Mheshimiwa anasema Wizara ya Miundo Mbinu ikiwezekana ibadilishe sheria kwamba dereva atayesababisha ajali na kuua abiria anyang'anywe leseni,akatafute kazi nyngne ya kufanya!!!
Jamani wana JF hii...
Kuna habari nimezipata toka kwa mmoja ya wadau juu ya utendaji usioridhisha wa Uongozi wa TSN au wachapishaji wa gazeti kongwe kuliko yote Daily News na Habari Leo, Japo si wazi lakini yasemekana...
For those of you who heard it, this is the article Dee Lee (of CFP Harvard Financial Educators) was reading in a morning, January 2009 on a New York radio station. For those of you who didn't hear...
Kwa wiki kadhaa zilizopita ilitolewa post hapa JF kuhususiana na polisi waliopigwa na wananchi kwa kuchoshwa na vitendo vya rushwa katika mkoa wa Kagera.
sasa jeshi la polisi limewatumia kazi...
The looming implementation of the last elements of the TCRA Act means
headaches for telecommunications operators and retailers, but smart
service providers and network operators can use this...
Baada ya mabomu kulipuka mbagala miezi michache iliyopita sasa tena mabomu yamelipuliwa hukooo Kagera yapatayo 250...
Inasemekana mabomu hayo yalikuwa kwenye shamba la mtu,mwenyewe alikuwa analima...
Wazazi wamemcharaza bakora mwalimu wa shule huko Uganda baada ya kufika ofisini akiwa amelewa chakari!
Sasa alienda kufanya nini shuleni huku amelewa?
Hivi Watanzania kama hawa wapo kweli...
Be careful when using text message shorthands:
The consequences of misunderstanding the lingo can be mortifying. Cassandra McSparin, 23, of Jim Thorpe, Pa., knew a woman whose friends mother...
Na Leon Bahati
WAKATI wabunge wakishikilia msimamo wao wa kuitaka serikali iwaadhibishe maafisa wa serikali wanaodaiwa kuhusika katika upitishaji wa zabuni tata ya umeme wa dharura iliyoipitia...
Ikulu gizani siku tano
Makazi ya Waziri Mkuu Pinda kuonja adha hiyo
na Mwandishi Wetu
MAKAZI ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Ikulu ya Rais Jakaya Kikwete, yatakumbwa na giza kwa muda wa...
By BARBARA ORTUTAY, AP Technology Writer Barbara Ortutay, Ap Technology Writer 21 mins ago
NEW YORK A hacker attack Thursday shut down the fast-growing messaging service Twitter for hours...
Kumezuka tabia chafu sana kwa viongozi wa manispaa ya kuwaandikia walemavu vijikaratasi ili wazungukie maofisini kuomba misaada mbalimbali. Mfano leo amenitembelea mlemavu wa mguu ambaye alikuwa...
Milipuko iliyosikika leo alfajiri ni mitungi ya gesi ambayo imelipuka na kujeruhi baadhi ya walinzi na wapita njia. kutokana na mueleko wa upepo inasemakana maeneo yatakayoathirika zaidi endapo...
Jamani wana jamvi mu salama,hakukuwa salama kigamboni asubuhi ya leo
kioski cha kuuza gesi kimelipuka na kuleta kizaazaa.kiosk chenyewe kinaangaliana na petrol station,mungu bariki kituo cha...
Kwa mara nyingine tena kama kawaida ya nchi hii janga likitokea ndio tunaanza kuangalia nani kasababibisha na kuweka sera za zima moto, zisizodumu. leo hii kulipuka kwa mitungi ya gas katika...
WAZIRI Kiongozi, Shamsi Vuai Nahodha amesema kwamba mjadala wa mafuta na gesi asilia hakuhitajiki jazba katika kufikia ufumbuzi wa suala hilo iwapo lipakie aktika orodha ya mambo ya muungano au...
Kuna habari tulizozipata hivi punde kwamba kwenye makutano ya barabara ya Nyerere na Kawawa gari la JWTZ limegonga gari ya askari polisi na kujeri baadhi na 1 kufa papo hapo sababu ni mwendo kasi...
Israel yakosolewa vikali kwa kuwafukuza Wapalestina
Hillary Clinton
Großansicht des Bildes mit der Bildunterschrift: Hillary Clinton
Marekani yaiongoza jumuiya ya kimataifa kuikosoa...
Wadau mwenye mawazo chanya anakaribishwa:
Scenario iko hivi:
I want to start a certain business with my partner. I am thinking of selling my goods/services online and charge via credit cards...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.