Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mara nyingi nimekumbana na tatizo la pasipoti zetu (mpya) kutosomeka.....hii imenitokea sana tu........ Nahisi kuna tatizo la kiufundi kwenye pasipoti zetu zinapotakiwa kusomeka na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mbeya wamuuliza JK: Wafe wangapi ndipo hatua zichukuliwe? Mwandishi Wetu, Kyela Julai 29, 2009 Kituo cha Polisi Kyela chafananishwa na duka Wasema Polisi hawawezi kujichunguza, iundwe tume huru...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Napenda kuwauliza waungwana kutokana na kusoma wizi wa jana huko banki ya NMB temeke. pamoja na masikitiko makubwa niliyopata lakini nimekuwa najiuliza mfano ungekuwa wewe ni mteja umebeba pesa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Tanzania tumebarikiwa kuwa na wasomi si haba,lakini kwa ujumla hali yao ina sikitisha.Si wasomi hasa,ila ni watu ambao kwa kiingereza naweza kuwaita opportunists.Watu walio jiingiza kwenye usomi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Abdullah Abdullah, mpinzani wa Karzai katika kiti cha urais Wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan wametishia kuvikata vidole vya watu wote watakaoshiriki kupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
'Wanawake Watakaowanyima Unyumba Waume Zao Kunyimwa Chakula' Rais wa Afghanistan Hamid Karzai Sheria mpya inayowaruhusu wanaume wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau naomba nijuzwe, kuna binti yangu kapata offer mbili from two NGOs hapa nchini. Nasita kumpa go ahead, kwa sababu nilisikia hizi NGO, especially Pathfinder and ActionAid international...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajeshi wa jeshi binafsi la Blackwater Wednesday, August 12, 2009 9:19 AM Bosi wa jeshi binafsi la ulinzi la Marekani linaloitwa Blackwater linalolinda amani nchini Iraq ambaye yeye mwenyewe...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hi wanachi na wana bidii wenzangu hivi sasa mida hii ya jion jumapili hii kiwanda cha murzah oil kilichopo nyerere road kinawaka moto. Chanzo cha moto na madhara bado havijapatikana ila watu na...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Women who drink moderate amounts of beer may be strengthening their bones, according to Spanish researchers. Their study of almost 1,700 women, published in the journal Nutrition, found bone...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Study Shows Blacks Are Fattest Racial Group Nearly 36 percent of black Americans are obese - much more than other major racial or ethnic groups - and that gap exists in most states, a new...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Peter Owino mmoja wa watu waliotoa mapokezi na hifadhi kwa Watanzania wengi waliokwenda kusoma uingereza toka miak ya 1990 amevamiwa na majambazi maeneo ya Nzega alikuwa anasafiri akiwa na mke...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
A 35-year-old man, who raped his 27-year-old girlfriend after accusing her of having an affair was arrested on Saturday (today) morning, police said late Saturday afternoon. "The man raped his...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Wana JF ile kesi tuliokuwa tukiisubiri kwa muda mrefu inayohusu ajali ya Chenge na Kibajaj ni leo katika Mahakama ya Kinondoni. Wale mlio karibu na huko tuhabarisheni tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika kujadili misukosuko na dhoruba zinazokabili ndoa na mahusiano ya kimapenzi, watu wamekuwa na mikakati mbalimbali ya kustahimili na kuhimili ( coping mechanisms). Ndoa nyingi zipo katika...
0 Reactions
70 Replies
11K Views
Jamani nina wageni wametoka nje wanataka kwenda sehemu yenye swimming pool wakaogelee, mahoteli yote naona mpaka uwe unakaa ndo unaruhusiwa kuogelea, mwenye kujua pool ambayo unaweza kwenda...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Britania is held in high regard by the rest of the world-but they think our people are drunken,arrogant,racict thugs. Foreigners reckon we are an aloof,class-obsessed people,who look down our...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Angalia Orodha hii na uwaongeze wengine:- 1. Makongoro Mahanga 2. Serukamba 3. Malima 4. Masha 5. Mzindakaya 6. Ngombale Mwiru 7. Sophia Simba 8. 9. Endelea.................
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Miaka michache iliyopita Filamu za kiafrika haswa Nigeria na Ghana zimekuwa zinavuma sana , kuna wakati nasema hizi filamu zimechangia sana kwa baadhi ya jamii kubadilisha vitu haswa mila na...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Date::8/13/2009 Fidia ya walioathirika na mabomu Dar yagubikwa na kasoro tele Geofrey Nyang'oro na Hawa Lukindo Mwananchi MAANDALIZI ya kuwalipa fidia wakazi wa Mbagala walioathiriwa na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom