Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jambazi linalouwa linapelekwa mahakamani anahukumiwa miezi mitatu kwanini isiwe hivi likisha hukumiwa polisi walipige risasi, wao wanaua na wao wauliwe anaetumia silaha apigwe na risasi anetumia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu unajua kuna vitu hata mtu mdogo akiangalia anajua kama kuwa viongozi wetu wa nchi siyo wazalendo aliyekuwa mzalendo alikuwa Julius Kambarage Nyerere,Sokoine na wengine waliotanguli japo na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tuesday August 04, 2009 EAC anthem coming in November AUSTIN BEYADI, 4th August 2009 @ 00:37 THE Speaker of the East African Legislative Assembly, Mr Abdirahin Abdi, has said that...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya ajari ya TBL, meli ya Bahresa, Nasikia kuna ajari ya moto imeteketeza nyumba zipatazo nne na ofisi ya Tarafa..Mwenye habari atumwangie..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kikwete ashauri Watanzania kununua matrekta badala magari ya anasa Na Mwandishi Wetu RAIS Jakaya Kikwete ametaja anasa za Watanzania kuwa moja ya mambo yanayofanya sekta ya kilimo kushindwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu nimepitia andiko takatifu na kukuta kumbe kila kiongozi anatoka kwa Mungu kwa hivyo aheshimiwe na kupendwa. Warumi 13: 1. Unasema 'Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu, kwa maana hakuna...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wapi kwa wapi jamani Zanzibar wapo mbele sana ila matatizo ya Muungano ndio yameididimiza ,ona hawa baada ya kusikia kuwa ile sehemu ya aina yake ya kujipumzishia pale Mjini Unguja imekuwa kama...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Ndugu wananch...kwa wale walioachwa na wake/waume zao soln yaweza kupataikna muda si mrefu....kuna mswaada unatarajiwa kusambazwa makanisani kuruhusu iwapo mtu ataaachwa na mumewe ama mkewe kwa...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari nyeti zilizonifikia zinadokeza kuwa kutakuwa na mjadala motomoto wa ripoti juu ya Meremeta siku ya Jumapili kuanzia kama saa 1.30 za asubuhi kwenye StarTV... Hope u'll be there!
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Hii, kama ingekuwa inafanyika Tanzania basi nafikiri HELSB wangerudishiwa hela zao nyingi na vyuo vikuu, badala ya kuendelea kukimbizana na wahamitimu kurudisha mikopo. Jobless Graduate Sues...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu mwanamuzi Ambwene Yesaya (AY) usiku wa kuamkia jana alinusurika kifo kufuatia mashabiki kuvamia katika guest alikokuwa amefikia katika wilaya ya karagwe mkoani kagera wakishinikza...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Umoja huu utaitwa Taxpayers Alliance. Umoja huu utaangalia fwedha yote ya walipa kodi inatumikaje na itaomba ushirikiano wa karibu na kamati ya fwedha ya bunge. Pia "Code of Conduct" na kanuni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kazi za Mbunge ni kutunga sheria na kuisimamia Serikali.Serikali ni mtekelezaji.Mahakama ni mfuatiliaji wa matumizi ya sheria zilizotungwa na Bunge.Kwa kuanziasha mfuko wa Jimbo,Wabunge...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Parliament questions and answers E-mail this to a friendPrintable versionEnter Constituent or MP Name No items on list Kumbe kweli jaamaaa yenu ni bubu bungeni
0 Reactions
34 Replies
5K Views
By Miniini Mlera Canada Legendary African hospitality can at times get excessive. A visit to Africa by a popular American leader invariably creates a storm of excitement among many Africans. The...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana jioni nilimuona Bwana Luhanjo akijaribu kumsafisha Rais Kikwete.There was compete lack of seriousness and committment.Yes,hawa ndio aina ya viongozi tulionao.Nilimsikiliza kwa makini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ajali, Ajali, Ajali!!!!!!!! Tutakosaje kupata ajali kwa mwendo wa kasi wa magari Sam Nujoma? Hivi watu wote kasi kasi wanakimbilia wapi? Shoprite? Mwenge? Ubungo? Kichekesho kweli kweli...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ushauri katika Mamlaka husika Kigamboni ni kuwa kuna TAXI zinapaki kwenye njia ya kutokea abiria kwenye Kivuko zinapaki njiani ambapo ni kero kwa abiria.Kama walivyofanya kwa Daladala kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la afya duniani (WHO) ya mwaka 2005. Kazi husababisha maumivu na vifo kwa kiwango kikubwa kuliko matumizi ya madwa ya kulevya au ulevi wa pombe vikijumlishwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo ni tarehe 30 July 2009,na hakuna dalili yeyote kwamba wafanyakazi wa serikali watapata mishahara yao.Mitaani tunasikia wafanyakazi wa serikali kuu wakiilalamikia serikali yao katika kiwango...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom