fupa limenishinda kukaa mdomoni kwani kuendelea kuwa nalo linaweza kunikwama hivyo nahitaji ufafanuzi juu ya methali maarufu ya kuswahili isemayo 'KAFIRI AKUFAAE...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hii forum yetu wanajamii inabidi tuilinde wenyewe,sababu katika msafala huu naona kunaweza tokea baadhi ya wapinga cc,ili kuharibu tuu status ya haka kautamu ketu,tukiona dalili ya hivi vijiswala...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Jamani kwa kweli nimeamini kuwa Tanzania tuna safari ndefu sana ya kufikia maendeleo endelevu. kwa sababu hata uwezo wetu wa kuchambua mambo ni mfinyu sana na mara nyingi tukiwa na upande hatutaki...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Na Jabir Idrissa HAPENDI namna Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) ilivyoondoa mafuta na gesi asilia katika masuala ya Muungano; ufisadi unavyotesa chama akiaminicho; mahakama inavyoshutumiwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna wakati kulikuwa na makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Afrika Kusini kwamba Mtz akitaka kwenda South hatalazimika kulipia visa, na vivyo hivyo M- south nataka kujua huu mpango...
1 Reactions
7 Replies
11K Views
Ijumaa iliyopita nilikutana na kero ya Polisi wa Usalama Barabarani wakati nikisafiri kutoka Dodoma Kwenda Kondoa Irangi na Basi la Machame Investment. Abiria tulitakiwa kufika kituoni saa 11.30...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
[COLOR="Black"] Kuna jitihada zinaendeshwa na Jeshi la Polisi Idara ya Usalama Barabarani la kuyasimamisha mabasi yenye chasis za malori kutokufanya safari. Ninachajiuliza mimi ni hiki: 1) Ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyani wahamishwa Ikulu kwa kumkojolea RaisRamadhan Semtawa na Mashirika IKULU ya Zambia imeagiza kuhamishwa kwa nyani wapatao 200 kutoka kwenye viunga vya eneo hilo, baada ya mmoja wao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU -ZANZIBAR naamini wewe ni mmoja ya watendaji wazuri katika wizara ya Elimu Zanzibar ambae licha ya kuwa na uchungu na Elimu lkn ni mmoja ya unaofatilia kwa karibu...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Angalia hii tube, you decide. http://www.youtube.com/watch?v=vkEHWfj-Dlc&feature=pyv&ad=3365645260&kw=tanzania
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ikitokea ukapata E-mail yenye ujumbe kama huu hapa chini don't expose your information. Dear Valued Member, Due to the congestion in all Yahoo users and removal of all unused Yahoo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom