Mzee wa red cars anajulikana hadi kwa mkulu wa kaya! Hicho ni kipande cha gazeti la Erick Shigogngo mzee wa global publishers wakati huo akitoa gazeti la The Bongo Sun.
Mfanyabiashara wa Kariakoo jijini Dar es Salaam, Ally Nasoro (41) amefikishwa mahakamani kujibu shitaka la kuingia Ikulu ya Rais Jakaya Kikwete na kuiba ua moja lenye thamani ya Sh. 5,000, mali ya...
MWANAMKE mmoja alijikuta yupo kwenye wakati mgumu baada kugundua kuwa amebadilishiwa mtoto wake aliyejifungua kutoka hospitali na kuondoka na mtoto sio wake.
Chanzo cha habari kilisema kuwa...
If possible send the following information concerning :
· Tanzania, Dar Es Salaam Port
· Trade volume:
exports, and imports in tons (time series from 1995-200 à origin destination portsà cargo...
Naona wakati mkutano ukianza, Dr. Shein alikuwa interrupted na waandamanaji Wazimbabwe, waliopinga kitendo cha Tanzania kukaa kimya hali ni mwenyekiti wa AU.
Mengi yataendelea kuwafikia. Baadae...
Ndugu
Kama uko na TV yako sasa hivi Fungulia TBC1 wanaonyesha kipindi maalumu kuhusu Vita ya Kagera , uzuri ni kwamba picha nyingi zina rangi kidogo , nashangaa sana wakati huo watu walikuwa...
The disappearance of five Tanzanian youth footballers has prompted the Swedish Migration Board (Migrationsverket) to tighten entry requirements for non-European players in the Gothia Cup, the...
Sikum moja baada ya serikali kutoa taarifa za uwekezaji tata wa mgodi wa makaa ya mawe huku ikionekana kuna utata kumbeba rais mstaafu benyamini william mkapa ambaye kampuni yake ya ANBEM ilitajwa...
Leo nimekumbuka pesa tulizokuwa tunatumia tulipokuwa watoto wadogo, sisi tulikuwa tunaita hela. Kwa mfano:
Hela tano (senti kumi) uliweza kununua andazi moja au pipi gololi sita.
Hela kumi (senti...
Wana ndugu wapendwa katika bwana nimependa kuwapa moyo watanzania hususani serikali ya tanzania msijisumbue na makelele ya baadhi ya watu ...hii mahakama inayopigiwa kelele haitakuwa katika jina...
I turned from black to white: How a skin disorder changed a man's identity and his place in the world
By Luke Davis
Last updated at 8:28 AM on 24th July 2009
As a five-year-old, every night...
Wakuu! Wilaya ya Ukerewe ni walaya ambayo iko ndani ya mkoa wa Mwanza, Wilaya hii kutokana na utajiri wake wa maliasili, Ziwa, Mistu Minene, Ardhi yenye rutuba na Vivutio vingi tu vya utalii...
Kwenu wana JF::
Leo hii ningependa kukumbushana umuhimu wa kinywa,vuvia kinywa chako na ubadili ulimwengu wako wa kiroho..,wapo watu weingi hawajui umuhimu wa kuchunga kinachotoka...
Ndugu zangu,
Hii ni jinsi nionavyo mimi kuhusu watanzania na maisha yao ya kila siku. Nimewatazama watanzania wenzangu kama watu wanaoishi kwa matukio yaani leo wamesikia hili kabla...
Sisemi mimi kama Chereko bali nachereka na maneno ya Waziri Kapuya kama nilivyosoma kwenye habari Leo jumamosi iliyopita -eti Watanzania sio waaminifu na hawajui kiingereza ndio maana kwenye...
Wakuu,
naleta kwenu mada hii kwa nia njema kabisa kuhusiana na wenzetu walioko nje ya Tanzania ambao ni member hapa JF.
Nimekuwa nikisoma post zao na michango kadhaa kuhusiana na...
Wakati inajulikana kabisa kuwa ushuru wa forodha unasimamiwa na mamlaka ya mapato tanzania(TRA) ambayo iko chini ya serikali jamhurii ya muungano Tanzania,kuna habari mamlaka hiyo inatoza ushuru...
Wana JF, ninavyofaahamu mimi mitishamba ni dawa nzuri sana kama ukizijua na kujulia kizitumia. Mababu zetu ziliwasaidia sana kabla ya kuja za kizungu na feki za kichina ambazo zingine ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.