11th August 2009
Katika kile kinachoonekana kuwa ni maajabu ya aina yake kutokea Bongo, mtu mmoja amenaswa na polisi na kisha kuswekwa mbaroni baada ya kudaiwa kukutwa akila nyama ya...
Wananchi wanapopigia kelele ufisadi, siyo kwa dhihaka bali ni kutokana na uchungu walio nao wa rasilmali kuibwa na wachache huku wao ambao ni wengi wakiendelea kughubikwa na umasikini unaopelekea...
Sifurahii ajali kutokea lakini nashukuru kwamba wamekutana wenyewe kwa wenyewe sasa sijui nani ni m'babe,shauri zao wenyewe.
FFU Dar ajalini
Gari moja lililosheheni...
Leo Asubuhi nilikuwa naangalia kipindi cha Tuongee nikaona mshiriki mmoja akikandia mashindano ya urembo.
Kwamba yanawazalilisha wanawake licha ya viongozi na wanaharakati kuyashabikia, lakini...
Sumbawanga
NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mwantumu Mahiza amewataka wananchi wa kijiji cha Muze wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa kumuombea dua mbaya aliyekuwa mwalimu wa shule...
Mama aua bintiwe kwa kupata mimba
Written by Administrator
Wednesday, 15 July 2009 15:05
Na Stella Shoo
MKAZI wa Kijiji cha Kilemfua Mokala wilayani Rombo, Kilimanjaro...
Keith R.Griffin,of the 3600 block of Northeast Jeannette Drive,was charged with 10 counts of possession of child pornography after detectives found more than 1,000 child pornographic images on his...
Mara nyingi nimeona na kusikia mara tuma neno kwenda no.153.., au 157.., au 158.. n.k. utajishindia hiki mara kile. huu utaratibu unafanyaje kazi? mbona asasi nyingi zimeuchangamkia huu mfumo...
A new fashion trend, men in thongs, has hit Kampala. As seen in the photos, these youth paraded their under garments
around Kampala. When buying a thong, one should feel that strip of cloth that...
Mheshimiwa Moderator,napendezwa sana na jinsi watu wanavyochambua mada mbalalimbali humu jamvini. Binafsi nimependezwa sana na jinsi wataalam wanavyodadavua thread za elimu. Natumaini tutanufaika...
Saturday, August 01, 2009 11:01 AM
WAKAZI wa Manzese darajani wameitaka Manispaa kuimarisha ulinzi darajani hapo kwa kuwa vibaka wameweka kambi eneo hilo.
Wakazi hao waliitaka manispaa...
Nauliza hivii kwanini hawa mafisadi wasitajwe kwa majina?Yani majina yao yaanikwe hadharani halafu waadabishwe,labda kidogo inaweza ikasaidia kuwapunguza ikiwezekana kuwamaliza kabisa,maana hawa...
Child birth registration lowest in Tanzania - UN
By Rosemary Mirondo
10th August 2009
Minister for Community Development Gender and Children Margreth Sitta
Tanzania has been...
Bei ya mafuta yashuka
na Betty Kangonga
BEI ya mafuta ya petroli na dizeli nchini imeshuka baada ya kutokea mabadiliko katika soko la dunia na kupanda kwa thamani ya shilingi ikilinganishwa...
Moja ya Tatizo kubwa kabisa Tanzania na pengine bara zima la Afrika watu wengi hudhani kuwa ni watawala . Hapana. Tatizo namba moja ni watawaliwa. Wao ndio tatizo kubwa kuliko wanaowatawala...
By Kevin O'Connor
President Obamas popularity is falling in America. This is not due to one single issue, whether it be Iraq, healthcare reform or the recession. While skin colour is an...
Wakuu hatuwezi kutoka bila ya kuwa na umeme wa nyuklia 'believe it or not' why not ? kwa sababu nchi zote zilizopiga atua ya kimaendeleo zinaumeme wa uhakika, na umeme wa uhakika ni wa 'NUCLEAR'...
Napenda kutoa angalizo la hii bank ya wanawake Tanzania iliyofunguliwa hivi majuzi ni kwamba lengo kweli ni kuwasaidia wanawake au ni kama njia ya kupitishia hela za uchaguzi 2010 wadanganyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.