REDIO mbao na bati mitaani zinasema kwamba ripoti ya kuwapigia kura wanaotiliwa shaka dhidi ya mauaji na uponzaji wa mauaji ya maalbino huenda isitoke maana wengi waliopigiwa kura na viongozi wa...
Helo wanawake wanatafuta wanaouita usawa toka kwa wanaume kwa njia inayoboa sana, ebu nimekumbuka matangazo ya namna hii!!
tangazo la kazi ' we are an equal employer org but women are highly...
Richmond imerudi! Makala hii hapa chini kwa Kiingereza niliiandika na kuchapishwa kwenye ThisDay tarehe 20 Oktoba 2007 hata kabla ya kuundwa Tume ya Mwakyembe kuchunguza kashfa ya Richmond. Katika...
tutakunywa juice? TANZANIA BREWERIES YAUNGUA MOTO
Habari kamili ni kuwa kampuni ya bia ya Tanzania (TBL) imeungua moto tangu usiku wa saa tisa ya kuamkia leo.... mpaka sasa moto unazidi kuendelea...
Musa Mkama
MNAJIMU Mkuu Afrika Mashariki Sheikh Yahya Hussein, ametabiri kuwa kutokea kwa madhara mengi ikiwamo kiongozi mmoja wa nchi za Mashariki ya Afrika kutekwa nyara.
Akizungumza na...
I??
Kwa wiki kadhaa sasa bei ya sukari imepanda siku hadi siku. sina huhakika na na mikoa mingine ila nina uhakika na hapa Mwanza. ni jambo la kusikitisha kuona sukari inayotegemewa na karibu...
Meli yaungua feri (Posta ya Zamani)
Meli ambayo inasemekana ni ya uvuvi iliyokuwa imeegeshwa pembezoni mwa bandari ya Dar es salaam (Feri posta ya zamani) imewaka moto na kunguu vibaya...
Meneja mmoja wa usambazaji wa bia za TBL tanzania ameshauri baadhi ya watu kununua bia na kuziweka kwenye friji kabla ya ukata aujaanza kumwaga hadharani...akiongea kwa masikitiko amesema kutokana...
Madini kwa Mzungu, mashimo kwa Mtanzania!
Joseph Mihangwa
Julai 29, 2009
HATA kama isingekuwa udadisi wa vyombo vya habari, hatimaye ingejulikana tu jinsi tunavyoporwa utajiri wa madini yetu...
Mwane Mashungu.
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imemfutia mashitaka mfanyabiashara maarufu Zanzibar, Said Nasir Bopar aliyekuwa akikabiliwa na tuhuma za kuiba dola 880,000 za Marekani kabla...
MWANAMKE mmoja Saida Hassan [26] amefikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kutelekeza kichanga cha siku 9 katika nyumba ya moja ya kulala wageni jijini Dar es Salaam...
Ndugu zangu wapendwa, nimekuwa na mawazo tofauti kuhusu serikali kuendelea kuwatunza viongozi wetu Raisi na Waziri mkuu pale wanapoondoka madarakani.Kwa mujibu wa sheria wanatakiwa kutunzwa hadi...
hakika kwa takriban wiki mbili nimekuwa naangali vichwa mbali mbali vya habari vinavyotawala magazeti mbalimbali ya huko Tanzania na kuona vichwa vingi vinavyotawala ni OIC, Mahakama ya kadhi na...
Wapendwa natumaini wote ni wazima kwa uwezo wa mwenyezi mungu...leo hii ningependa wazazi wote waliobaahatika kuwa na wattoto wao vyuo vikuu...kila usalipo usiache kuwaombea watoto zenu
kuna...
Jamani hiki ni kioja cha mwaka yaani website ya bunge inamtaja Migiro kama ndiye scretary general, embu soma hapo chini..TAFADHALI SANA NI DEPUTY SECRETARY GENERAL
UN Secretary General, Dr...
Katika hali iliyoonyesha mahusiano mabaya ya kifamilia yanayosababishwa na wana siasa kujali sana siasa kuliko majukumu yao ya kifamilia jambo moja baya ambalo limejitokeza siku chache zilizopita...
Na Kizitto Noya, Dodoma
BAADHI ya wabunge wameitaka serikali kuufunga mgodi wa North Mara ulioko Tarime mkoani Mara, unaomilikiwa na kampuni ya Barrick kwa kuwa unahatarisha mazingira na fya...
Sina hakika kama na wenzangyu mmeliona hili lakini kwa siku za karibuni hili gazeti linaloaminika kwa taarifa moto moto na linalojulikana kwa kupigana dhidi ya ufisadi limekuwa likichelewa kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.